Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Sasa kama hawali inakuwaje kipindi cha mfungo bajeti ya chakula inakuwa kubwa kwenye familia zao?!!
 
Hizo ni taratibu za serikali na taratibu hizo ni lazima zifuatwe ama kutekelezwa na kila anayehusika (kwa case hii ni kwa watumishi tu na siyo kila raia). Kwa hivyo taratibu za dini fulani hazitakiwi kumhusu kila mtu kwa sababu si za lazima kufuatwa ama kuheshimiwa na kila mtu.
Ndugu huo utaratibu ni mpaka kwa raia, mwanamke kapiga kiskin jeans chake au jamaa kavaa mlegezo wake Wizara ya Ardhi hawaingiii wala Rita kiufupi hiyo sheria ipo hivyo na kuna SUMA JKT kila kona, hawana mzaha wale.
 
Hii hseria iletwenhuku bara pia, hasa kilimanjaro na arusha na mbeya
 
Znz ikifika kipindi cha ramadhani, ukienda dukani kununua vyakula vya fast food hawakuuziiw(mfano soda, mikate, maji)...
Na hata ukishikwa na kiu, ukasema uende kuomba maji kwenye nyumba hawakupi.
Inshort wanabana mianya yote ya watu kula mchana, unakuta vyakula vinauzwa hotels za kitalii tu,
Na hata kama ni mkristo, wakikuona unakula njiani wanaweza kukufanyia vurugu,
Huwa hawafungi,wanashinda njaa tu. Kufunga ni kuacha kula kwa sababu umekusudia kufanya ibada siyo eti kwa sababu no fodi..Mfungaji hata ukila mbele yake hababaiki.
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
udini mbona upo, wala si wa kuuliza, hiyo hali ni kila mwaka, migahawa yote na hata kwa mama ntilie inafungwa si ruhusa, zinabaki hotel za kitalii tu, huruhusiwi hata kutafuna big g muda wa mchana
 
Mungu atakaye kusimamia wewe kuwachukulia hatua watu wa imani nyingine kwa kula hadharani huyo atakua ni Mungu wa zanzibar, Ukifunga ukashawishika kula kwa sababu mtu wa imani nyingine anakula basi utakua umefunga kwa sababu fulani sio za kidini, Tufuate sheria za nchi sio sharia za waarabu.

Mantiki ya kawaida inakataa kwamba mtu mzima hata awe kichaa hawezi kushawishika kufanya jambo la kuiga.Mtizame kichaa aliye uchi.Kichaa hawezi kuchomoka kwenda kuvaa nguo kwa sababu amemuona mtu mwingine amevaa nguo tena gubigubi.Na vile vile mtu mwenye akili timamu hawezi kumuona kichaa barabarani akiwa uchi na yeye kunogewa" na kuanza kuvua nguo zake.Hii ndio kusema muislamu mtu mzima mwenye complete senses hawezi kutamani au kutoka udenda na kufungulia funga yake kisa kamuona mtu jirani yake anakula.Kila mara tunasikia na kuona watu wanaiba mbona na sisi hatutoki kwenda kuiba? Ni Mara ngapi tunapita mitaa ambayo wasichana "wanajiuza" miili yao tena wengine sehemu kubwa wakiwa uchi mbona huwa hatukatishi safari zetu na kwenda "kuwanunua" au nasi kwenda kujipanga ili "tununuliwe"? Ikiwa unayo imani ambayo nafsi inapelekeshwa na senses kwa kiasi kikubwa basi hiyo imani inahojika.Religion is not a success equation rather it is a liberation equation.Imani kazi yake kuleta ukombozi au uongofu Wa nafsi.Kuwataka watu wengine kula kwa "timing" ni kufanya Zanzibar ipunguze kiasi chake cha makusanyo kwa muda wote wa mfungo.Kwamba watu wasiohusika na mfungo huo wafanye shughuli zao kwa mang'amung'amu na hivi kushindwa kukidhi mahitaji yao.Kwa hiyo mkuu huu ndio ukweli unaousema hapa.
 
amin amin nawaambia mara nying:-
Mzur halingi....wala
Mjuaji c muongeaji...wala
Mchokoz hana nguvu .
Ndo hawa wenzetu sasa Z'bar kwa Tngnyika Slam kw Kristo yaan sio km tukiamua wanatuweza ila wanatafta kupigwa waumie tu
Tanganyika na znz ni nchi mbili huru tofauti kabisaaaaa. Hamtaki znz wajitawale msikatae amri zao basi. Haya yasingewakuta kamwe
 
  • Udini au Ubaguzi ni wakupingwa kutokea popote pale
  • Hata Trump alipoleta ubaguzi dhidi ya waislamu alipingwa na watu wa ndani na nje (wakiwemo na waislamu wa Zanzibar, Bara, Saudia, Iran, Indonesia na nk.)

