ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

Huyo nae anatumia watoto kama mtaji , chezea child support , eti anapenda kuzaa why hakuzaa na yule mwanamme wake choka mbaya mwenye sixpark?baada ya kutengana na mme wake , kabla hajampata diamond why hakuzaa na hao wanaume?
Mapenzi. Inaonekana huyu mwanamama anampenda sana diamond ndio maana haoni na wala hasikii kwa huyu kijana
 
Mfalme kumpenda punda wake sawa tu, anambebea mizigo na muda mwingine kipando chake, ana faida kubwa sana kwake
 
Huyo nae anatumia watoto kama mtaji , chezea child support , eti anapenda kuzaa why hakuzaa na yule mwanamme wake choka mbaya mwenye sixpark?baada ya kutengana na mme wake , kabla hajampata diamond why hakuzaa na hao wanaume?
Dada uko vizuri,hongera sana.Vipi unaweza kutuambia hadi umri wake ule keshatembea na midume mingapi .........???
 
Lengo kuu la ngono/kujamiiana ni kuzaliana ila wengi wanatumia ngono/kujamiiana kama kitega uchumi, na wanapopata mimba wanakimbilia kutoa. Wanaua viumbe visivyoweza kujitetea.
 
Back
Top Bottom