ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

wengine kwao wamezaliwa 9 kama sio 11 lakini hapa kujifanya wanamponda Zari hebu kwendenu zenu kule

as long as she can take care I them muacheni azae
Hapo ndio utakaposhangaa.Kuna Watu humu visimbilisi!kwa zari labda ashangae mzungu ila sio sisi ngozi nyeusii.utakuta hapo kwao wap kibao,au kwa ndugu zao lakini hawasemi ila kwa zari wanaongea shit
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakati mabinti wengine wakijikita katika matumizi ya mikorogo na kukimbilia wanaume wenye pesa hali ni tofauti kwa mwanamama zari hassan (the boss lady ) ambaye amekiri wazi kuwa kitu anachopenda zaidi katika maisha yake ni kuzaa. Zari ambaye ni mpenzi wa mwanamziki nyota Africa diamond platnumz amesema hayo ikiwa ni siku chache tangu apate mtoto wa kiume aliyezaa na diamond ambaye watu walimbeza kuwa anazaa bila mpangilio eti kiza tu alibeba ujauzito kabla ya mtoto wao wa kwanza tiffah hajatimiza mwaka mmoja. Licha ya zari kuwa na watoto watano kwa sasa ameweka wazi kuwa kwa sasa yeye na diamond wana mpango wa kuzaa mtoto mwingine wa tatu na baada ya hapo hatozaa tena na badala yake watajikita zaidi katika kuwalea watoto wao.
Sio tu kupenda kuzaa angemalizia kabisa kuzaa na wanaume wenye pesa, mbona ya yule mcheza basketball aliitoa
 
Back
Top Bottom