ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
usiumize kichwa, raisi wa zanzibar ni shein mpaka uchaguzi utakapoitishwa tena, na mshiindi kupatikana raisi mpya atatangazwa, kwa sasa raisi ni shein na shuguli za serikali zinaendelea kama kawaida,
jamani watanzania wote,hali halisi ya kisiasa kule visiwani mnaishuudia,,,,ninachojiuliza hivi wabunge wale wa muungano watakwenda kuapishwa Dodoma au..?na pia wizara za muungano atataeuliwa nani toka Zanzibar kwani inasemekana uchaguzi na matokeo yake yamefutwa,
Jee hali hii inauweka muungano katika hali gani..?
SI NDIO MWISO WAKE NA WANAOUVUNJA NI VIONGOZI WA CCM YENYWE..
EBU TUSHEE MAWAZO YENU YOTE KUHUSU HILI....