Zanzibar ni member wa SADC?

Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?

Uzi tayari


Kwanini unapenda sana fujo za kisiasa? Shida yako uanze tu kuchokonoa mambo ya Muungano, umetumwa? Hujui Zanzibar ni sehemu ya Muungano i.e United Republic of Tanzania? Au una F ya Civics unaanza kutusumbua humu
 
Nafikiri hatawewe unaona ugumu kujibu swali
 
Neno "Jembe" linamaana gani hapa?
 
Swali la msingi ni hili: Kama Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuunda TANZANIA, why Zanzibar iishi na Tanganyika ife? Kama ilikuwa ni lazima jina la 'Zanzibar' libaki, kwanini kule asiwepo mkuu wa Mkoa tu na sio Rais mwenye jeshi, katiba na wana bunge na bendera yao? Au huo "urais" ni urais tu kama wa bendi ya Ngwasuma ilhali jamaa ni kama waziri tu?

No wonder mgombea wa urais wa CCM huko Zanzibar ni lazima jina litoke Dodoma ili asije akapatikana "kichaa" wa kuwachallenge. Tena kuna wakati CCM ilfanya umafia na kurudisha jina la yule alikuwa mshindi wa tatu huko Zanzibar
 
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina Rais, Tanzania ina Rais, wakiwa pamoja tuta Ma Rais wawili? Au Cheo cha mmoja kinakuwa Kipi?

Nafikiri Swali lake linamsingi na Lijibiwe bila kasfa
 
JPM anawakilisha Serikali ya Zanzibar? Anacheo gani huko?
Asa atakuaje mwanachama wa CAF ilhali Tanzania yawakilisha serikali zote????
Nikuulize na ww,kwan Zanzibar kama Zanzibar ipo ktk wanachama wa UN???
 
Mkuu Paskali,

Wewe ni mtu mzima unaeheshimika. Restrict yourself from writing or speaking all the time. There are some of us who respect you here na tusingependa tukuvunjie heshima.

Relief Mirzska
 
Majaliwa ni Waziri Mkuu wa TZ, Lukuvi Waziri wa TZ, Shein ni Makamu wa Rais?
Alikuwa meza kuu? Mbona Kassim Majaliwa kahudhuria alikuwa anawakilisha nchi gani? Lukuvi naye vipi? Shein kahudhuria kama Waziri tu wa JMT
 
Hapa Anauliza nafasi ya Kiuongozi Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…