Zawadi for my baby

Zawadi for my baby

Status
Not open for further replies.
hahahha acha nipite hiviii nikalale...nikue mie. maana naona nakutana na posts za watoto tuu sijui shida ni nini jahmeni.
 
hahha umeona eeh.. nilitaka sema huo msemo that hasomeshwi. anajiona kamueza kumbe nae dem anamuona kamueza kwa kumchuna.lol.

Yani hapo dem anamsoma tuu na kula hela za jamaa.... na kufanikisha malengo yake ya kusoma na kupata kaz, akishapata kazi...ndo mtiti unaanza
 
We unahonga,mi napewa bure,na ana tatoo sehem flan,ulimchora wewe pia,jina linaanza na J
 
HAPO KWENYE RED...
  1. Unakuta mtu kama huyu mama yake yuko kijijini analala nyumba inavuja mvua ikinyesha.
  2. wadogo zako wanarudishwa ada kila siku, ukiambiwa unasema pesa huna
  3. wadogo zako wanasoma shule ya kata
  4. Unaishi kwenye nyumba ya kupangisha
  5. ndugu zako wakiomba msaada unawakimbiza, unasema huna
  6. mbaya zaidi kama demu yuko chuo (hasa hapo udsm) unakuta anatoka na lecturer, ana sharobaro wake chuoni (kama watano hivi..)
  7. ........
  8. ........
ushauri: mchumba/demu hasomeshwi (hili ni time bomb...) watano hivi..)........
........
ushauri: mchumba/demu hasomeshwi (hili ni time bomb...)
wewe unahonga gari tena spacio, wenzako hawaongi na wanapiga kama kawa... MAPENZI NI ZAIDI YA KUHONGA..

Umepatia namba 4 tu
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole

Fanya hayo kwa mapenzi yako, swala la kuchepuka yeye anajua kwani kwenye mapenzi hatuna uhakika kama tunapendwa bali ni imani tu.
Kwahyo usi mwamini kiasi hicho utakuja kuumia kijana hawa viumbe hawa aminiki
 
Hahahahahahahaaa

Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole

Unadhani spacio ndio itamtuliza? Wewe omba binti awe mtulivu lakini sio kwa mkwara wa pesa
 
Daa kweli kila mtu na nyota yake natamani na mimi ningepata mpenz kama fredericko wa kunipa gari na kunilipia tuition fee huyu nilie nae hata nauli ya daladala ni shida kuitoa tena nilimpatia humuhumu Jf
 
Last edited by a moderator:
Daa kweli kila mtu na nyota yake natamani na mimi ningepata mpenz kama fredericko wa kunipa gari na kunilipia tuition fee huyu nilie nae hata nauli ya daladala ni shida kuitoa tena nilimpatia humuhumu Jf

Lakn umeendelea kuwa naye pamoja n kwamba haupti hivyo vitu ujue kuna kitu kimekunasisha hapooooooo
 
Mpe ampe bwana anayempenda ili aendwshe wale maisha, akimaliza chuo waoane na shukurani kwako kwa kuanzisha maisha yao bila shida ya kukanyaga vumbi.
 
Iam 32 uzoefu ninao

Mi ni mmoja wa nitakao usubiri mrejesho hata ndani ya miaka kumi.

Kama umemuumba mwenyewe sawa, lakini si hawa ninaowajua mimi tuliokua nao mtaan wengine wakiwa swala tano wengine geti kali na wakaitwa wa madhabahuni but their end was unbelievable.

Aiseee.... speechless kwa gia uloingilia naona anguko lako litaitwa anguko kuu.
 
Bad news in town ni kwamba ni baby girlfriend wangu kesho ninamkabidhi zawadi yake gari aina ya Toyota spacio sasa wale wapuuzi mliozoea kumnyatia udsm au hostel kwake mabibo nadhani muache tu kesho nampa funguo mliozoea kumpa lift poleni
Mafuta nagharamia
Service nagharamia
Ada ya chuo nagharamia
Hapa nani wa kumshawishi achepuke??????
Mmeshindwa pokeeni pole

Wanaliwa mademu wamepewa RR itakuwa Spacio....toa kwa moyo tu ila usifikiri hicho kigari chako ndio lock ya hio papuchi....utakuja kujiua bure maana atagongwa hata na classmate asiekuwa hata na baskeli!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom