Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Tumuache mh afanye kazi,kwan Watanzania tumekua watu wakulalama kila siku?
Kwani nani amemzuia kufanya kazi? Nani mwenye uwezo huo, kama ana uwezo wa kumshughulikia mtu ndani ya dk 5 kuna mtu wa kumzuia kufanya kazi? Na kulalama kunamzuiaje kufanya kazi. Kabla ya kupost soma kwanza ulichoandika na kutafakari mkuu!
 
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!

Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Wewe poteza muda kuzidi kufikiri ba kutaka fabricate vitu visipokuwepo. Ukiwa Rais laxima uheshimike na si kuchezewazewa kulipotufikisha hapa leo hii. Sasa ni iazi ha nidhamu tu!
 
Hivyo siyo visasi ni kuondoa tatizo. Asiye na nidhamu au uadilifu atatumbuliwa. Watumishi wa umma walijisahau sana wakawa mabosi wa wananchi badala ya wahudumu wao.
Sawa kabisa haiwezekani ntu adie na nidhamu akatensewa sawa na mtu nwenye nidhamu big NO!
 
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
labda nahisi atafanya kama alivyofanyiwa lissu na viongozi wengine wa upinzani walipojaribu kumkosoa.
 
Hivi mtu anaweza kukuchafua kwa kunukuu maneno yako?

A big YES...mtu anachukua kipande cha hotuba na kutoa tafsiri...Hiyo ndiyo PROPAGANDA...Goebbels wakati wa Hitler aliweza sana hii...alikuwa ni waziri wa PROPAGANDA...kinachofanyika sasa na wapinzani ni kuchukua vile vipande vya hotuba vya JPM na kuvijengea hoja...mambo ya msingi katika hotuba yake wanayaacha ....kwa mfano wanachukua lile la utani kwa wahehe la kujinyonga au lile la polisi trafiki toeni matairi ya magari au lile la polisi kuchukua pesa kwa ajili ya dawa ya viatu....au mimi anipe angalau dakika tano...mambo mengine yote ya msingi katika hotuba za JPM yanaachwa kwa mfano kupigania amani, maendeleo kwa wananchi, uzalendo, nidhamu kazini, kuipenda nchi, vita dhidi ya ufisadi, heshima, uadilfu, na kadhalika....Sasa bahati mbaya wasaidizi wa Rais wengi nadhani ni vijana au hawana upeo mkubwa wa masuala haya ya PROPAGANDA, hawana mikakati mizuri kupambana na mbinu hizi za wapinzani...lakini nakwambia ni rahisi mno kupambana na propaganda za upinzani kwa watu wanaofahamu propaganda..na kama atawatumia watu wanaojua propaganda ni rahisi mno kuuzika upinzani...kwanini??? kwa sababu ni rahisi ku-foresee wapinzani watakuja na jambo gani dhidi ya hoja za serikali au JPM...
 
Sijasema kutafsiri,nimesema kunukuu. Uwezi kumchafua mtu kwa kunukuu ila ni kwa kutafsiri. Na uzi unaongelea kunukuu na sio kutafsiri.
 
Karibu sana Sizonje, hii ndo nyumba yetu
Tulipoficha mundu za kupondea wezi
Kwani, makaburi yaliofukuliwa lazima yazikwe upya?
Nyumba hii Sizonje ina vyumba vinne
Vitatu havifunguki, kimoja hakina mlango
Japo kuwa kina watu ndani, na hawaongei kiswahili
Wenyeji wanalala sebleni na walishazoea
Sizonje kule tulipotoka panaitwa jikoni
Huna haja ya kwenda kule, kumejaa mafundi wa kupika
Sasa hivi wanakupikia wewe ili ule ulale
Ukiamka muongee nini hasa ujio na dhima ya safari yako
Wanashangaa mbona ghafla
Samahani sana mgeni
Wapishi wameniomba kwamba
Nikuulize tena kwa kukuomba kwamba
Eti unapenda vya mafuta au vya nazi?
Wanataka kukuonyesha madoido katika mapishi yao Sizonje
Sizonje chumba hiki naomba usiingie
Ukimaliza nitakwambia kwanini
Kuna sauti inajirudia mara kwa mara
Na hapa mlangoni kulikuwa na picha mbili kubwa
Moja picha, nyingine mchoro wa picha wa kwanza
Ninachokumbuka iliwahi kuandikwa
“USIYEMTAKA KAJA”
Hatukuwahi kuelewa maana yake
Labda kwa sababu ya ujio wako unaweza kutusaidia
 
Ningehakikishiwa usalama wa id yangu humu jf ningetoboa makandokando yote ya watu aina ya malaika watakatifu ila hapa ndo tupo gizani wakosoaji tunawindwa usiku na mchana. Mungu awalaani wote wenye mioyo ya chuki kwa wanadamu wenzao.
Mmh faza upo?
 
Jecha anastahili kupewa Nishani ya Ushujaa kwa kusimamia Uchaguzi kwa haki na bila kuyumba!!
 
wao wako radhi na uongo wa seif tu ! .......maana wapemba wanaamini PEMBA itakuwa dubai bila kufanya kazi

Nani kakwambia Pemba hawafanyi kazi ? wewe Umezaliwa jana nini? Katembee Pemba utajua....na kama una dada katafute sehmeji wa kipemba utajua namna wanavofanya kazi
 
Nani kakwambia Pemba hawafanyi kazi ? wewe Umezaliwa jana nini? Katembee Pemba utajua....na kama una dada katafute sehmeji wa kipemba utajua namna wanavofanya kazi
ingekuwepo hiyo kazi wanayo fanya, m'ngempa Seif maana kwa sasa ni 'jobless' ! Macos
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom