Zanzibar yasema iko tayari kufa njaa

Zanzibar yasema iko tayari kufa njaa

Wako tayari kufa njaa wakati hadi sasa hivi wanalishwa na Tanganyika. Tanganyika yenyewe imelalilia kutumbua majipu kama vile ndio maendeleo yenyewe.
Hivi unaamini njaa inaweza kumkuta Aboud na mwenzake na hata kupelekea vifo? Au watakao athirika ni ni wananchi wasiofaidi mema ya nchi?
 
Heko muhishimiwa Abood, hata wachukue zoote hatutishiki. Chungu kikuu (Tanganyika) hakijaanza kukauka wala hakiwezi. Chezea bembeleza mwana weye. Wakileta za kuleta, Kenya wanatuhitaji
 
Msimamo huo wa SMZ ulitolewa kwa nyakati tofauti na Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar , Mohamed Aboud Mohamed , na waziri wa fedha wa Zanzibar Omary Yusuph Mzee , walipozungumza na Nipashe kuhusu msimamo wa EU , Marekani na washirika wao kusikitishwa na kurudia uchaguzi kabla ya kupatikana muafaka wa uchaguzi halali wa octoba 25 mwaka jana .

" Zanzibar ni nchi huru na itaendelea kuwa huru , tuko tayari kupokea misaada inayozingatia utu na heshima kwa Zanzibar na wananchi wake , kinyume chake tuko tayari kufa njaa " alisisitiza Aboud .

My Take - ukiona panya anaringa mbele ya paka basi ujue karibu yake kuna shimo , je shimo la Zanzibar ni Tanganyika ? na je katika hili Tanganyika itapona ?
Yetu macho .
Wao hawatakuemo katika hao watokufa na njaa.Watokufa ni wale watu wa chini na maskini.
 
Hata Mugabe alikuwa na ngonjera kama hizi...sasa hv anaomna mahindi ya uji toka kwa Wazungu
 
Wanapata jeuri kwa kuwa bara ndio watakuwa wamewafikisha hapo pa kuulizwa hilo swali, bara wakizingua wananchi wakaanza kufa njaa, basi lazima zenji ijitenge kwa sababu huu muungano haupendwi na wengi, wakijitenga kuwa nchi huru kina Mkapa waliosababisha haya ndio wataumbuka, Shein ataenda kuwaambia waarabu waje wala wao si mazombie, walipitiwa tu kutamka hayo. Na neema itarejea kwao na aibu kwa viongozi.
 
Hii ndiyo akili matope ya waafrika. Tunafanya mambo ya ovyo kisha tunasema "tuko tayari kula hata nyasi" kwani tunapaswa kula nyasi? kwani tukila nyasi tunawakomesha hao Marekani au Ulaya? Kwani kufa njaa au kula nyasi ndio ushujaa? I am very ashamed of this stupidity.
 
Heko muhishimiwa Abood, hata wachukue zoote hatutishiki. Chungu kikuu (Tanganyika) hakijaanza kukauka wala hakiwezi. Chezea bembeleza mwana weye. Wakileta za kuleta, Kenya wanatuhitaji

Nina hakika utaanza kufa njaa wewe kabla huyo umpaye heko. Lakini wewe endelea kushangilia tu maana kichwa chako ni puto
 
Zanzibar ni kama russia hitatikisika kiuchumi, hata kama itawekewa vikwazo

Mie nahesabu vichwa maputo tu humu. Kama unailinganisha Zanzibar na Russia na tena uko serious basi wewe hicho kichwa puto inaonyesha kimejaa halogen. Na kipepee kiache mwili ili wapate kufaidika kunguru kuliko kujaza idadi ya walimwengu tahira
 
W
Msimamo huo wa SMZ ulitolewa kwa nyakati tofauti na Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar , Mohamed Aboud Mohamed , na waziri wa fedha wa Zanzibar Omary Yusuph Mzee , walipozungumza na Nipashe kuhusu msimamo wa EU , Marekani na washirika wao kusikitishwa na kurudia uchaguzi kabla ya kupatikana muafaka wa uchaguzi halali wa octoba 25 mwaka jana .

" Zanzibar ni nchi huru na itaendelea kuwa huru , tuko tayari kupokea misaada inayozingatia utu na heshima kwa Zanzibar na wananchi wake , kinyume chake tuko tayari kufa njaa " alisisitiza Aboud .

