Zari anasa mimba ya mzungu

Zari anasa mimba ya mzungu

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,699
Mara baada ya kuachana na Diamond Platnumz hatimaye Zari the boss amenasa mimba ya mzungu.

Habari nyeti kutoka mitaa hiyo zinasema mzungu huyo amekuwa na mahusiano ya kimya kimya na Zari kwa muda mrefu hata kabla hawajaachana na Diamond.

Aidha inasemekana chanzo cha Zari kupata "kiburi" cha kumtema Dai, ni mzungu huyo ambaye alikuwa akimpa "jeuri"

Stay tuned.
 
umeinyaka wapi hiyo mkuu? au ndio tetesi tu
 
Woyoooo gud news hahhaha
29416592_1752435054817345_8335386852622073856_n.jpg
ngoja nimalize kazi zangu mie
29087466_209100363177621_91460645668519936_n.jpg
kuna mtu alisema bila dai zari hawez andikwa tena humu ila leo kaandikwa na anatoa mapovu watu awesome
 
Kuna watanzania wanapenda ubuyu duuh,na Kwa bahati Nzur nchi yenyewe ina ubuyu wa kutosha
 
Yaani umechukua udaku wa gazeti la sani kuuleta huku.
Hivi si kawaachia mwanaume wenu au..
Halafu lazima kuna mtu anataka kumchafua.. natamani awape cha moto
Halafu picha wameweka ya mkaka alifanya deco kwa bday ya mtoto wao na Nasibu
 
Mara baada ya kuachana na Diamond Platnumz hatimaye Zari the boss amenasa mimba ya mzungu.

Habari nyeti kutoka mitaa hiyo zinasema mzungu huyo amekuwa na mahusiano ya kimya kimya na Zari kwa muda mrefu hata kabla hawajaachana na Diamond.

Aidha inasemekana chanzo cha Zari kupata "kiburi" cha kumtema Dai, ni mzungu huyo ambaye alikuwa akimpa "jeuri"

Stay tuned.

Habari bila picha/videoclip ni takataka tu
 
Tumechoka habari za Zari kwsni akibeba mimba wewe unatakaje? Umbea umbes wakati mwenzako anatimiza maandiko " zaeni mkangezeke" Nikusikie tens!!
 
Back
Top Bottom