Sad: Zari, Diamond waipasua familia ya Ivan, Baba Ivan aongea kwa uchungu

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
"Toka aliyekuwa mume wa Zari kufariki, familia ya Ivan imeingia kwenye vita kali na Zari baada ya kusema kuwa yeye ndio amesababisha ndugu yao akaishi kwa depression kwa muda wote huo.

Tazama video


Baba ake Ivan ameeenda mbali zaid na kusema kuwa Zari aliweka kambi hospitali kusubiri tu mtoto wao afe ili ajimilikishe mali.

Habari hizo zimemfikia Mange kimambi nae akaamua kuandika haya;

Unaambiwa Zari anasema yeye bado ni mke wa Ivan unaambiwa mpaka anasema huyu mtoto wa mwisho Nillah ni wa Ivan huko kwenye vikao vya familia…Lakini to be fair Zari ana haki ya kupewa mali za wanae sasa Hivi sio mpaka wawe wakubwa. Yeye ni mama yao, Ila Zari nae asitake na yeye apewe sabbau alisha move on na life yake,yeye apewe cha watoto basi Na akumbuke kuwa kisheria wazazi wa Ivan na wao wana haki ya kurithi.

Credit: e-pepa.com
 
Mzee amesisitiza kuwa hagombanii mali yeye kwao utajiri uko ndani ya damu, na amekataa katakata hamtambui Zari na hana haki ya chochote kile manake alienda kuzaa nje naalikua ametolewa mahari...Zari si mjane wa mwanangu na simuhesabu.
 
Jamaa kasema tutazame video, ila kasahau kutazama kunaendana na kusikiliza na kuelewa.

Ha ha ha ha.. Nimetazama sijaona sura ya Zari kupigwa au kutimuliwa.. Kwa upande wa sauti inaweza kuwa jamaa anatoa tu mahubiri kuhusu issue nyingine as far as m concerned..
 
f4daab6ef4bec1e3ad82374eeab9cfe2.gif
 
Back
Top Bottom