vijana wakishalipwa elfu 7 za chipsi wako tayari kuandika chochote .kuna mtu kasema Zanzibar kama Russia....NIMECHEKA SANA.
ha ha ha bila huna profesa wala dr.walimu utawajua tu , hivi ndugu Mwl unafikiri mimi ni wa kufundishwa somo kama hilo ?
ha ha ha bila mwalim huna profesa wala dr.walimu utawajua tu , hivi ndugu Mwl unafikiri mimi ni wa kufundishwa somo kama hilo ?