Zanzibar nimeangalia sherehe zenu za Mei Mosi nimesikitika sana

Wakuu aina nia ya kudhalilisha au kumdhalilisha yeyote lakini kuna mambo yamenisikitisha sana katika sherehe za Mei mosi.

Nimeangalia sherehe za Mei mosi ambazo zimehutubiwa na rais Mwinyi kuna vitu vimenisikitisha sana.

- Sherehe imepooza kama tukio la serikali za mitaa bara.

- Watu wanyoonge kuanzia maafisa wa ikulu hadi wafanyakazi wa kawaida na raia

- Nimesikitika kuona moja viongozi wa wafanyakazi akisoma wafanyakazi bora kwenye karatasi lililojikunja kama lilifungiwa mihogo

- Maafisa ikulu na walinzi wa rais wanakatisha hovyo hovyo mbele ya rais kama wanafunzi wa shule ya msingi halafu wametazama chini

- Watu wanaenda kumnong'oneza rais utafikiri wako kwenye kikao cha kikoba.

- Brassband sasa wamevaa ma overcoat kama mafundi mchundo aaaa

Hivi sisi tunaweza kitu gani?

Mshana Jr

Acha dharau ww mlevi
 
Unataka security details zipi kwa rais wa zanzibar kwamba watu wasikatize mbele yake? yeye siyo rais wa nchi......hadhi yake haiwezi kuwa sawa na ya chifu hangaya.

Jambo jingine wazanzibar hawana complications nyingi kwenye mambo yao na ni watu social wasiopenda kujikweza wala kutafuta makuu haijalishi ni kiongozi au la.

Huku Tanganyika waziri anakuwa na kiburi, dharau, majigambo hadi kuwaamuru wananchi kuhamia burundi, hizo dharau, kejeli na kiburi huwezi kuzikuta kwa viongozi wa zanzibar, wapo very humble.
 
Wakuu aina nia ya kudhalilisha au kumdhalilisha yeyote lakini kuna mambo yamenisikitisha sana katika sherehe za Mei mosi.

Nimeangalia sherehe za Mei mosi ambazo zimehutubiwa na rais Mwinyi kuna vitu vimenisikitisha sana.

- Sherehe imepooza kama tukio la serikali za mitaa bara.

- Watu wanyoonge kuanzia maafisa wa ikulu hadi wafanyakazi wa kawaida na raia

- Nimesikitika kuona moja viongozi wa wafanyakazi akisoma wafanyakazi bora kwenye karatasi lililojikunja kama lilifungiwa mihogo

- Maafisa ikulu na walinzi wa rais wanakatisha hovyo hovyo mbele ya rais kama wanafunzi wa shule ya msingi halafu wametazama chini

- Watu wanaenda kumnong'oneza rais utafikiri wako kwenye kikao cha kikoba.

- Brassband sasa wamevaa ma overcoat kama mafundi mchundo aaaa

Hivi sisi tunaweza kitu gani?

Mshana Jr
Brassband sasa wamevaa ma overcoat kama mafundi mchundo aaaa
 
Kijiji cha Zanzibar kiunganishwe na Pwani yaishe.
 
Back
Top Bottom