Zanzibar nimeangalia sherehe zenu za Mei Mosi nimesikitika sana

Glenn

JF-Expert Member
May 23, 2015
65,488
156,116
Wakuu sina nia ya kudhalilisha au kumdhalilisha yeyote lakini kuna mambo yamenisikitisha sana katika sherehe za Mei mosi.

Nimeangalia sherehe za Mei mosi ambazo zimehutubiwa na rais Mwinyi kuna vitu vimenisikitisha sana.

- Sherehe imepooza kama tukio la serikali za mitaa bara.

- Watu wanyoonge kuanzia maafisa wa ikulu hadi wafanyakazi wa kawaida na raia

- Nimesikitika kuona moja viongozi wa wafanyakazi akisoma wafanyakazi bora kwenye karatasi lililojikunja kama lilifungiwa mihogo

- Maafisa ikulu na walinzi wa rais wanakatisha hovyo hovyo mbele ya rais kama wanafunzi wa shule ya msingi halafu wametazama chini

- Watu wanaenda kumnong'oneza rais utafikiri wako kwenye kikao cha kikoba.

- Brassband sasa wamevaa ma overcoat kama mafundi mchundo aaaa

Hivi sisi tunaweza kitu gani?

Mshana Jr
 
Wakuu aina nia ya kudhalilisha au kumdhalilisha yeyote lakini kuna mambo yamenisikitisha sana katika aherehe za Mei mosi.

Nimeangalia aherehe za Mei mosi ambazo zimehutubiwa na rais Mwinyi kuna vitu bimenisikitisha sana.

-Sherehe imwpooza kama tukio la serikali za mitaa bara.

- Watu wanyoonge kuanzia maafisa wa ikulu hadi wafanyakazi wa kawaida na raia

-Nimeaikitika kuona moja viongozi wa wafanyakazi akisoma wafanyakazi bora kwenye karatasi lililojikunja kama lilifungiwa mihogo
- Maafisa ikulu na walinzi wa rais wanakatisha hovyo hovyo mbele ya rais kama wanafunzi wa shule ya msingi halafu wametazama chini

-Watu wanaenda kumnong'oneza rais utafikiri wako kwwnye kikao cha kikoba.

-Brassband sasa wamevaa ma overcoat kama mafundi mchundo aaaa

Hivi sisi tunaweza kitu gani?

Jf...mods msifute uzi huu wasome wajirekebishe
Kwema Mkuu?

Nimesoma kichwa cha uzi wako nikadhani labda umekosea. Nimekuja kwenye uzi, neno lile lile limejirudia.

'aikitika' lina maana gani?
 
Unatumia simu mpya nini?? Mbona umetype makosa mengi

Anyway karibu Moro tusherekee sikukuu ya mei mos nipo hapa jamhuri
Kichwa chako mke, huko siji mfuate mume aliko
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom