Zanzibar: Risasi zarindima!

Zanzibar: Risasi zarindima!

Status
Not open for further replies.
Angalia video zilizoko You Tube zinazoonyesha mihadhara ya hao wanajiita uamsho. Hayo matusi ni ya hao wanajiita wazanzibar halisi wakiwatukana watanganyika. Hakika kwa matusi hayo hiyo Zanzibar huru mtaisikia hewani tu. Mnajua wazi kuwa huu muungano ulileletwa na mataifa ya magharibi ila kwa chuki mliyonayo kwa watanganyika mnatukana matusi kama watoto wadogo. Subirini Farujah nyingine inatua Zanzibar soon. Wote mnaopinga muungano ni njaa inawasumbua tu, as if baada ya muungano kufa ndio mtaishi peponi thubutu. You are loosers!.

Wewe humjui TUNDU LISSU?
 
Kuna taarifa kwamba lipo kanisa limechomwa usiku huu huko Zanzibar.

Sasa huu ni ujinga hilo kanisa ndo limewakamata mashehe? huu ni upuuzi wa ajabu saana, yaani mnataka kuanza vita vya dini?
 
Kwani ni lazima uwepo huu Muungano usio na tija kwa pande zote?
 
Angalia hii hapa

Ndio maana nikataka unipe ushahidi wa hilo,

Hawa ni watu wanatoa maoni binafsi, na hii sio kauli ya UAMSHO na ndio maana kila anaanza kuongea anasema "Mimi maoni yangu ni..........."

Umeelewa?
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nikataka unipe ushahidi wa hilo,

Hawa ni watu wanatoa maoni binafsi, na hii sio kauli ya UAMSHO na ndio maana kila anaanza kuongea anasema "Mimi maoni yangu ni..........."

Umeelewa?

Naona unaleta ubishi tu, soma title ya video na hiyo ni kwa mujibu wa mtu aliyeupload hiyo video, title inasomeka "wanzanzibar wakionyesha hisia zao", na huko ndani ukisikiliza kumejaa matusi kwa watanganyika. Kwa maana hiyo hao matusi ni hisia za wazanzibar kwa watanganyika. Hilo swala na maoni ya mtu binafsi unalileta wewe wala si kwa mujibu wa mtu aliyeupload hizo video, unless useme wewe ndio unahusika na hilo
 
Angalia hii hapa

Dada yangu nimeangalia mwanzo hadi mwisho sijaona hayo matusi unayosema wametukanwa wabara isipokuwa haya yafuatayo ni ukweli:
Kuna Vibaraka wa Tanganyika hapo Zanzibar
Naam ni kweli kuwa Muungano uko kama ukoloni
Watoto wamenajisifa wakati wa uchaguzi.
Yaliyobaki yote ni yanayowahusu Wazanzibari wenyew wanavyoona na wanavyohisi Muungano unavyowatenda.
Na mwisho ni kuwa mna tahadhari tu kuwa siasa inaposhindwa basi uwezekano mkubwa wa kutumika nguvu.
 
Last edited by a moderator:
images.jpg

Huyu ndio Kiongozi wa Uamsho Zanzibar, Kiongozi anayewalisha Sumu Waafrika wachache na kumeza kila wanachoambiwa kama dodoki. Mtu huyu mpaka leo haamini kama Zanzibar iko Africa, haya ndio masalia yaliyobaki baada ya Mapinduizi ya January 12 1964 ambayo yanahitaji kutokomezwa kabla hayajakomaa. Afrika inahitaji Zanzibar huru, lakini si Zanzibar huru itakayotawaliwa na waarabu. Kuna watu wachache wamelishwa sumu ya kupumbaza kupitia dini kuwa wakoloni walikuwa ni watu wa magharibi tu ndio waliotawala Afrika, watu wamepumbazwa pasipo kusadiki kuwa waarabu pia ni wakoloni kama vile walivyokuwa watu wa nchi za magharibi, makundi haya mawili kwa upande ya pwani ya mashariki na kaskazini mwa Afrika yalikuja kwa lengo moja tu. Wengine walikuwa wakiwa wamebeba Biblia upande kwa kushoto huku wakitunyonya na mkono wa kulia, na wengine walikuja huku wakiwa wamebeba koroani upande wa kulia huku wakitunyonya kwa mkono wa kushoto. Walivyoondoka watuachia koloani na biblia tukihangaika nazo. Picha hiyo hapo inaonyesha masalia yalibakia Africa, kama vile walivyo walowezi wa kiingereza nchini Zimbabwe ndio hao walowezi wa kiarabu. Watu tusipumbazwe na dini, licha ya kwamba dini zote zinahubiri undugu na kupendana, angalia walichofanywa babu zetu walioenda utumwani uarabuni kwenda kufanya kazi za ndani, wote walihasiwa ili kizazi cheo kisiwepo tena na mpaka sasa hakuna masalia yoyote huko.
Wote tunahitaji Zanzibar huru lakini si ile itayotawaliwa na walowezi huku watu weusi wakizidi kuwa mafukara wa kutupa

images2.jpg
 
thumbnail.aspx

Hali visiwani Zanzibar si shwari. Taarifa tulizopata ni kwamba kumekuwa makabiliano baina ya polisi wa kutuliza ghasia FFU na kikundi cha kihuni kinachojiita Kikundi cha Uamsho. Je hawa wanaojiita Kikundi cha Uamsho wanaotaka muungano uvunjwe wametumwa na nani? Je ni yale yale ya kuigiza yale ya wenzao wa Mombasa Republic Council huko Kenya wanaodai kujitenga ili washirikiane vizuri na mabwana zao wa kiarabu? Leo wazanzibari wanakataa muungano wakidai wajitenge wawe huru. Je na Pemba wakidai kujitenga na Zanzibar huru mambo yatakuwaje? Mbona wenzetu wanashindwa kujifunza toka Comoro? Serikali ya muungano inapaswa kuingilia na kuhakikisha kikundi hiki kinashughulikiwa kwa njia stahiki yaani, kuruhusu wananchi kuujadili muungano. Je ni kwanini serikalil ya Muungano imekuwa kimya kwenye tatizo la muungano au ni ile hali ya serikali husika kushindwa karibu katika kila kitu? Je hiki kikundi kinachoanza kutumia mabavu cha Uamsho kinachofanya ni uamsho au Uangusho?

Mtanganyika tuomberazi, vikundi vya kihuni munavyo nyinyi huko {mafisadi},na hicho kikundi cha muamsho kimetumwa na sisi Wananzibari tulio wengi tusiopenda muungano unaokufaidisheni nyinyi.
 
Dada yangu nimeangalia mwanzo hadi mwisho sijaona hayo matusi unayosema wametukanwa wabara isipokuwa haya yafuatayo ni ukweli:
Kuna Vibaraka wa Tanganyika hapo Zanzibar
Naam ni kweli kuwa Muungano uko kama ukoloni
Watoto wamenajisifa wakati wa uchaguzi.
Yaliyobaki yote ni yanayowahusu Wazanzibari wenyew wanavyoona na wanavyohisi Muungano unavyowatenda.
Na mwisho ni kuwa mna tahadhari tu kuwa siasa inaposhindwa basi uwezekano mkubwa wa kutumika nguvu.

Angalia dakika ya kumi na moja kwenye video
 
Usiupotoshe umma ndugu yangu, wanaokataa muungano huu feki sio kikundi cha uamsho tu, bali ni waZanzibari wengi kwa umoja wetu.

Uamsho na jumuiya za Kiislamu ni viongozi tu waliolivalia njuga suala hili ambalo kwa muda mrefu tukitegemea vyama vya siasa vitufanyie na vimeshindwa.

Kilichotokezea ni kiongozi mmoja wa Jumuiya ya Maimamu ambaye alikuwapo kwenye muhadhara pamoja na maandamano ya amani, alichukuliwa jioni hii toka msikitini na kupelekwa kituo cha polisi cha madema, polisi wakidai kwa ajili ya kumhoji.

Wafuasi akina sisi tulifika kwa wingi na umoja wetu pale kituoni, na maelfu ya watu tulokuwa pale tukitaka nasi sote waujumuishe kwenye hiyo issue, kwa maana ndio tuliofanya maandamano yake bila kusindikizwa na mtu, bali uzalendo na uchungu tu tulionao wa Zanzibar yetu. Hapo ndio polisi wakaamua kututawanya kwa mabomu ya machozi na risasi za moto hewani. Lakini hadi muda huu niandikapo hapa, bado tupo kwa umoja wetu na tunazidi kufurika hapa pahala.

Hatutasita na harakati zetu hadi Zanzibar yetu imerudi mikononi mwetu na siyo koloni la Tanganyika. Wengi wanotwita koloni letu, tumetawaliwa tunakubali kwa sasa, ila muda si mrefu tutajikombowa!!

Hakuna aliko kojoa mwarabu penye amani!, mkojo wake una virusi vinavyoshambulia sehemu kubwa ya ubongo unaofanya kazi ya kutafakari.

Hebu jiulize we shabiki wa kuvunja:

  1. Njia zoooote za kuvunja kwa amani zimeshindikana?,
  2. Kama kweli wazanzibar walio wengi hamtaki muungano, mmeshindwa nini kumwambia Shein na Maalim walisimamie hili kwenye katiba ijayo?
  3. Je, hatuwezi kuurekebisha muungano ukawa wa manufaa badala ya kuuvunja?, huoni kwamba unatumiwa na watu wenye uchu wa madaraka bila we kujijua, ambao watakutupa kama toilet paper au condom?
  4. Ndugu tafakari, kabla ya Maalim na kundi zima la CUF kuingia serikalini ulikua unapigania nini?, si umekipata? wamekusaidia kutatua matatizo uliyokua nayo? Huoni kama wamekutumia na wamekutupa?
  5. Ulishaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako, usikubali kutumiwa na mtu yeyote kwa maslahi yake binafsi. awe mwanasiasa au kiongozi wa dini (kumbuka viongozi wa dini kazi yao ni kupambana na shetani, si vinginevyo).
  6. Tuliungana kwa sherehe na vigeregere, nadhani ni vizuri tukaachana bila ngeu wala makovu.

TULIZA HASIRA, TAFAKARI KWA KINA
 
Huyu Mungu wao jamani natia mashaka hivi kwa kauli zao ya Kaisari na Mungu ni yapi?
 
Watch this video uploaded in You Tube in 2007, recorded from ABC News showing child abduction by Uamsho group in Zanzibar.

Last edited by a moderator:
Mimi siamini kama katika cilivised world ya leo mtu anaweza kuwaita wakristo makafiri!
This is too low, uncivilized and very barbaric!
It gives, some of us, a second thought, why should we accommodate all those abusive words from such people....
 
Hakuna aliko kojoa mwarabu penye amani!, mkojo wake una virusi vinavyoshambulia sehemu kubwa ya ubongo unaofanya kazi ya kutafakari.

Hebu jiulize we shabiki wa kuvunja:

  1. Njia zoooote za kuvunja kwa amani zimeshindikana?,
  2. Kama kweli wazanzibar walio wengi hamtaki muungano, mmeshindwa nini kumwambia Shein na Maalim walisimamie hili kwenye katiba ijayo?
  3. Je, hatuwezi kuurekebisha muungano ukawa wa manufaa badala ya kuuvunja?, huoni kwamba unatumiwa na watu wenye uchu wa madaraka bila we kujijua, ambao watakutupa kama toilet paper au condom?
  4. Ndugu tafakari, kabla ya Maalim na kundi zima la CUF kuingia serikalini ulikua unapigania nini?, si umekipata? wamekusaidia kutatua matatizo uliyokua nayo? Huoni kama wamekutumia na wamekutupa?
  5. Ulishaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako, usikubali kutumiwa na mtu yeyote kwa maslahi yake binafsi. awe mwanasiasa au kiongozi wa dini (kumbuka viongozi wa dini kazi yao ni kupambana na shetani, si vinginevyo).
  6. Tuliungana kwa sherehe na vigeregere, nadhani ni vizuri tukaachana bila ngeu wala makovu.
TULIZA HASIRA, TAFAKARI KWA KINA

Tatizo ni kwamba ushauri wako ni kinyume kabisa imani yao (antithesis)!
Jabza ndio msingi mkuu wa kufikiria kwao
 
Watch this video uploaded in You Tube in 2007, recorded from ABC News showing child abduction by Uamsho group in Zanzibar.

THIS IS BIG FAKEN LIES PROPAGANDA VIDEO TO AGAINST MUSLIM AROUND THE WORLD

SOME BODY MOST HAVE BRAIN DAMAGE TO BELIEVE THIS, THE VIDEO IS 100% FAKE VIDEO

USIJARIBU KULETA TENA UCHAFU KAMA HUU HAPA KWA GREAT THINKERS UTAHATARISHA MAISHA YAKO NA KULETA VITA VYA UDINI KWA TAIFA LETU LA TANGANYIKA.....UMESAHAU ILE HISTORIA YA UHURU WETU WA TANGANYIKA KUWA WAISILAMU WA DAR ES SALAAM NDIO WANAHARAKATI WA MWANZO KUPIGANIA UHURU WETU WA TANGANYIKA
A,P20S-omg.gif.pagespeed.ce.GLN-Xz24o1.gif
 
Last edited by a moderator:
Nikiwasikiliza sana hawa ndugu zangu, inanikumbusha yaliyowapata nguuu zetu kule afrika ya kusini.

Tuliwaweka ANC pale Mazimbu Morogoro, tukarisks raia zetu kwa ajili yao.

malipo yetu yalikuwa ni ndugu zetu waliouawa kikatili kule afrika Kusini.

Nina wasi wasi kuna siku mambo kama yale yaanweza kuwakuta Wabara walioko Zanzibar,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom