Zari thebosslady akiwa na wanae

Zari thebosslady akiwa na wanae

Zari mzuri mpaka naumwa jamaniiiiii,,,,,,duuuuu yaan utafikiri ana miaka 16 jamaniii
 
attachment.php

Kumbe ana mtoto mkubwa umri wa diamond.

Huyu bado jamani msikuze mambo looo
 
Wapi maziwaaaaaaaaaaaaa vifua vinawaumaaaa
 
39 na watoto watatu wote ni boys lakn bado kabichiiiiiiiiiiiiiiiiìiiiiiiiìi......
........wakat kuna some ladies ata kuzaa hawajazaa ila wameshazeeka na kuzeeka

Cc wemaSepetu
 
Last edited by a moderator:
Huku nimepotea..kajukwaa hakanihusu....Badaeni
 
Huyo ndio nani ??
mbona amepata umaarufu uzeeni ??
 
Huyu msupa mashalah! Mungu alipendelea hapo, wema anasubirii miaka bilion 8....hahahahaha!! Mahaba nipeleke West Africa nikadake Ebola!! Mweh!!
 
attachment.php


Huwa napenda wanawake wakiwa na nywele zao za asili zaidi kuliko hayo wanayoyasukia!
 
attachment.php

Kumbe ana mtoto mkubwa umri wa diamond.
Huku kwetu ingekuwa akikutana na Mkali Diamond, angeambiwa amuite Uncle Dai... sasa kule kwao cjui atatambulishwa vipi!! Sipati picha First Solider ndo anaona video ya show moja kule Mwanza ambapo
Bi. Shost Wema alikatika ile mbaya:

First Soldier: Uncle Dai, who's this woman?
Uncle Dai: Anh, you know what Uncle Soldier... anh, this's... anh..
First Soldier: Who? Your sister?
Uncle Dai: Anh... yes, she's my sis...no, she's my dancer!
 
Yaani kaukaribu ka siku mbili na Chibu,tayari kashaanza kufatiliwa hahahaha....kweli nyota ya chibu ni tatizo na imemzidi uwezo hahaha...
Yaani kila akipost sahivi wanaokomenti ni wabongo tuu...wenye mitusi kama vyoo twende wenye kusifia humo humo mpaka wale watangaza biashara hahaa...

Chid Benz alishasema wanakubali kiaina......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom