Zao la cocoa Wilaya ya Kyela

Zao la cocoa Wilaya ya Kyela

WTF? Watu wa kyela ndio wanaolichafua kabila la wanyakyusa kwa 95%.Umalaya,wasengenyaji,kiburi,jeuri,dharau,majivuno..mbali na hayo ni wanaume ni wavivu kutwa kusubiria wake zao wajishughulishe wao wale walale asubuhi waamke kucheza bao.Ukarimu wanao watu wa mwakaleli lkn sio kyela.
Another lost stupid tourist,wewe kabila gani tuanzie hapo kwanza. ukiona mwanaume kutwa kulalamika kuna mashaka.
 
duh..those days..kulikua na 'fumbi'zito..wenyej wa pande zile wengi wao walikia watu wenye hali duni sana sana walikua wakituon tunPitA n school bus wanajaA kama wote..kulikua na vidaraja vibovu bovu kweli....hyo ni miaka ya early 80 mwanzoooni[emoji41]
Ndio mkuu lakini baada ya kuja na soko huria nenda sasa hivi pande hizo,hakika huwezi kuamini kwamba ni wale wa miaka ya 80. Wengi wao sasa wana nyumba nzuri,wengi wao wamenunua magari aina ya Noah. Maisha yalibadirika. Ndio maana wakafikiriwa hata kupelekewa lami ksbb huko ni sehemu kubwa kunaiingizia pato wilaya na serikali kwa ujumla kupitia zao la mpunga,mawese,zaidi cocoa. Ila sasa wanarudishwa miaka hiyo ya 80
 
Ndio mkuu lakini baada ya kuja na soko huria nenda sasa hivi pande hizo,hakika huwezi kuamini kwamba ni wale wa miaka ya 80. Wengi wao sasa wana nyumba nzuri,wengi wao wamenunua magari aina ya Noah. Maisha yalibadirika. Ndio maana wakafikiriwa hata kupelekewa lami ksbb huko ni sehemu kubwa kunaiingizia pato wilaya na serikali kwa ujumla kupitia zao la mpunga,mawese,zaidi cocoa. Ila sasa wanarudishwa miaka hiyo ya 80[/QU

we r on the right track...mtaambiwa mnatumika na mabeberu...
 
Mkuu sema tu hajuani ndo maana
Mmmmh sawa achana na wanafiki angalia pande zingine,kwani wewe umeongeza nini kwa watu wa kyela?Inawezekana ulienda kibabaishaji na kujifanya mjuaji ukidhani wale watu warahisi kivile, unajua maana ya kyela?
 
Hakuna cha kupotosha,nenda zungukia vijijini waulize wakulima mmoja mmoja,hata wale wanunuzi wakubwa wasikilize. 95% hawataki huo mfumo wenu mpya. Sasa zaidi ya hapo utataka nini? Wape wengi wanachokihitaji. Mpaka hivi sasa wale wakulima wadogo wadogo wameshaanza kuumia,zao hilo kijijini tayari wanauza chini ya vile walivyozoea
Sio nipite vijijini naishi na nnafanyia kazi vijijini na nature ya kazi yangu ni hiyo.. Nenda huko kwenye korosho uone wanavyoshukuru mfumo wa ushirika, nenda kwenye pamba msimu huu wameanza kununua kwa kupitia ushirika, nenda kwenye kahawa kote wanashukuru huu mfumo wa manunuzi kupitia ushirika.
Mosi, chama kinapata Ushuru wa ukusanyaji wa mazao ambao ni 3% ya bei ya zao kwa kila kilo atakayo kusanya ambayo hii inabaki kijijini tofauti na mfumo wa makampuni ambao huo Ushuru 3% alikuwa anachukua Mhasibu ambaye ni muajiriwa wa kampuni hivyo ushuru huo unarudi kwenye kampuni kwa hapo lazima makampuni ya hujumu mfumo.
Pili, ajira Kwenye kila buying post anatakiwa awepo Karani na karani mpimaji zidisha mara buying posts zote utaona impact yake.
3.Ubora wa mazao, kila kampuni ikiwa na kituo kijiji kimoja usimamizi wa ubora Wa mazao unakuwa ni changamoto.
 
Wilaya ya Kyela ipo mkoa wa Mbeya kusini kabisa mwa Tanzania,ndio wilaya inayopakana na Malawi. Kusini kabisa mwa hiyo wilaya kuna ziwa Nyasa,imezungukwa na mito mikubwa minne inayoijaza maji ziwa Nyasa,maji yake ni baridi sio maji chumvi. Ni wilaya iliyobarikiwa kwa kuwa na udongo wenye kustawisha karibia zao lolote linalolimwa Tanzania,iwe la biashara au chakula. Na bahati udongo wake unastawisha vyakula vyenye radha tamu tofauti na mahala pengine. Mfano mchele wa kyela ni mtamu kuliko mahala popote Tanzania. Samaki mtamu kuliko mahala popote Tanzania utamla kyela,samaki watokanao na maji baridi. Kunalimwa zao la mchikichi unaotoa mawese. Zao la cocoa linalolimwa kyela ndilo linatoa cocoa bora na tamu kuliko mahala popote Tanzania. Mbali na mpunga unatoa mchele bora hili zao la cocoa ndilo zao kuu la biashara wilaya kyela. Sasa kitu ninachotaka tukijadiri ni mabadiriko ya ununuzi wa hilo zao. Miaka ya 80 hili zao lilikuwa linanunuliwa na vyama vya ushirika. Kwa ujumla ununuzi wa vyama vya ushirika uliwadumaza sana wakulima wa hili zao. Ilikuwa mkulima akipeleka kuuza ilikuwa lazima akikopeshe chama cha ushirika,chama kinamlipa mkulima kwa muda kinaotaka,na kwa bei inayotaka. Wakulima wengi wakakata tamaa kuendelea na ukulima wa hili zao. Kipindi cha awamu ya 3 ikaja na sera soko hulia. Yakaja makampuni mengi kununua hili zao,kwa hiyo kukawa na ushindani wa bei. Hii ilileta mapinduzi makubwa kwa wakulima wa hili zao,bei ikapanda. Wakulima wakahamasika kulima kwa wingi tena hili zao,na haya makampuni yakawasaidia wakulima namna bora kuanzia kupanda,kutunza,kuvuna mpaka muda utakapouza. Hakika likawabadirisha sana kimaisha wakazi wa wilaya hii. Wengi wana hali nzuri sana kimaisha kupitia zao hili. Sasa hivi karibuni limerudishwa ile hali ya zamani,kwamba zao linunuliwe na chama cha ushirika tu. Hali imebadirika ghafla,bei hili zao imeanza kushuka sana kwa wakulima vijijini. Watu taratibu wana muelekeo wa kukata tamaa kuendelea kustawisha hili zao hali ikiendelea namna hii.
Piga Kelele tutume jeshi
 
kama vyama vya ushirika vikitumik a vizuri hawa wanyonyaji watakimbia tu wamekuwa wakiwanyonya sana wakulima kwa kisingizio cha soko huria,ni wakati wa vyama ushirika kushiriki kiuledi sasa kuwakomboa wakulima.
Wewe mtu ni fisadi wa kutupwa. Hayo makampuni binafsi yamekuwa yanawanyonya wananchi, kilo moja wananunua chini ya sh 2,000 lakini sasa kupitia vyama vyao wanauza kwa zaidi ya 4000. Watu hamna huruma bado mnataka kuwadhulumu kwa sababu mna uwezo wa kugonga keyboard. Kuweni na aibu, kama unataka COCOA kalime mwenyewe lakini sio kunyonya wananchi.
 
Duuh...! wewe ulikutana na wanyakyusa wa maeneo gani mkuu? Sifa za wanyakyusa wa kyela 1. KUJIAMINI ”sasa mtu mwingine mgeni kwa hali hiyo yake ya kujiamini unaweza kumwita ana dharau ksbb anaamini kile anachokijua-(nafikiri ulitaka kuwadanganya mahala wakakugomea,ukawaita wana dharau) 2. HAWATAKI KUONEWA-ndio maana wanaitwa wana kiburi,jeuri. 3. HAWATAKI SHIDA-wakipata huwa wanaridhika haraka na kile walichonacho-labda ndio maana unawaita wavivu. Lakini kiuhalisia umesema wanaume hawataki kufanya kazi hiyo nakukatalia kabisa-uzalishaji mali wote wa kaya unahusisha moja kwa moja wanaume. Nenda kipindi hiki mvua zikianza kunyesha hutamkuta mwanaume nyumbani,utawakuta wote wako shambani. Mfano mdogo ni hizi power tiler za kulimia,zile zinatumika nguvu,mwanamke tu hawezi,sasa utasemaje mwanamke ndie anaezalisha? Wanajituma sana kufanya kazi watu wa kyela isipokuwa wanaridhika haraka. 4. WANAPENDA KUSHIRIKIANA,KUKAA PAMOJA-labda ndio umeita wasengenyaji. Kwa sababu kila baada ya kazi ile jioni au wakishavuna,kazi za shamba zikipungua kijijini wana ngoma zao za asili wanakusanyika pamoja. 5. WANAWAKE NI WAZURI WANAJIPENDA,NA WANAUME NI WASAFI WANAJIPENDA-”ndio maana ukawaita malaya. Nikuambie kitu jamaa yangu. Dunia ya sasa ya digtal-mwanamke yoyote akiwa mzuri lazima atatongozwa sana. Kwa vyovyote vile akitongozwa na watu 100 hapo hakosi kuondoka na wa3 hapo katika kipindi fulani,kufuatana na uzaifu wa mwanamke yoyote hawezi kuruka viunzi,vishawishi vya wanaume wote hao 100. Uliza akina weme supet,humis mubet,lalua mikoel n.k,ndivyo ilivyo kwa mwanamke yoyote mzuri. Hata wewe ukioa mwanamke mzuri sana hesabu maumivu. Kwa hiyo ni kokote kule sio kyela tu
Mkuu najua ni ngumu kulisema kabila lako..ni kweli kila kabila lina mapungufu yake.labda tukianzia na point ya umalaya...mkoa wa mbeya unashikiria nafasi ya tatu ukitanguliwa na Iringa na njombe katika suala zima la maambukizi ya ukimwi..na katika mkoa wa mbeya wilaya inayoongoza kwa maambukizi ni kyela...nini kinachangia kyela kuwa na kiwango cha juu kwenye maambukizi ya ukimwi?
 
kama vyama vya ushirika vikitumik a vizuri hawa wanyonyaji watakimbia tu wamekuwa wakiwanyonya sana wakulima kwa kisingizio cha soko huria,ni wakati wa vyama ushirika kushiriki kiuledi sasa kuwakomboa wakulima.
Kaka tarehe 4 mwezi huu, kimekaa kikao cha wadau wote wa pamba mwanza, mazao mengine ya kimkakati yatafuata... Moja, wanunuzi wenyewe wamekubali hawakuwahi kanunua pamba safi kama msimu huu hatushuki pamba ya Tanzania imeongezeka thamani tutatarajie bei nzuri zaidi isiyopungua ya sasa 1100, ambapo pia wanunuzi waliongeza bei na kununua 1200. Pili, wamekubali walikuwa wananyonya UCHUMI wa wananchi kwa sababu wao ndio walikuwa wanaajiri wahasibu ambao ndio walikuwa wanaolipwa Ushuru badala ya kijiji.. Mfano mwanza imenunua kilo takribani 17,000,000 x 33tsh ya Ushuru kwa kilo kwa chama ni Sawa na 561,000,000 ..hizi zilikuwa zinarudi kwenye MAKAMPUNI Kama Ushuru kwa wahasibu wao.. 3. Ushuru wa halmashauri ambao ni 3%-5% ya bei kwa kila kilo.
3. Udanganyifu wa kilo zilizonunuliwa na kusafirishwa.. Ushirika hauwezi kudanganya kilo nunuliwa na safirishwa sababu ndio mapato yao hivyo takwimu hazichachukili. Serikali nakusanya kodi sahihi
 
Wasiponunus tutatuma baka baka wazibebe zote hizo cocoa kwan tani ngapi zipo??
 
Mkuu najua ni ngumu kulisema kabila lako..ni kweli kila kabila lina mapungufu yake.labda tukianzia na point ya umalaya...mkoa wa mbeya unashikiria nafasi ya tatu ukitanguliwa na Iringa na njombe katika suala zima la maambukizi ya ukimwi..na katika mkoa wa mbeya wilaya inayoongoza kwa maambukizi ni kyela...nini kinachangia kyela kuwa na kiwango cha juu kwenye maambukizi ya ukimwi?
Tanua ufahamu kidogo tu kuwa kyela ni mpakani na business center,so mwingiliano wa watu ni mkubwa sana,hii haijustfy kuwa wanyakyusa ni malaya.
 
Tanua ufahamu kidogo tu kuwa kyela ni mpakani na business center,so mwingiliano wa watu ni mkubwa sana,hii haijustfy kuwa wanyakyusa ni malaya.
Kwanini isitokee Namanga,ina maana kyela ndio mnajua biashara kuliko mipaka yote Tanzania. Tumia akili kuelewa ukweli
 
Kwanini isitokee Namanga,ina maana kyela ndio mnajua biashara kuliko mipaka yote Tanzania. Tumia akili kuelewa ukweli
Ni vigumu kunielewa nlichoandika ila nikusaidie tuu kukubaliana na wewe kuwa iwe hivyo kuwa wanyakyusa wa kyela ni malaya sana,wote wana ukimwi, ni wavivu sana na niwanafiki sana, soon watakufa wote nenda kaeneze kabila lako mkaijaze ardhi ya kyela, tatizo hatujui kabila lako, ni kweli 97% ya kyela ni wanyaki, who are you?
 
Mnyaki..
 
Back
Top Bottom