Zanzibar nimeangalia sherehe zenu za Mei Mosi nimesikitika sana

Toa ushahidi wa hayo unayodai umeyasoma ktk kitabu kipi au umeyapata kwa mwana historia yupi? ili kukazia swali lako.
Kila kitu utafuniwe? Niliyemtag hapo hajajibu maswali yangu,pengine ameshachungulia vyanzo vingine.

Fanya hivi;tafuta mtandaoni kitabu kiitwacho Revolution in Zanzibar, au gazeti la Monitor la Uganda toleo la Saturday, September 03,2016 na makala hiyo ikarudiwa tena January 09,2021.

Au usipofanikiwa kuvipata basi,ingia tu google utafute 'Field Marshal John Okello:The Forgotten Revolutionary'. Hapo itakuwa umelipata gazeti la Monitor.
 
Hata Hussen Mwinyi nae si unamuona alivyozubaaga!! Bora hata Samia anajua kusema Mambo ni Moto mambo ni fire
 
Back
Top Bottom