Zari thebosslady akiwa na wanae

Zari thebosslady akiwa na wanae

Huku kwetu ingekuwa akikutana na Mkali Diamond, angeambiwa amuite Uncle Dai... sasa kule kwao cjui atatambulishwa vipi!! Sipati picha First Solider ndo anaona video ya show moja kule Mwanza ambapo
Bi. Shost Wema alikatika ile mbaya:

First Soldier: Uncle Dai, who's this woman?
Uncle Dai: Anh, you know what Uncle Soldier... anh, this's... anh..
First Soldier: Who? Your sister?
Uncle Dai: Anh... yes, she's my sis...no, she's my dancer!

Hahahaaaa wewe mchokozi sana...jamaa ataona aibu kusema demu wake maana mipaja iliyooza na vile viguu ni aibu kumfananisha na mrembo Zari
 
Kuna vitu haviitaji kusema ni vikali ndio viwe vikali.Mtt ni mkali japo umri umeenda na kashazaa.Kweli Mondi kafaidi Wema mwenyewe kajisemea wivu hana ila rohoooo.........

santeeeeeeeeeeeee.........mutoto ZARI mukali huyu
 
Heheheee # 1 ni Mange jamani...anatamani kufa kila akimuona Zari maana hana hata kimoja cha kushindana naye

namshangaaga sana huyu Mange kupenda kutafuta kick na watu waso size yake wakat ata theluthi aingii kwa ZARI........MFYUUUUUU
 
Yaani Zari mshenzi sana... ka-post hizi pichaz makusudi kuwakata vilimi limi wabongo ambao wameishiwa hoja na kujikita kwenye hoja kwamba eti Zari mwenyewe amezaa!!! Alah, nyie watu vipi? Mna-dis mwanamke kuzaa wakati hayo ndo majaaliwa ya mwanamke!!! Ni utoto unawasumbua kiasi kwamba hamfahamu mungu akiwanyima uzazi hamtaishi kwa raha duniani au basi tu?

Napata shida sana hoja kama hizi zinapotolewa na mwanamke... yaani mwanamke mzima unam-discredit mwanamke mwenzako kwa kigezo cha kuwa amezaa?? Heri hayo tungeongea akina sie lakini mwanamke ambae na wew unajua kesho au kesho kutwa utazaa!!! Mbaya zaidi, sie ambao tunatakiwa kujali ikiwa mwanamke mweneyewe kazaa au hapana, tunaona poa tu... hivyo hivyo, hata angekuwa na mitoto kama Dai mwenyewe, bado mautamu pale pale ili mradi awe fundi kwenye kubana nyonga!!! Au kwavile mnadanganywa wasichana ndo watamu... fix tu hizo ili tuwadondoshe kiulaini!! Utamu unaletwa na mastimu na mastimu yanaletwa na muonekano!! Labda niwe natoka ulevini ndipo mtu aniambie nikikutana na Wema nitakuwa na full mastimu kuliko nikikutana na Zari!!!

Come on gals, if I were a woman, I'd start appreciating Zarinah and find out the secret behind inayomfanya aendelee kuonekana mrembo hata baada ya kuwa na watoto watatu!!! Wengine humu pamoja na huo usichana wenu lakini bado hamumfikii kwa UREMBO!! Na hapa sizungumzii uzuri manake uzuri ni majaaliwa ya Mungu... wengine humu mkishapata ka-bebi kamoja tu, kila mtakapopita full mishikamoo mama!!!!
 
so mnataka kusema yule domo kubwa kaenda kutumikishwa katika utumwa wa n.g.o.n.o?
 
Ndo mana mawaziri na wabunge wakikosa second term, ama term ikikaribia kuisha wanapata Kiharusi ama Tezi dume!
 
Nina amini mwanamke mzuri ni yule aliyemvutia mwanaume, akaolewa na kudumu katika ndoa.
Kwa huyu naona Watoto tu Baba yuko wapi?
 
sijaelewa aisee nielewesheni huyu ni nani
 
Kama hao ndio wanae basi kijana anayejiita DAIMONDO ana damu kali sana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom