Zari thebosslady akiwa na wanae

Zari thebosslady akiwa na wanae

ahaa, nashukuru kwa utambulisho mkuu, nadhani wewe ni memba mzuri wa hicho chama ndio maaana hukupata tabu kumfahamu kiongozi wako
Sio memba tu bali ni muasisi na mwenyekiti wa kudumu wa hicho chama.....
 
Baba yao si MTANGANYIKA mwenzetu mwenye bahati ya mtende kuotea jangwani bila maji......
Huyo anayejiita Dangote wa Bongo nina wasiwasi na tezi dume lake.
Toka alivyoanza kupembua nguo za ndani za warembo hakuna hata mtoto wa kusingiziwa....
 
Anatofauti gani na hawa tunaowaona Mitaa ya Sinza Usiku....
 
mtoto umleavyooo.....mwisho wa siku mtoto watampumulia.inatakiwa asifanye vitu kama hivyo
 
Zari inabidi atupe siri ya urembo wake hata baada ya kuzaa watoto watatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom