Zanzibar wants its own currency?

Du ndugu zetu mshatuchoka tena...kila uzushi mnatuzushia...he wala
 
Mkulu hebu twambie hii kitu ni kweli au si kweli, kama uzushi tu tumwambie mode aitupe sehemu stahili
Hakuna kitu kama hicho ni uzushi...Mods labda inawachombeza...tetesi haina hata chanzo cha kizushi ndo tetesi gani hiyo.
 
wa uchumi upi waombe kuwa na pesa yao? sasa hapa naona tunaanza hadithi za kuku kujamba. Uchumi Zanzibar ni sawa na uchumi wa Singida, hapo wazanzibar acheni hadithi za dollar ya miaka 100 iliyopita, let moves on.
 
Hakuna kitu kama hicho ni uzushi...Mods labda inawachombeza...tetesi haina hata chanzo cha kizushi ndo tetesi gani hiyo.

Ndiyo maana inaitwa tetesi kwa maana hamna chanzo cha kuaminika. Sasa bado una taka hicho chanzo cha kizushi nikupe kama unaona ita kusaidia?
 
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza kwamba mimi nime sikia tu kama tetesi kutoka kwa mtu.

Sawa wafanye watakacho. Lakini wasisahau kwamba wote wzb walioko Bara wanatakiwa kujiandaa passport kuishi ugenini kwa mkataba, hawataruhusiwa kuhodhi ardhi ya wabara maana ardhi sio swala la muungano, wataishi kama wawekezaji tu. Itafika pahala wabara watachoka upuzi wanaotishiwa na watu wa visiwani. Wajiandae na mambo mengi tu, wengi watalazimika kurudi visiwani, maana naona ya Rwanda na Burundi wenzetu hawayaoni ila yafike kwao. Wabara wanapokuwa kimya sio kwamba ni wajinga, wanaelewa sana ila wanaenzi maamuzi ya waasisi.

Sasa kama kizazi kipya cha wazb kinarap ubaguzi na utengano kila kukicha watajikuta wanawaumiza ndugu zao na wao wenyewe wakauza visiwa kwa waarabu.

Alisema kweli kumbe JKN kwamba kuna walevi wa kijinga ambao hata hawataki kuona ukweli ila kulewa madaraka.

Leka
 
Kimtazamo wangu naona kwa hivi sasa ni lazima kuvunja muungano kutokana na tofauti zilizomo.

Tukianza Znz kuna mgogoro mkubwa baina ya Wapemba na Waunguja ( unaochochewa na watanganyika)

Ukija Bara Kuna mgogoro mkubwa baina ya Uislam na Ukristo ( Waznz wanajaribu kubalance kwani Znz 99% ni waislam)

Tukivunja muungano nafikiri ya Znz yataisha Wapemba watachukua Pemba na waunguja watabaki na nguja.

Sasa upande wa bara sijui itakuwaje. Maana yake wakristo kama watafanikiwa kuwashinda waislam basi kuna vita nyingine kati ya Wakatoliki na walutheri, wapentekosti, waanglican n.k
Sijui mgawo utakuwaje.

Nasisitiza Znz lazima tupewe uhuru wetu na tuwe na kila kitu chetu
 
Itakuwa vita kubwa baina ya Pengo, Malasusa , Dr Mokiwa na akina Askofu Kakobe na hata Askofu Rwekatare na Mchungaji Mtikila.

Nafikiri Tanganyika itakuwa kama Somalia.
 
Hawa wazenji nao wanadeka sana, waelewe tu mkubwa hatishiwi nyau. Hata hivyo zile siasa za west na east ambazo ndio ilikua strategic reason ya muungano hazipo tena hivyo wakitusumbua sumbua sana tunaweza kuwaachia halafu wakaja juta.

Ila tu waelewe kwamba hata hela za bure wanazotegemea toka uarabuni hazipo siku hizi. Waarabu nao wana crisis nyingi tu.

Mtoto akililia uwembe mpe, akijikata shauri yake.

Sasa nyie Wadanganyika mnakataa nini kutupa wembe. Bila shaka kuna siri kubwa. MNAFAIDIKA SANA NA huu so called MUUNGANO KWA KUINYONYA ZANZIBAR.
 
Wakuu kama nime kosea naomba msamaha in advance ila nime sikia ikabidi niulize hapa jamvini. I heard that Zanzibar wants it's own currency and stop using the Tanzanian shilling. Napenda kusisitiza kwamba mimi nime sikia tu kama tetesi kutoka kwa mtu.

ebu tafuta tetesi ni lini watafanya hivyo, we need it agent, na iwekwe ktika priority issues!tunanyonyana sana hata hivyo!!
 
Hii kitu ya Muungano siyo msahafu bana...Watu kila siku wanalalamiiika na hawatosheki na kitu! Ni wakati sahihi wapate sarafu yao watemane na sisi wafanye mambo yao.
 
Mimi sina NENO katika hilo kwani viongozi wa zenji wamekuwa wanatoa matamko ya utata siki hizi za karibuni.

Waache na UJUHA wa viongozi wao. naona wanadhani kuna zanzibar nje ya muungano
 
Ndiyo maana inaitwa tetesi kwa maana hamna chanzo cha kuaminika. Sasa bado una taka hicho chanzo cha kizushi nikupe kama unaona ita kusaidia?
O.K, kwa Zanzibar kitu hicho hakuna ni UWONGO ambao haufai hata kuitwa tetesi.
 
Mtoto akililia uwembe mpe, akijikata shauri yake.
...Bila shaka kuna siri kubwa. MNAFAIDIKA SANA NA huu so called MUUNGANO KWA KUINYONYA ZANZIBAR.

Tunanyonya nini Zanzibar? Kuna rasilimali gani za kugombania huko Zanzibar? Umeshafikiria vizuri au umeropoka tu? Ni kitu gani kipo Zanzibar ambacho hatuna hapa Bara?

We are doing you a favour and you are constantly making noises...!!! Ebo!!!
 
Hawa wazenji nao wanadeka sana, waelewe tu mkubwa hatishiwi nyau. Hata hivyo zile siasa za west na east ambazo ndio ilikua strategic reason ya muungano hazipo tena hivyo wakitusumbua sumbua sana tunaweza kuwaachia halafu wakaja juta.

Ila tu waelewe kwamba hata hela za bure wanazotegemea toka uarabuni hazipo siku hizi. Waarabu nao wana crisis nyingi tu.

watoseni tuwaombe Visa kuja kunuua chakula huku maana hawana ardhi .Tuwaacha na KMKM wakatane mapanga na watawapiga watalii maana wao ni Uislam kwanza watabakia wenyewe na siasa zao wa kijinga then watajua kwa nini Tanzania ipo
 
Tukivunja muungano nafikiri ya Znz yataisha Wapemba watachukua Pemba na waunguja watabaki na nguja.
Balubalu Najua wewe Si Mpemba wala si Muunguja. Hivyo wewe si Mzanzibari (Inaweza ikawa Mzanzibara). Fanya home work vizuri halafu nieleze hicho kitakachowatenganisha Wapemba na Waunguja hii leo-watu ambao wamekuwa pamoja enzi na enzi. Balubalu acha kuropoka tu!!!!!!
 
Barubaru,

..migogoro kati ya Waislamu na Wakristo inaletwa na watu wa nje huku Tanganyika.

..Waislamu na Wakristo wamechanganyikana mno huku Tanganyika, kiasi kwamba si rahisi kushindwa kumaliza tofauti zao kwa busara kama wanafamilia.

..pia siasa kali za Kikristo na Kiislamu ni mambo ambayo yameanza majuzi na ni ya kuletewa pia.

..Tanganyika kuna Wakristo wanaoa wake wawili, pia kuna Waislamu mafundi wakubwa wa kupika na kunywa pombe. Waislamu na Wakristo wamekuwa wakioleana kwa muda mrefu sana. Mwali akichezwa hakuna ubaguzi wa kidini. Vijana wekipelekwa jando hawatofautishwi Waislamu na Wakristo. Ndoa nyingi hufungwa kwa kufuata taratibu za kimila na baadaye ndiyo hupelekwa Msikitini au Kanisani etc etc

..eneo nililozaliwa na kukulia mimi siku zote tumeishi bila kubaguana ktk masuala ya dini. watu wanakumbuka dini zao wakati wa Ramadhani au Kwaresima hapo ndipo utaona tofauti za kiimani. vinginevyo haya masuala ya kubaguana kwa misingi ya kidini hayapo kabisa.

..narudia: hizi imani kalikali za kidini ni mambo yaliyoanza majuzi. Watanganyika tulizipokea hizi dini bila kubaguana au kuachana na mila za mababu zetu.
 
Back
Top Bottom