My Take - ukiona panya anaringa mbele ya paka basi ujue karibu yake kuna shimo , je shimo la Zanzibar ni Tanganyika ? na je katika hili Tanganyika itapona ?
Yetu macho .

wananchi wa kawaida ndiyo wanao tesekaga asee
 
Nina hakika utaanza kufa njaa wewe kabla huyo umpaye heko. Lakini wewe endelea kushangilia tu maana kichwa chako ni puto
xotara;
Kama ni kichwa puto naona ni hicho unachotumia. Soma taratibu uzi wangu utanielewa tu. Zanziba hawatakaa walale njaa, mama yao Tanganyika anawalisha mchana na usiku. Akigoma tu, tunalivunja jungu la muungano upo??
 
Wako tayari kufa njaa wakati hadi sasa hivi wanalishwa na Tanganyika. Tanganyika yenyewe imelalilia kutumbua majipu kama vile ndio maendeleo yenyewe.
wew acha kujitoa ufaham utaletaja maendeleo wakati hela za marndeleo kuna vijikundi vinadokoa na kujinufaisha wao wenyewe , au na wew ni jipu
 
Msimamo huo wa SMZ ulitolewa kwa nyakati tofauti na Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar , Mohamed Aboud Mohamed , na waziri wa fedha wa Zanzibar Omary Yusuph Mzee , walipozungumza na Nipashe kuhusu msimamo wa EU , Marekani na washirika wao kusikitishwa na kurudia uchaguzi kabla ya kupatikana muafaka wa uchaguzi halali wa octoba 25 mwaka jana .

" Zanzibar ni nchi huru na itaendelea kuwa huru , tuko tayari kupokea misaada inayozingatia utu na heshima kwa Zanzibar na wananchi wake , kinyume chake tuko tayari kufa njaa " alisisitiza Aboud .

My Take - ukiona panya anaringa mbele ya paka basi ujue karibu yake kuna shimo , je shimo la Zanzibar ni Tanganyika ? na je katika hili Tanganyika itapona ?
Yetu macho .
Ni sawa kama wana uthubutu wa kufa njaa. Ila wasije kuhemea kwetu (Tanganyika)
 
xotara;
Kama ni kichwa puto naona ni hicho unachotumia. Soma taratibu uzi wangu utanielewa tu. Zanziba hawatakaa walale njaa, mama yao Tanganyika anawalisha mchana na usiku. Akigoma tu, tunalivunja jungu la muungano upo??

Sio la kujivunia hilo. Amuungae kimawazo mpumbavu nae ni mpumbavu tena wa zaidi. Hicho chungu cha Tanganyika unachokiringia na kujivunia kinachukua huo msaada kupeleka Zanzibar kutoka mifukoni mwa watanganyika maana ndio wanaolipia ya Zanzibar. Walipa kodi. Marudio ya uchaguzi haramu, ulinzi kwa mmiminiko wa majeshi. Sasa kama unalifurahia hayo wewe ndo puto tena wa asilia... tahadhari usijepita hata kwenye nyasi fupi.... maana puto likiguswa hata na ncha ya majani tu litapasuka ndugu yangu...
 
wew acha kujitoa ufaham utaletaja maendeleo wakati hela za marndeleo kuna vijikundi vinadokoa na kujinufaisha wao wenyewe , au na wew ni jipu

Unajua maana ya balance? Unapiga kote kote sio kila siku majipu majipu wakati watu wana shida za kufa mtu. Ufahamu ninao sana tu sio wa buku saba kama wewe banaaa!
 
Msimamo huo wa SMZ ulitolewa kwa nyakati tofauti na Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar , Mohamed Aboud Mohamed , na waziri wa fedha wa Zanzibar Omary Yusuph Mzee , walipozungumza na Nipashe kuhusu msimamo wa EU , Marekani na washirika wao kusikitishwa na kurudia uchaguzi kabla ya kupatikana muafaka wa uchaguzi halali wa octoba 25 mwaka jana .

" Zanzibar ni nchi huru na itaendelea kuwa huru , tuko tayari kupokea misaada inayozingatia utu na heshima kwa Zanzibar na wananchi wake , kinyume chake tuko tayari kufa njaa " alisisitiza Aboud .

My Take - ukiona panya anaringa mbele ya paka basi ujue karibu yake kuna shimo , je shimo la Zanzibar ni Tanganyika ? na je katika hili Tanganyika itapona ?
Yetu macho .

kama hujui kuna kufa pitia makaburinimakaburini!!
waiulize zimbawe...
 
Back
Top Bottom