KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,904
- 40,109
Sana.....Mdada mzuri sana huyu.
Sana.....Mdada mzuri sana huyu.
Haya hebu muamkie wifi yako....
Ye ndo aniamkie make mi naonekana mzee kwake
ha ha ha umeandikwa msimdanganye diamond
Heheheee # 1 ni Mange jamani...anatamani kufa kila akimuona Zari maana hana hata kimoja cha kushindana naye
Ila kiuhalisia yeye amekuzidi miaka mingapi?
13, if she is 38 kama nnavosikia!!!
13, if she is 38 kama nnavosikia!!!
mzuri.... pamoja na watoto wakubwa hivi.
kuna watu hata mimba hawajawah pata ila wamechooka had huruma
Kumbe umri unaruhusu kuleta posa..
Sasa niaje kuhusu ule mtongozo wangu kwako?
Tanmo si tulishindwana vigezo au?
Basi hebu review ombi Langu tena. Nimefanya maboresho mengi kwa sasa...
Toto unataka nini bila kuniambia mama yako!!!!
Nataka nikuletee mkwe...
mzuri.... pamoja na watoto wakubwa hivi.
kuna watu hata mimba hawajawah pata ila wamechooka had huruma
39 na watoto watatu wote ni boys lakn bado kabichiiiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiìi......
........wakat kuna some ladies ata kuzaa hawajazaa ila wameshazeeka na kuzeeka