Queen zeeLe panic buttonView attachment 723809 View attachment 723811
Kweli wapambane na mwanaume wao tuYaani umechukua udaku wa gazeti la sani kuuleta huku.
Hivi si kawaachia mwanaume wenu au..
Halafu lazima kuna mtu anataka kumchafua.. natamani awape cha moto
Halafu picha wameweka ya mkaka alifanya deco kwa bday ya mtoto wao na Nasibu

No anaumia ndani kwa ndani ila aliyemshauri akae kimya kamshauri vizuri,Hii habari nzima ya “kuachwa” inaelekea haijamsumbua Diamond na hii imemuumiza bibie
Hahahaaaha....umetisha mkuuDada ameshazoea kujifungua!huyu anaweza kujifungua peke yake bila usaidizi wa madaktari
Una iamini hii taarifa?She is a very busybody woman
hahaha!She is a very busybody woman
Yap, ht kimuonekano pia kuna time ni km hana furaha vile.No anaumia ndani kwa ndani ila aliyemshauri akae kimya kamshauri vizuri,
Maana hakuna namna na Dai kapigwa pesa ndefu tu na kuachwa.
Haijamsumbua???Hii habari nzima ya “kuachwa” inaelekea haijamsumbua Diamond na hii imemuumiza bibie