Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

Hehehehheeee power of K inawaumiza watu.

Mmmh huyu Zari ndo kafundisha wadada wa kibongo kudanga kwa akili ujue. Kafundisha mtoto yake malezi sio kuflashiwa chooni. Kubwa zaidi kawapa somo zaa kwa mikakati fungulia mtoto account insta hadi benk ila akina myplusbee wanaishia kuwafungulia watoto account insta pekee,bank watagombania child support mahakamaniiiiiiiii

#Dangakwaakili
Kwahiyo nilivyosema mumchangie unadhani nilimaanisha wakati nafahamu wengi wenu ni choka mbaya! Si hadi uwe na hicho cha kuchangia! Inachekesha kuona hatimae mnakiri kwamba kibibi hana cha ubosi wala nini bali anaishi kwa kutegemea K! Btw, shule yenyewe hakwenda, asitegemee K ategemee nini cha ziada baada ya familia ya Ivan kumwekea ngumu!!
 
Bwahahahahhaaa aliyeanza kuwakomoa watoto ni nani? Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie

Team chuchunge hamisa ana akili gani?za kwenda mahakamani kudai child support au za kumblock domo kila anaponyimwa hela za matunzo

#mweemweemweezarianaumizawatu
Mondi aliwakomoa nini watoto? Yule Kikongwe wenu si alikuwa anaaminisha watu kwamba Mond amekata mawasiliano na watoto wake kumbe ni yeye ndie kazuia hadi mawasiliano!! Hamisa ana akili za kiuzazi kuliko yule ajuza ambae hata baada ya kuzaa watoto 5 bado ana-act kama akina Tunda! Angekuwa ana-act as matured woman, asingem-unfollow kwa watoto wake bali kwenye akaunti yake mwenyewe!
 
Hehehehheeee power of K inawaumiza watu.

Mmmh huyu Zari ndo kafundisha wadada wa kibongo kudanga kwa akili ujue. Kafundisha mtoto yake malezi sio kuflashiwa chooni. Kubwa zaidi kawapa somo zaa kwa mikakati fungulia mtoto account insta hadi benk ila akina myplusbee wanaishia kuwafungulia watoto account insta pekee,bank watagombania child support mahakamaniiiiiiiii

#Dangakwaakili
Alichofanya cha ajabu nini?! Kuzaa ndio asili yake ndio maana hata akiwa na Ivan, ndani ya miaka 30 alishazaa mara 3!! Kuzuia baba kuona watoto wake ndivyo wanawake wote wapumbavu wanavyofanya! Mnaona anatoa uchi kwa akili kwavile aliwaaminisha kanunuliwa nyumba! Mond huyu huyu aliyezungukwa na big brain mnatarajia angeweza kumwandika Zari kwenye nyumba! Mnachekesha!!! Leo hii anasema "HATOKI!" Sasa nyumba ya kwake kwanini aseme "sitoki"?
 
Mmh babe hili povu lote lako?
 
Mmh babe hili povu lote lako?
Nachukia sana wanawake wanaohamishia ugomvi na mabwana zao kwa watoto! Nilishawahi kutoa povu sawa na hili kwa Bi Sandra kwa sababu nafahamu ukiona mtoto ana chuki na baba yake, basi sababu anakuwa mama kumlisha mtoto sumu dhidi ya baba yake!! Ndo pale unakuta wengine wanafikia kuwaambia watoto kwamba baba yako amekufa! Sasa kama sio upumbavu tuite nini?!

Huyu Zari zamani nilikuwa nampenda sana, huwezi amini lakini hivi sasa, sitaki kumsikia manake ni sumu!
 
Hivi baba akimkataa mtoto utamwambiaje?
 
Hivi baba akimkataa mtoto utamwambiaje?
Tena basi, hao ndo nawachukia kupita maelezo!! Zamani nilikuwa namshambulia sana Mzee Abdul babake Diamond lakini nilivyokuja kuchunguza, nikagundua ni Bi Sandra ndie chanzo na wanawake wanayo sana hii tabia! Trust me, hata washikaji zangu wa karibu wanafahamu nisivyopenda ujinga katika mambo kama haya! And guess what, rafiki yangu wa damu kabisa, aliwahi kunificha baada ya kuwa amezaa nje ya ndoa kwa sababu alijua jinsi ambavyo ningemshambulia!! Na hadi siku anamwambia mkewe, nikamwambia wazi either amwambie mwenyewe or namwambia!
 
Tena basi, hao ndo nawachukia kupita maelezo!! Zamani nilikuwa namshambulia sana Mzee Abdul babake Diamond lakini nilivyokuja kuchunguza, nikagundua ni Bi Sandra ndie alisababisha yote haya! Trust me, hata washikaji zangu wa karibu wanafahamu nisivyopenda ujinga katika mambo kama haya! And guess, rafiki yangu wa damu kabisa, aliwahi kunificha baada ya kuwa amezaa nje ya ndoa kwa sababu alijua jinsi ambavyo ningemshambulia!! Na hadi siku anamwambia mkewe, nikamwambia wazi either amwambie mwenyewe or namwambia!
Lakini mnatakiwa mjue kuwa hata sisi tuna mioyo ukinitendea vibaya mimi, sina njia ya kulipa kisasi nibakie na machungu moyoni? Hapana namshirikisha na mwanangu pia anisaidie kuchukua mzigo
 
Huyo Zari kwa mfano alitendewa ubaya gani wa kumfanya hadi atumie watoto?! Na hata kama alifanyiwa ubaya, kwanini atumie watoto kama sio upumbavu?! Na wanawake mnayo sana hii tabia ambayo, hata ifanywe na dada yangu, katu siwezi kum-support labda katika mazingira ambayo amepigwa mimba, na mwanaume akakataa halafu anakuja kujitokeza baadae eti kutaka mtoto! Katika mazingira kama hayo, nakuwa upande wa mwanamke!
 
Mtoa post wewe ni jinsia Ke au Me? Samahani lakini kwa usumbufu niliosababisha kama upo........
 
Huyo Zari kwa mfano alitendewa ubaya gani wa kumfanya hadi atumie watoto?! Na hata kama alifanyiwa ubaya, kwanini atumie watoto kama sio upumbavu?! Na wanawake mnayo sana hii tabia ambayo, hata ifanywe na dada yangu, katu siwezi kum-support labda katika mazingira ambayo amepigwa mimba na mwanaume akakataa halafu anakuja kujitokeza baadae eti kutaka mtoto! Katika mazingira kama hayo, nakuwa upande wa mwanamke!
Kweli mwanaume ni mwanaume, wewe unaona Dai hakutenda lolote baya? Uko kwenye mahusiano na mwanamke huyu unaenda kuzaa na mwanamke mwingine, mara umetembea na yule mara umemtia mimba yule daah yaani sketi isikatishe mbele yako unayo. Kiukweli hadi Zari anakuja kubwaga manyanga alikuwa amevumilia mengi
 
Come on baby! Hakuna asiyejua kwamba pale Mond alikosea sana tena sana! Na kwa kufahamu hilo ndo maana Diamond akaenda hadi redioni na kutamka wazi! Na suala la Mond kukanusha kuzaa na Hamisa ilikuwa ni kumjali Zari kwa sababu wanaume ndivyo wanavyofanya! Ukipigwa mimba na mwanaume ambae yupo committed somewhere, trust me, atakukana hadi mbele ya baba paroko (labda muwe watatu tu) kwa sababu hayupo tayari kuharibu kule alikokuwa committed!

Na akasema wazi kwamba yupo tayari kwenda hadi SA kwa mguu kuomba radhi! Na hiyo kama haitoshi, kwenye wimbo wake Sikomi akaelezea kujutia kwake! Yote hayo inaonesha ni namna gani jamaa alijutia! Na kwenye lile sakata, mimi nilisimama upande wa Zari kwa sababu nilifahamu fika lengo la Hamisa lilikuwa kumkomesha Zari ndo maana alivunja makubaliano ya kwamba wafanye siri hadi at the right time!

Na yale kimsingi ni kama yaliisha!

Jambo ambalo Zari alisahau ni kwamba since day one anaanza na Diamond, watu walihakikisha anatengana na Diamond! Zikawa zinavujishwa kashifa za Zari kila siku watu wakidhani Diamond ange-react, lakini jamaa akawa anapuuza! Ikavujishwa hadi orodha ya wanaume 40 ambao Zari amelala nao; Mond akapuuza! Ikavujishwa hadi sex tape, Mond akapuuza! Ajabu, miongoni mwa watu waliokuwa wanafanya haya ni King Lawrence, ndugu wa Ivan; ikimaanisha kwamba hata Ivan na mwenyewe alikuwa nyuma ya yote lakini Mond akapuuza!

Tz akina Mange nao walihakikisha uhusiano wao unakufa! Kama unakumbuka, enzi zile ilikuwa kila siku mara Tunda kalala Madale, mara Lynn na Mond wameenda Rwanda! Yote ile ilikuwa ni maadui wa Zari na Mond kuhakikisha wanatengana! Finally, Zari akaingia mkenge baada ya kuvujishwa video Wema akimshika shika Diamond! Zari aka-panic huku akisahau yote hayo yalilenga kuwatenganisha! Na hivi sasa sijasikia tena habari za Tunda na Diamond huku nikiwa nimesikia habari za Lynn na Diamond mara moja tu wakati haikuwa kawaida!
 
