Rais kusitisha Sherehe za Mei Mosi imekaaje?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,515
Ninavyojua ni kwamba sherehe za Mei Mosi ni ziko chini ya Vyama vya wafanya kazi na Serikali au Viongozi wa Serikali hufanya kualikwa tu.

Nakumbuka kuna kipindi Vyama viligoma kumualika JK enzi zile wakamualika Dr Slaa.

Sasa how come kwamba Rais kasitisha sherehe ambazo kimsingi zilipaswa kusitishwa na vyama vya wafanyakazi make ni shughuri yao ile na sio ya serikali.
 
Ninavyojua ni kwamba sherehe za Mei Mosi ni ziko chini ya Vyama vya wafanya kazi na Serikali au Viongozi wa Serikali hufanya kualikwa tu.

Nakumbuka kuna kipindi Vyama viligoma kumualika JK enzi zile wakamualika Dr Slaa.

Sasa how come kwamba Rais kasitisha Sherehe ambazo kimsingi zilipaswa kusitishwa na vyama vya wafanyakazi make ni shughuri yao ile na sio ya serikali.
Haina faida kwa mtumishi Kama haimfuti machozi.Meimosi ilinoga ya JK
 
Hapo kuna kitendawili baada ya Sherehe hizo kufutwa. Kuhusu Watumishi siku hiyo Wataenda Kazini ama Watapumzika?
 
Nimecheka sana
Unafurahi ibada kufungwa kuliko bar kufungwa? Pole sana maana utasubiri sana.
, nashahuri Bar na Grocery zisifungwe kwa sababu zina sanitizer /alcohol
Makanisa yafungwe maana elimu ya Ibada hatuna wengi ni kupeleka sadaka, bora mtuombee tulioko majumbani, huko Italy Mapadri wanazikwa shirika kwa ajili ya ubishi, kuna baadhi ya misikiti hapa kwetu ime...

Rais wetu akiweka Total Lockdown km Uganda, Rwanda au kidogo km Kenya tubakie majumbani hata vocha za mitandao huko bar hatutanunua
 
Back
Top Bottom