Kwanini tunawabagua Wasen.nge tunapiga marufuku wasibabuane kwny Majumba Yao kwa gharama zao na Kama Madhara wakipata ni ya kwao? Tuanzie hapo ili nikupe Darsa la ubaguzi ulielewe!

Suala la kuheshimu Mila na tamaduni za Watu lipo Dunia nzima japo ni kwa namna tofauti

India Baadhi ya Maeneo migahawa makubwa Kama MC Donald wamekubali marufuku ya kutotumia Nyama ya Ng'ombe kwny Biashara zao na wametii kwa kuwa wanajua Mila na desturi za Watu wa eneo Hilo wanahusisha Ng'ombe na Mungu wao!

Nchi nyingi za Ki Magharibi hawatambui Sikukuu rasmi za Kiislam na Watu wanapiga kazi Kama kawaida na Mtu akiita huo ni ubaguzi anakuwa Mjinga Kama Wewe

Hakuna Taifa wala Jamii isiyo na Utamaduni hata mmoja na huwezi kuudharau kwa kigezo dhaifu cha bills of human rights , Tanzania Mwanamke kukaa uchi hadharani ni kosa na hata Miss Tanzania walipigwa marufuku vazi la kichupi lakin Swatziland Wasichana wanakuwa watupu ili Mfalme achague uchi Mpya na huo ni utamaduni wao huwezi kuita ni udhalilishaji!

Historia ya Marufuku ya watu kutokula hadharani znz ipo hata wakati wa Ukoloni na iliheshimika hivyo
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
Zanzibar hakuna udini bali Uislamu ni ktk mifumo yote ya maisha ktk jamii yao.
 
Kuheshimu dini za watu wengine ni pamoja na kuruhusu wasiofunga wasiathiriwe na 'mkumbo' wa wanaofunga - sema wanaoshinda njaa. Maana nijuavyo mimi kuna watu huwa kwenye 'saum' lakini hali zao haziruhusu kushinda njaa.
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
 
Nahisi kama watu hawajaelewa statement kuna tofauti ya kuambiwa usile na kuambiwa usile hadharani.Unapoambiwa usile hadharani haimanishi usile bt utakapokula tafuta sehemu ya faragha ambapo utakula chakula chako bila ya kumuathiri mwengine na imani yake.Mi nadhani tukiishi kwa kuchukuliana na kuheshimu tofauti zetu sioni kama ni ishu kuacha kula hadharani just kwa mwezi mmoja tu kuepuka migongano isiyo ya lazima.
 
Haki ya wasio Waislamu isiminywe kwa sababu tu ya mwezi wa Ramadhani, hata kama wasio waislamu ni asilimia ndogo sana. Pia kuna Watalii wanaotoka nchi za nje ambao wengi wao si Waislamu hawa pia haki zao zisiminywe.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
 
Hiyo si haki wala si uungwana!! si jambo jema kumlazimisha mtu aendane na matakwa yadini yako huku ni kutafutiana kesi bure!!!
 
KIMSINGI HATA KAMA WASINGESEMA, WATU WA IMANI NYINGINE WALIPASWA KUHESHIMU UTARATIBU HUO.

Lakini ni vema sasa wakapiga marufuku na vitu hivi;
1. Matamasha ya muziki maarufu kama VUNJA JUNGU.
2. Mikesha ya muziki siku ya 'EID MUBBARAKA.
 
Hizi ni moja ya TARATIBU ZA KIPUNGUANI KABISA AMBAZO NCHI ZA WATU WENYE AKILI HUZIKUTI. kwa nini kufunga iwe lazima?kufunga kunatakiwa kutoka moyoni na isiwe kushinda na njaa. Kama nmefunga kweli kweli wewe kula kwako hakunihusu na hakuniathiri kitu. Hizi nchi zetu zina mambo ya kipuuzi sana. KUFUNGA IWE HIYARI YA MTU NA MOLA WAKE. WALA SI SUALA LA KITAIFA.

Nyumbani sisi mzee huuliza wanaofunga na wasiofunga wanapika au kupikiwa chakula chao kama kawaida. Anyway labda sababu yeye ni msomi. Anasema huwez lazimisha mtu kufunga. Swaumu ya kweli ni ile unakiona chakula ila unaushinda moyo kwa kuamua kutokula.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
 
Hakuna jipya hapo,huu ujinga upo miaka yote tena ukidakwa ni mwendo wa mob justice yaani bakora tu.

Ni upumbavu kuniambia eti utamaduni wao kama utetezi pekee,mbona ukeketaji ni utamaduni wa watu na unapigwa vita.

"Uhuru wao unaishia pale pua ya mtu mwingine inapoanzia"

Huu Ni utamaduni uliopitwa na wakati.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom