Zao la cocoa Wilaya ya Kyela

Zao la cocoa Wilaya ya Kyela

Ni vigumu kunielewa nlichoandika ila nikusaidie tuu kukubaliana na wewe kuwa iwe hivyo kuwa wanyakyusa wa kyela ni malaya sana,wote wana ukimwi, ni wavivu sana na niwanafiki sana, soon watakufa wote nenda kaeneze kabila lako mkaijaze ardhi ya kyela, tatizo hatujui kabila lako, ni kweli 97% ya kyela ni wanyaki, who are you?
Kikulacho ki nguoni mwako.. Hakuna mtu utakae elezea undani wa kitu kama yeye sio mhusika au mlengwa wa hicho kitu..me ni mnyaki..nawajua wanyaki wenzangu ndio maana nimekuambia hayo yote..kama nimekosea au niko sahihi ukweli unao mwenyewe.. Ila wanyaki wa kyela mmbadilike
 
Huwezi kuwa mnyakyusa wewe, siyo wepesi kihivyo, just a lost intruder, mpo wengi sana mitaa ya ipinda na kyela town.
Tusijaze Uzi kwa mabishano yasiyo na tija..try me if you need to know whether am nyakyusa or not.
 
Kikulacho ki nguoni mwako.. Hakuna mtu utakae elezea undani wa kitu kama yeye sio mhusika au mlengwa wa hicho kitu..me ni mnyaki..nawajua wanyaki wenzangu ndio maana nimekuambia hayo yote..kama nimekosea au niko sahihi ukweli unao mwenyewe.. Ila wanyaki wa kyela mmbadilike
Acha uongo wewe huwajui wala huna ABC za wanyaki, acheni chuki zenu na wanyakysa wa kyela, ukishindwa kumtawala na kumbuluza mtu utishia kuyasema hayo, kabadli kwanza kabila lako waache wanyaki.. hawahitaji ushauri wako.
 
Uzi ulikuwa ni economical umegeuka kuwa tribal.. Tunaenda wapi.. Hatari sana hii
 
Subiri Jeshi letu la wananchi wa Tanzania linakuja kutekeleza ilani ya chama pendwa.......Kokoa(cocoa)yote itanunuliwa.period!1
 
WTF? Watu wa kyela ndio wanaolichafua kabila la wanyakyusa kwa 95%.Umalaya,wasengenyaji,kiburi,jeuri,dharau,majivuno..mbali na hayo ni wanaume ni wavivu kutwa kusubiria wake zao wajishughulishe wao wale walale asubuhi waamke kucheza bao.Ukarimu wanao watu wa mwakaleli lkn sio kyela.

We Mt$nge una ROHO NYEUSI.
 
Mungu ibariki Kyela , uwapige laana wote wanaokwamisha maendeleo ya Kyela
 
Vibaraka/matapeli wa wahujumu katika ubora wenu! Mtanyooka tu.
unatusingizia tu mkuu , hivi unafahamu bei ya korosho msimu uliopita ? sasa linganisha na leo , halafu jiulize waliokuwa madarakani msimu ule ni akina nani na sasa ni akina nani .
 
Wilaya ya Kyela ipo mkoa wa Mbeya kusini kabisa mwa Tanzania,ndio wilaya inayopakana na Malawi. Kusini kabisa mwa hiyo wilaya kuna ziwa Nyasa,imezungukwa na mito mikubwa minne inayoijaza maji ziwa Nyasa,maji yake ni baridi sio maji chumvi. Ni wilaya iliyobarikiwa kwa kuwa na udongo wenye kustawisha karibia zao lolote linalolimwa Tanzania,iwe la biashara au chakula. Na bahati udongo wake unastawisha vyakula vyenye radha tamu tofauti na mahala pengine. Mfano mchele wa kyela ni mtamu kuliko mahala popote Tanzania. Samaki mtamu kuliko mahala popote Tanzania utamla kyela,samaki watokanao na maji baridi. Kunalimwa zao la mchikichi unaotoa mawese. Zao la cocoa linalolimwa kyela ndilo linatoa cocoa bora na tamu kuliko mahala popote Tanzania. Mbali na mpunga unatoa mchele bora hili zao la cocoa ndilo zao kuu la biashara wilaya kyela. Sasa kitu ninachotaka tukijadiri ni mabadiriko ya ununuzi wa hilo zao. Miaka ya 80 hili zao lilikuwa linanunuliwa na vyama vya ushirika. Kwa ujumla ununuzi wa vyama vya ushirika uliwadumaza sana wakulima wa hili zao. Ilikuwa mkulima akipeleka kuuza ilikuwa lazima akikopeshe chama cha ushirika,chama kinamlipa mkulima kwa muda kinaotaka,na kwa bei inayotaka. Wakulima wengi wakakata tamaa kuendelea na ukulima wa hili zao. Kipindi cha awamu ya 3 ikaja na sera soko hulia. Yakaja makampuni mengi kununua hili zao,kwa hiyo kukawa na ushindani wa bei. Hii ilileta mapinduzi makubwa kwa wakulima wa hili zao,bei ikapanda. Wakulima wakahamasika kulima kwa wingi tena hili zao,na haya makampuni yakawasaidia wakulima namna bora kuanzia kupanda,kutunza,kuvuna mpaka muda utakapouza. Hakika likawabadirisha sana kimaisha wakazi wa wilaya hii. Wengi wana hali nzuri sana kimaisha kupitia zao hili. Sasa hivi karibuni limerudishwa ile hali ya zamani,kwamba zao linunuliwe na chama cha ushirika tu. Hali imebadirika ghafla,bei hili zao imeanza kushuka sana kwa wakulima vijijini. Watu taratibu wana muelekeo wa kukata tamaa kuendelea kustawisha hili zao hali ikiendelea namna hii.
Ukweli 100% wanawanyonya sana...nipo Ipinda Kyela naona hali ilivyo.
 
WTF? Watu wa kyela ndio wanaolichafua kabila la wanyakyusa kwa 95%.Umalaya,wasengenyaji,kiburi,jeuri,dharau,majivuno..mbali na hayo ni wanaume ni wavivu kutwa kusubiria wake zao wajishughulishe wao wale walale asubuhi waamke kucheza bao.Ukarimu wanao watu wa mwakaleli lkn sio kyela.
Hahahah
 
Lkn tunashukuru Rais JPM leo kwenye hotuba yake amegusia habari za kokoa alipokuwa anampa maelekezo waziri mpya wa kilimo. Ngoja tuone!
 
Uzi ulikuwa ni economical umegeuka kuwa tribal.. Tunaenda wapi.. Hatari sana hii
Nilikuwa kwenye majukumu mengine,unaweza ukajiona umeshinda kwa propaganda zako,nimesoma unajaribu kutumia nguvu kubwa kujaribu kuwaaminisha watu,na umedanganya kwamba uko moja kwa moja kwa wakulima,kitu ambacho unadanganya ksbb wakulima hakubariani kabisa na huo mfumo mpya ambao utakuwa hauna ushindani. Na bado tupo miaka miwili mingi 1. utasikia mmeibiana kwenye hicho chama,utasikia ufisadi mkubwa 2. utasikia hakuna hela za kuwalipa walioleta cocoa 3. Ndani ya huo muda utasikia mnataka kununua cocoa kwa Tsh.800
 
Mnyakyusa wa Kyela na Mhaya wanatofautiana rangi tu,hawa wengi wao wang'aavu wale wengi wao vyeusi mangara.
WTF? Watu wa kyela ndio wanaolichafua kabila la wanyakyusa kwa 95%.Umalaya,wasengenyaji,kiburi,jeuri,dharau,majivuno..mbali na hayo ni wanaume ni wavivu kutwa kusubiria wake zao wajishughulishe wao wale walale asubuhi waamke kucheza bao.Ukarimu wanao watu wa mwakaleli lkn sio kyela.
 
Mnyakyusa wa Kyela na Mhaya wanatofautiana rangi tu,hawa wengi wao wang'aavu wale wengi wao vyeusi mangara.
Siku hizi hakuna kabila lililotulia. Wote wamechangamka,ili mradi tu ni mzuri
 
Nilikuwa kwenye majukumu mengine,unaweza ukajiona umeshinda kwa propaganda zako,nimesoma unajaribu kutumia nguvu kubwa kujaribu kuwaaminisha watu,na umedanganya kwamba uko moja kwa moja kwa wakulima,kitu ambacho unadanganya ksbb wakulima hakubariani kabisa na huo mfumo mpya ambao utakuwa hauna ushindani. Na bado tupo miaka miwili mingi 1. utasikia mmeibiana kwenye hicho chama,utasikia ufisadi mkubwa 2. utasikia hakuna hela za kuwalipa walioleta cocoa 3. Ndani ya huo muda utasikia mnataka kununua cocoa kwa Tsh.800
Kiongozi hawezi kuiba...matumizi ya Msingi ya msimu na matumizi mkakati kisheria yanajulikana ..na ndio maana KAMA MAAFISA USHIRIKA... Tukaomba kanuni ya matumizi ya mapato ya chama yaongezwe kisheria....Isitoke Pesa kwenye akaunti ya ushirika bila idhini ya afisa ushirika... Na Kuna shirikisho LA ukaguzi wa USHIRIKA (COASCO)... mjomba. Wewe unaweza kuwa ni mmoja wao wanunuzi limekuuma hili
 
Hapo umejipambanua vizuri kumbe ni mmojawapo wa hilo genge lililopanga kwa makusudi kuwaumiza wakulima. Nakupa miaka miwili tu jinsi mtakavyofeli. Siwaombei kufeli ila ni hali halisi. Mimi ni mfanyakazi na sipo kyela,ila nimewasirisha tu kwa namna hii kilio cha wakulima karibia wote. Hivi sasa wapo wakulima vijiji vya lukwego,wanafikiria hali ikiendelea hivi wanafyeka miti ya cocoa wapande miwese. Wewe ni afisa wa chama cha ushirika unatamani sana huu mpango wenu wakulima wasistukie,lakini nakuhakikishia wakulima hawa sio wale wa 80. Pamoja na kwamba mmewalazimisha (mmewalazimisha ksbb hakuna aliewaelewa ktk huu mpango wenu),mnawaburuza kwa lazima. Pamoja na kwamba wewe ni afisa ungetembelea vijijini-na hapo uje na majibu ya kweli siyo ya upande mmoja (kitu ambacho najua hutakiweza)
 
Back
Top Bottom