Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,303
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,303 2,000
Haha umeanza lini? Au unamaanisha mimi kiinglishi hakinipendi
Hahaa!! Mi mwenyewe nikabaki mdomo wazi kumsikia Relief Mirzska akisema hakipendi Kiinglish wakati ni yeye ndie kanifanya hadi nami nimgelezee!! Sipendi mtu kuniletea madharau mbele ya mke wangu ndo maana nami nikaamua kukivunja vunja hivyo hivyo; bora liende, alah
😂😂🤣🤣 !!
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
11,949
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
11,949 2,000
Kweli mwanaume ni mwanaume, wewe unaona Dai hakutenda lolote baya? Uko kwenye mahusiano na mwanamke huyu unaenda kuzaa na mwanamke mwingine, mara umetembea na yule mara umemtia mimba yule daah yaani sketi isikatishe mbele yako unayo. Kiukweli hadi Zari anakuja kubwaga manyanga alikuwa amevumilia mengi
Wale wawili hawakuwa kwenye formal relationship ndio maana kila mmoja kwa wakati wake alikuwa anachepuka.
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
1,670
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
1,670 2,000
Nyumba mali ya MAMA hiyo kusema mali ya watoto ni zamani labda...siku hzi mitoto ikishakua na akili haitaki hata kukaa nyumbani inaona nyumba za wazazi za nini Watoto akili zinapanuaka wanaenda anzisha miji yao huko.

Hiyo nyumba ya ZARI tu no way out ye akae aleeee watoto wake atulie...Sema huyu mama sazngine ananiboa kinoma.
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
11,949
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
11,949 2,000
Tena kodishianeni hadi vifaru na mizinga; na askari mamluki juu lakini kuingiza watoto; hapana kwa kweli!
Kuingiza watoto kwenye vurugu za wazazi ni dalili kwamba upande mmoja umekosa points au umeingia kwenye vita isiyoiweza.


Ni kama vile jeshi la waasi linapokuwa vitani, muda mwingine huwa linateka raia (watoto/mtoto) na kuwafanya kama shield dhidi ya jeshi la serikali (mke/mume).
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
36,556
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
36,556 2,000
aiseee wanazengo wasijeanza kufikiria kama ulivyosema hapa
Hahahahh itakuwa manake kuna baadhi ya comments zako naona kabisa ningekuwa mie ningejibu hivyo hivyo

Ningekuwa upande wa tatu ningehisi Khantwe na joanah ni mtu mmoja mwenye ID mbili
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,303
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,303 2,000
Nyumba mali ya MAMA hiyo kusema mali ya watoto ni zamani labda...siku hzi mitoto ikishakua na akili haitaki hata kukaa nyumbani inaona nyumba za wazazi za nini Watoto akili zinapanuaka wanaenda anzisha miji yao huko.

Hiyo nyumba ya ZARI tu no way out ye akae aleeee watoto wake atulie...Sema huyu mama sazngine ananiboa kinoma.
Nyumba sio ya mama wala watoto bali ni ya mwenye haimiliki! Temporarily inahesabika kama makazi ya either mama na watoto au baba na watoto (depending nani yupo responsible kulea watoti ) hadi watoto watakapifikia umri wa miaka 18! Ownership itakuwa transferred kwa mwingine ONLY IF mmiliki halali akifanya hivyo au akifa! Wangekuwa kwenye ndoa, labda mama ange-demand sehemu ya mali ya wanandoa but only if kama kuna mchango wa wote kwenye mali husika! Ni mirathi peke yake ndiyo haijali nani kachangia nini!!
 
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
5,722
Points
2,000
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
5,722 2,000
Hahaa!! Mi mwenyewe nikabaki mdomo wazi kumsikia Relief Mirzska akisema hakipendi Kiinglish wakati ni yeye ndie kanifanya hadi nami nimgelezee!! Sipendi mtu kuniletea madharau mbele ya mke wangu ndo maana nami nikaamua kukivunja vunja hivyo; bora lenders, alah
😂😂🤣🤣 !!
Hahahaahahahah! Mkuu ikifika harusi yenu mnishtue, kwa mapenz yangu juu ya Khantwe Kama rafiki yangu. Three days in Zanzibar is my offer
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,303
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,303 2,000
Wow wow wooow ...mimi huyu? This means a lot to me, thanks rafiki
Yaani message ambayo mimi imeniuma kutoka kwa huyu Relief Mirzska wewe ndo umeifurahia kweli kweli hadi unatamani umkumbatie!! Mi sipendi hujui! Ya wasu hatujayamaliza halafu unayazusha mengine!
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
36,556
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
36,556 2,000
Yaani message ambayo mimi imeniuma kutoka kwa huyu Relief Mirzska wewe ndo umeifurahia kweli kweli hadi unatamani umkumbatie!! Mi sipendi hujui! Ya wasu hatujayamaliza halafu unayazusha mengine!
Sasa babe mbona my friend Relief kakufafanulia vizuri hasira za nini?
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,303
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,303 2,000
Haha kumbe kweli utakuwa mdogo wangu wewe
Hahahahh itakuwa manake kuna baadhi ya comments zako naona kabisa ningekuwa mie ningejibu hivyo hivyo

Ningekuwa upande wa tatu ningehisi Khantwe na joanah ni mtu mmoja mwenye ID mbili
Wallah I love you 2 sisters from 2 different mothers!!
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,510
Top