cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
prezida kwa kweli ananipa raha! anapenda sana kushusha kitonga huku kasimamia baiskeli! madaraka yakiisha anaweza hata kupata mtikisiko wa ubongo bila mtu kumuangusha kwa jinsi ambavyo atazimiss go na return trips! toka kuumbwa kwa ulimwengu sidhani kama ameshawahi tokea rais kama huyu! yeye ni wa aina yake, jamani wahusika pulizzzzz aingie kwenye guiness book of records! realy pathetic!