Kwa jinsi ulivyoandika hadi mshipa wa shingo umekusimama. Kama kweli nyumba ya domo si aende kuona wanae je kuna zuio la mahakama kuwa asiwaone wanae?nyumba yake ila muoga na kukimbilia sympathy za mitandaon. Hao big brain wanamsaidiaje kwenye suala hili.

Mbona tununu anaweza muendesha atakavyo. Pole boss wenu kakwaa kisiki

#Kuepukamaumivuyakujitakiastopfollowingzariunatiahuruma
Alichofanya cha ajabu nini?! Kuzaa ndio asili yake ndio maana hata akiwa na Ivan, ndani ya miaka 30 alishazaa mara 3!! Kuzuia baba kuona watoto wake ndivyo wanawake wote wapumbavu wanavyofanya! Mnaona anatoa uchi kwa akili kwavile aliwaaminisha kanunuliwa nyumba! Mond huyu huyu aliyezungukwa na big brain mnatarajia angeweza kumwandika Zari kwenye nyumba! Mnachekesha!!! Leo hii anasema "HATOKI!" Sasa nyumba ya kwake kwanini aseme "sitoki"?
 
Come on baby! Hakuna asiyejua kwamba pale Mond alikosea sana tena sana! Na kwa kufahamu hilo ndo maana Diamond akaenda hadi redioni na kutamka wazi! Na suala la Mond kukanusha kuzaa na Hamisa ilikuwa ni kumjali Zari kwa sababu wanaume ndivyo wanavyofanya! Ukipigwa mimba na mwanaume ambae yupo committed somewhere, trust me, atakukana hadi mbele ya baba paroko (labda muwe watatu tu) kwa sababu hayupo tayari kuharibu kule alikokuwa committed!

Na akasema wazi kwamba yupo tayari kwenda hadi SA kwa mguu kuomba radhi! Na hiyo kama haitoshi, kwenye wimbo wake Sikomi akaelezea kujutia kwake! Yote hayo inaonesha ni namna gani jamaa alijutia! Na kwenye lile sakata, mimi nilisimama upande wa Zari kwa sababu nilifahamu fika lengo la Hamisa lilikuwa kumkomesha Zari ndo maana alivunja makubaliano ya kwamba wafanye siri hadi at the right time!

Na yale kimsingi ni kama yaliisha!

Jambo ambalo Zari alisahau ni kwamba since day one anaanza na Diamond, watu walihakikisha anatengana na Diamond! Zikawa zinavujishwa kashifa za Zari kila siku watu wakidhani Diamond ange-react, lakini jamaa akawa anapuuza! Ikavujishwa hadi orodha ya wanaume 40 ambao Zari amelala nao; Mond akapuuza! Ikavujishwa hadi sex tape, Mond akapuuza! Ajabu, miongoni mwa watu waliokuwa wanafanya haya ni King Lawrence, ndugu wa Ivan; ikimaanisha kwamba hata Ivan na mwenyewe alikuwa nyuma ya yote lakini Mond akapuuza!

Tz akina Mange nao walihakikisha uhusiano wao unakufa! Kama unakumbuka, enzi zile ilikuwa kila siku mara Tunda kalala Madale, mara Lynn na Mond wameenda Rwanda! Yote ile ilikuwa ni maadui wa Zari na Mond kuhakikisha wanatengana! Finally, Zari akaingia mkenge baada ya kuvujishwa video Wema akimshika shika Diamond! Zari aka-panic huku akisahau yote hayo yalilenga kuwatenganisha! Na hivi sasa sijasikia tena habari za Tunda na Diamond huku nikiwa nimesikia habari za Lynn na Diamond mara moja tu wakati haikuwa kawaida!
Aisee umejizatiti kumtetea Dai...haya
 
Sasa kama hutaki kumsikia kivyako
Nachukia sana wanawake wanaohamishia ugomvi na mabwana zao kwa watoto! Nilishawahi kutoa povu sawa na hili kwa Bi Sandra kwa sababu nafahamu ukiona mtoto ana chuki na baba yake, basi sababu anakuwa mama kumlisha mtoto sumu dhidi ya baba yake!! Ndo pale unakuta wengine wanafikia kuwaambia watoto kwamba baba yako amekufa! Sasa kama sio upumbavu tuite nini?!

Huyu Zari zamani nilikuwa nampenda sana, huwezi amini lakini hivi sasa, sitaki kumsikia manake ni sumu!
 
Bongeeee la gazeti

Back
Top Bottom