Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,504
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,504 2,000
Jamani ila zari anajua kupanikisha watu, khaa kwa hiyo zile mbwe mbwe za kuhama ilikua ni geresha au ? Yani nikiangalia video nacheka mbavu sina, yani kama mtu una hasira unaweza pasua simu kwa kweli, Dada mange Sijui Ana hali gan Huko maana alishaanza kufurahia zari kuhama, ila Mimi mwenyewe ningeshangaa kama angehama, yani mjumba wote huo unaanzaje kuhama? Walidhan umeingia leba kifara tu kama akina mwafulani , watu wako na long term plan bwana , life investment, safi sana zari, waache wabongo mapovu yawatoke, they want that life so bad , but sio wewe uliyewatuma kuzaa na wanaume bila kutumia akili , dah ila Leo Zari umejua kunikosha, yan umeua

Halafu anavyocheza mwenye we kwa mbwe mbwe zote eti ahami mtu hapa mtu hapa, yan nikiangalia video mwenzenu hoi kwa kicheko

img_0274-jpg.1121684
 
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
878
Points
1,000
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
878 1,000
Ila waja wameumbuka!walijua kelele zao ndo zmemhamisha kunyumba kumbe!
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
24,088
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
24,088 2,000
Jamani ila zari anajua kupanikisha watu, khaa kwa hiyo zile mbwe mbwe za kuhama ilikua ni geresha au ? Yani nikiangalia video nacheka mbavu sina, yani kama mtu una hasira unaweza pasua simu kwa kweli, Dada mange Sijui Ana hali gan Huko maana alishaanza kufurahia zari kuhama, ila Mimi mwenyewe ningeshangaa kama angehama, yani mjumba wote huo unaanzaje kuhama? Walidhan umeingia leba kifara tu kama akina mwafulani , watu wako na long term plan bwana , life investment, safi sana zari, waache wabongo mapovu yawatoke, they want that life so bad , but sio wewe uliyewatuma kuzaa na wanaume bila kutumia akili , dah ila Leo Zari umejua kunikosha, yan umeua

Halafu anavyocheza mwenye we kwa mbwe mbwe zote eti ahami mtu hapa mtu hapa, yan nikiangalia video mwenzenu hoi kwa kicheko

View attachment 1121684
Subiri majibu yake sasa kwa mtoto wa tandale ataingia hedhi siku hiyo hiyo just chill n waiting
 
fh kwenye beat

fh kwenye beat

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Messages
449
Points
500
fh kwenye beat

fh kwenye beat

JF-Expert Member
Joined May 29, 2017
449 500
Mtoa post naona post zake hazinaga maana cjui hana kazi ya kufanya ni umbea tu nahisi hata kazi hana ni jobless
 
palsa

palsa

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Messages
1,039
Points
2,000
palsa

palsa

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2011
1,039 2,000
Kwani si nilijua Tajiri Sana ananyumba nyingi9 mbona anadhalilika kwenye vya Dai. Dai anavyomdhalilisha hadharani sikutegemea aisee. Kumbe jeuri ni Instagram tu. Sikutegemea
Haha pole kwa mshtuko na bado yanakuja ambayo hujategemea..
 
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
2,162
Points
2,000
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
2,162 2,000
Jamani ila zari anajua kupanikisha watu, khaa kwa hiyo zile mbwe mbwe za kuhama ilikua ni geresha au ? Yani nikiangalia video nacheka mbavu sina, yani kama mtu una hasira unaweza pasua simu kwa kweli, Dada mange Sijui Ana hali gan Huko maana alishaanza kufurahia zari kuhama, ila Mimi mwenyewe ningeshangaa kama angehama, yani mjumba wote huo unaanzaje kuhama? Walidhan umeingia leba kifara tu kama akina mwafulani , watu wako na long term plan bwana , life investment, safi sana zari, waache wabongo mapovu yawatoke, they want that life so bad , but sio wewe uliyewatuma kuzaa na wanaume bila kutumia akili , dah ila Leo Zari umejua kunikosha, yan umeua

Halafu anavyocheza mwenye we kwa mbwe mbwe zote eti ahami mtu hapa mtu hapa, yan nikiangalia video mwenzenu hoi kwa kicheko

View attachment 1121684
kumiliki nyumba s.africa sio kitoto tena ukiwa mgeni.unajua sheria s.africa zina mlinda mwanamke na mtoto sana kama domo akufikiria alijua ni tandale pale basi kiukweli ,kama alinunua kweli na walitalakiana basi ujue mali ni ya wototo na mke.
ndo maana mabahalia wengi walio zaa huku na kuwekeza waliambulia mikono mitupu,mpaka mtoto hakifikisha umri 18 ndio anaweza kuamua
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,303
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,303 2,000
Domo nae mzembe tu si aiuze wakiwa humo humo. Yeye si jeuri bana na document anazo
Ujeuri vipi wakati alishasema hawezi kufanya jambo kama hilo?! Tatizo ni kwamba mmeumbuka baada ya kudanganyana kwamba nyumba ni ya Zari! Unaapiza vipi kwamba huwezi kuhama kwenye nyumba ya kwako?! Ingekuwa ya kwake asingeapiza kwamba haami ng'o! Anaapiza kwamba hahami kwa kigezo cha watoto, kwamba ahame halafu watoto wakaishi wapi!! Na Mond hawawezi kuwa na hofu kwa sababu anafahamu wanaoishi ni watoto wake lakini mmiliki ni yeye! Na wala hawezi kuwa na haja ya kuiuza wakati yeye bado ni kijana sana, na katika harakati zake anaweza ku-relocate; hata kama ni after 18 years wakati Zari hatakuwa tena na kisingizio cha kuishi kwenye nyumba kwa sababu watoto tayari watakuwa wakubwa!
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
2,303
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
2,303 2,000
kumiliki nyumba s.africa sio kitoto tena ukiwa mgeni.unajua sheria s.africa zina mlinda mwanamke na mtoto sana kama domo akufikiria alijua ni tandale pale basi kiukweli ,kama alinunua kweli na walitalakiana basi ujue mali ni ya wototo na mke.
ndo maana mabahalia wengi walio zaa huku na kuwekeza waliambulia mikono mitupu,mpaka mtoto hakifikisha umri 18 ndio anaweza kuamua
Tangu lini mali ikawa ya mtoto kabla mzazi hajafariki?! Huko kutalikiana kwani, walifunga ndoa lini na wapi?! Diamond akiamua kuuza hata leo anauza sema atakuwa responsible kutafuta makazi kwa ajili ya watoto na ndio maana hawezi kuuza halafu aingie gharama zingine! Huyo Zari ataendelea kuwapo kwa sababu watoto bado watoto ni wadogo, na bado wapo na umri ambao hawaewezi kuishi na mwingine zaidi ya mama yao! Nyumba itageuka kuwa permanent ya watoto endapo mmiliki halali ama anaamua ku-transfer ownership au anakufa!!
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,475
Top