Maneno hayo kamwambie mama yako. Umetahiriwa? Hakuna rais wa znz ukitoa shein aliyewahi kuapishwa kama waziri ktk seriakli ya muungano. Amani alikataa, Salmini amour alikataa . nionavyo, kukubaki kuapa kama mjumbe wa baraza la mawaziri wa muungano ni kujidhalilisha na kuidhalilisha nchi yako. Full stop.
Binafsi huwa najitambulisha natokea Zanzibar
Kwamba Zanzibar si dola na haiwezi kufanyiwa uhaini!!HAYA MAJITU YA LUMUMBA HAYAFAHAMU LOLOTE, YAPO KUPIGA MAKOFI! jibu lilitolewa na mahakama ya rufaa katika kesi hii!
Sheikh vipi tena? Umefika kwenye kuinamishwa na kuvuliwa pichu?
Hawawezi kwa kuwa wao si dola!! Katika mikataba ya kimataifa sovereign state ndio inaingia mikataba na si sehemu ya nchi ama mkoa kama ilivyo Zanzibar. Duniani hakuna nchi inaitwa Zanzibar
Binafsi huwa najitambulisha natokea Zanzibar
unatia kinyaa, kama ndio kubembeleza ukuu wa wilaya ndio hivyo, Mayala tafuta gia nyengine.Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Swali la msingi ni hili: Kama Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuunda TANZANIA, why Zanzibar iishi na Tanganyika ife? Kama ilikuwa ni lazima jina la 'Zanzibar' libaki, kwanini kule asiwepo mkuu wa Mkoa tu na sio Rais mwenye jeshi, katiba na wana bunge na bendera yao? Au huo "urais" ni urais tu kama wa bendi ya Ngwasuma ilhali jamaa ni kama waziri tu?
No wonder mgombea wa urais wa CCM huko Zanzibar ni lazima jina litoke Dodoma ili aisje akapatikana "kachaa" wa kuwachallenge. Tena kuna wakati CCM ilfanya umafia na kurudisha jina la yule alikuwa mshindi wa tatu huko Zanzibar
"Waziri Kiongozi" kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya ngapi mkuu inaunda hichi cheo?Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Hata siwafuatilii mkuu, nipo huku muembe mimba nahenyeka tu ndugu yangu na sababu ni hawahawaNafkr makufuli tokea awe rais kama ameenda znz si zaidi ya mara moja / mbili hivi?
Waweja sana Paskali. Umetufungua machoTanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Mkuu Dega umoja ni nguvu, mwanzo tulikuwa wawili, mkubwa na mdogo, tukaungana tukawa kitu kimoja, mkubwa kawa mkubwa zaidi na mdogo kawa mkubwa. Hakuna anayetaka kuvitwaa hivyo visiwa bali tumekuwa kitu kimoja. Usiangalie changamoto tuu za muungano angalia faida na manufaa ya muungano, kiukweli kabisa anayefaidi zaidi huu muungano wetu adhimu ni visiwani!, angalia maduka ya Wapemba yalivyo tapakaa huku Bara. Zingeletwa takwimu za umiliki ardhi wenzetu mnamiliki ardhi ya bara kuliko ardhi yote ya visiwa vyenu. Karibu nusu kama sio yote ya yale maghorofa ya Kariakoo na Ilala ni ya Wapemba. Angalia ghorofa la Muzamil hapo Darajani Zanzibar ulinganishe na lile la Mtaa wa Kongo hapa Dar.
Angalia biashara za Bakhresa Zanzibar ulinganishe na huku Bara, kiukweli watu wanaofaidika zaidi na muungano huu ni wenzetu Wazanzibari tena baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kama sio muungano saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine.
P
JMT ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar poti, mbona siku hizi unaniangusha sana? Hii Tz na visiwani wapi na wapi?Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Mkuu Sagasira, sio wewe tuu bali Watanzania wengi hawana mazoea ya kusoma katiba, tafuta katiba ya JMT ya mwaka 1977, nenda ibara ya 105 kidungu cha (1) (b)"Waziri Kiongozi" kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya ngapi mkuu inaunda hichi cheo?
Mkuu Ulimakafu, muungano ni ulikuwa kati ya nchi hizo, wakati tunaungana, baada ya muungano Tanganyika ikafa, hivyo kwa mujibu wa katiba, Tanganyika haitajwi tena inaitwa Tanzania Bara.JMT ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar poti, mbona siku hizi unaniangusha sana? Hii Tz na visiwani wapi na wapi?
Kujitambulisha vyovyote ni ruksa, hata mimi humu ndani kwangu naweza kujiita mfalme Pasco wa Pasco kingdom lakini mwisho ni getini. Utambulisho wa kimataifa ni kupitia passport, hivyo endeleeni kujitambulisha kama Wazanzibari kwa raha zenu na kujifurahisha tuu ila uraia ni wa JMT pekee, na passport zote ni za Tanzania pekee, huwezi kujaza fomu yoyote ya uraia na kujiita Mzanzibari kwasabu kimataifa hakuna nchi inaitwa Zanzibar!.Very painful indeed. Mjue kwa sisis tunapenda sana nchi yetu ya znz na hata tukiwaa nje tunajitambulisha kama wazanzibari na sio watanzania.
Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
Aliiuza shilling ngapi?Natamani karume angefufuka tukamdai nchi yetu aliyoiuza
Kusema ukweli tuwape wazanzibar nchi yao kwani sisi waccm tutapungiwa nini ?
Tukiwapa Zanzibar wajitegemee?
CCM sisi ni hovyo haijawahi tokea Dunia tangu kuumbwa.
Naenda kuchomoa betri kwa ajili ya uchumi wakati.
Ndio maana hawezi kuwa!.Kwi kwi kwi kwi hahahaaa
Kwa hiyo ndugu paskali unamaanisha kuwa kama maalim Seif wa ACT akikamata dola atakuwa anaingia kwenye vikao vya BM, hahahaaa. Nadhan huu n ukakasi na n vgumu vyama viwil tofauti kutawala. Kwa style hii n lazima chama kinachoongoza bars kiongoze na visiwani. Hizi ndio hasa Keri za muungano.