Zanzibar yasema iko tayari kufa njaa

Zanzibar yasema iko tayari kufa njaa

Msimamo huo wa SMZ ulitolewa kwa nyakati tofauti na Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar , Mohamed Aboud Mohamed , na waziri wa fedha wa Zanzibar Omary Yusuph Mzee , walipozungumza na Nipashe kuhusu msimamo wa EU , Marekani na washirika wao kusikitishwa na kurudia uchaguzi kabla ya kupatikana muafaka wa uchaguzi halali wa octoba 25 mwaka jana .

" Zanzibar ni nchi huru na itaendelea kuwa huru , tuko tayari kupokea misaada inayozingatia utu na heshima kwa Zanzibar na wananchi wake , kinyume chake tuko tayari kufa njaa " alisisitiza Aboud .

My Take - ukiona panya anaringa mbele ya paka basi ujue karibu yake kuna shimo , je shimo la Zanzibar ni Tanganyika ? na je katika hili Tanganyika itapona ?
Yetu macho .

Eti...'' Zanzibar ni nchi huru na itaendelea kuwa huru , tuko tayari kupokea misaada inayozingatia utu na heshima kwa Zanzibar na wananchi wake , kinyume chake tuko tayari kufa njaa " ...Umeme tu wa TANESCO unawashinda kulipa sembuse uhakika wa kula kwa watu wenu??
 
Namkumbuka afande mmoja JKT alikuwa akijiita "kimwaga vumbi". Alikuwa akijitambulisha kwa recruiters, "mimi ndie kimwaga vumbi, naogopa NJAA tu katika dunia hii, na Mungu kidoooogo!" Njaa si kitu cha kufanyia masihara, ndugu zanguni!
 
Inasikitisha sana.
Hawa wanaosema wako tayari kufa njaa wanaishi kwa kodi na jasho la watakaokufa njaa, wao wanaangalia account zao zinasoma milioni kadhaa wakati wananchi waliowakataa ndio watakufa njaa! Poor Africans!
 
Mh!Jana nilimuona SHein hata ile furaha alikuwa hana pamoja na Mkewe kuruka ruka kwa furaha lakini Shein alionekana kama ka mwagiwa maji.
 
Zanzibar ni kama russia hitatikisika kiuchumi, hata kama itawekewa vikwazo

Wangekuwa upande wa pili ni wakulima na wafanyakazi kama upande mwingine ningesema hilo tamko ni sahihi.Lakini Muhogo,Ndizi, nk nk vyote vyatoka kwa MACHOTARA ndipo mtakapokoma MACHOTARA wakikataa kuwauzia vyakula vyao
 
Siasa wkt mwingine ina vitu ambavyo vinatoa hadithi za kusadikika tu!!! Hasa kwa viongozi ambao wanataka kukaa ktk uongozi milele au kupora nafasi ambazo hawakupewa na wapiga kura!! Eti tupo radhi au tayari tule nyasi, lkn tusiingiliwe na mataifa ya nje ambayo ni wahisani wao!!! Mara zote kauli hizi utolewa na viongozi ama madikteta au wenye uelekeo huo!!! Kama kweli kauli hiyo imetoka ktk vinywa vya viongozi wa visiwa hivyo, basi sawa ngoja tu tuombe mungu atupe uzima na salama, tuone viongozi hao wakiviendesha visiwa hivyo misaada toka kwa wahisani!!! Naangalia vyanzo vyake vya mapato na hali ya uchumi uliopo!

Napata shaka na kauli hiyo, kama ilikuwa na usahihi au mihemko tu ya viongozi wasio maono!!!! Wakamuulize robert mugabe anachokipata hivi sasa, mbona amewapigia magoti tena, kuwaomba hao hao wahisani aliokuwa wakiwatusi, wamsaidie kuokoa maisha ya wazimbabwe wanaokabiliwa na janga kubwa la ukame!!! Na ana ardhi ya kutosha kuendesha kilimo, kujenga viwanda n.k. Sumbuse zanzibar inayotegemea hao hao wazungu waje kutazama mji mkongwe ndio wapate kipato chao!!!

Kama upande wa tanganyika ndio tegemeo na chanzo cha kusema maneno hayo, nadhani sio sahihi kabisa, kwani hata wao wanategemea wahisani pia ktk masuala yao!!! Tusubirie tuone!!
 
uwezo wako wa kutafakari ni mdogo sana !

Uwezo wangu kutafakari ni mkubwa sana haupo kwenye radar yako ndio maana unahisi ni mdogo. I dont blame ye. Let me further clarify well to you dumb guy.

Mimi siafiki kuogopa kukosa misaada sababu ya repercussion from donors bcoz of the way we conducted our internal affairs. Wewe unaona ni sawa na unategea macho kusikilizia huko, and you wholeheartedly propose that shit and you call me silly names for opposing. Niga if someone opposes you, never look down on him.
 
Msimamo huo wa SMZ ulitolewa kwa nyakati tofauti na Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar , Mohamed Aboud Mohamed , na waziri wa fedha wa Zanzibar Omary Yusuph Mzee , walipozungumza na Nipashe kuhusu msimamo wa EU , Marekani na washirika wao kusikitishwa na kurudia uchaguzi kabla ya kupatikana muafaka wa uchaguzi halali wa octoba 25 mwaka jana .

" Zanzibar ni nchi huru na itaendelea kuwa huru , tuko tayari kupokea misaada inayozingatia utu na heshima kwa Zanzibar na wananchi wake , kinyume chake tuko tayari kufa njaa " alisisitiza Aboud .

My Take - ukiona panya anaringa mbele ya paka basi ujue karibu yake kuna shimo , je shimo la Zanzibar ni Tanganyika ? na je katika hili Tanganyika itapona ?
Yetu macho .
Njia ya mwongo ni fupi sana siyokama anavyojivunia Mh Mohamed heshima anayoililia niya Wachache kutokana na maamuzi halali ya Wanzanzibar Oktoba 25,2015.Yuko wapi Mramba naye alikuwa anaongea kwa jeuri kama wewe leo hii tunafagia naye Dispensari ya Wapalestina.Inafaa kauli zako zikumbuke makuli wakwezi na wakulima wa Donge na Mkwajuni huko Unguja usifikilie viyoyozi unavyofaidi kwa sasa hivyo ni vya muda.
 
Njaa wanaijua hao wanaopanda pipa first class watoto wanasoma Melbourne ama Sidney ,mke mdogo yupo Canada , njaa waulize wazee enzi hizo ya vita ya kwanza ya dunia ,mtoto anazaliwa anatambaa tu miaka 4 ,achana na njaa bana
 
Jf bhana!
Jana watu wanabeza kutegemea misaada, leo tena mnaogopa bila misaada mtakufa njaa!!!
 
Msimamo huo wa SMZ ulitolewa kwa nyakati tofauti na Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar , Mohamed Aboud Mohamed , na waziri wa fedha wa Zanzibar Omary Yusuph Mzee , walipozungumza na Nipashe kuhusu msimamo wa EU , Marekani na washirika wao kusikitishwa na kurudia uchaguzi kabla ya kupatikana muafaka wa uchaguzi halali wa octoba 25 mwaka jana .

" Zanzibar ni nchi huru na itaendelea kuwa huru , tuko tayari kupokea misaada inayozingatia utu na heshima kwa Zanzibar na wananchi wake , kinyume chake tuko tayari kufa njaa " alisisitiza Aboud .

My Take - ukiona panya anaringa mbele ya paka basi ujue karibu yake kuna shimo , je shimo la Zanzibar ni Tanganyika ? na je katika hili Tanganyika itapona ?
Yetu macho .
Eu wanatishia tu hawako tyr kuiacha tz wanajua maliasili tulizonazo sema tu tunakosa viongozi wenye maono ya kuziendesha mbn watatupigia magoti wenyewe
 
Tatizo ni kwamba hadi hiyo njaa imfikie Abood na hao waropokaji wenzake, Zanzibar itakuwa imejaa mizoga isiyokuwa na wazikaji!
Kweli mkuu, hawa wanaosema Wazanzibar wako tayari kufa kwa njaa wana maana kwamba wako tayari kuwaua wazanzibar ili wao waendelee kutawala na siyo kwamba wao wako tayari kufa kwa njaa. Wangekuwa tayari kufa kwa njaa wangempisha Maalim Seif madarakani ili wao waende uraiani kuganga njaa tuone kama wangeropoka huo uharo.
 
Heko muhishimiwa Abood, hata wachukue zoote hatutishiki. Chungu kikuu (Tanganyika) hakijaanza kukauka wala hakiwezi. Chezea bembeleza mwana weye. Wakileta za kuleta, Kenya wanatuhitaji

Mawazo ya kuolewa olewa tuu, yaani ukiachwa na Tanganyika unajivunia kuna mume kenya anakuhitaji! Jinga kweli badala ya kuwaza kujitawala linawaza kutawaliwa na kenya. Shenzy type.
 
Nchi huru...uhuru upi? Huu wa bendela ...mbaka mambo mnaanuliwa ? huyo waziri afundishwe maana ya nchi huru naona hajui anachozungumza
Hawajui walisemalo. Niwakuonea huruma. Kunawachache kutoka tanganyika wanaongoza Zenj kwa kuwatumia hao watoa matamnko bila kupima hathari.
 
Back
Top Bottom