Zanzibar na hatima ya Muungano ni hatari...

Zanzibar na hatima ya Muungano ni hatari...

ZANZIBER kwa sasa imevamiwa kijeshi na TANGANYIKA na kukaliwa kimabavu
 
Hakuna wa kuuvunja muungano. Muungano utaendelea kuwepo, labda kama mnazungumzia maboresho ila sio kuuvunja.
 
Jamani Watanzania wote, hali halisi ya kisiasa kule visiwani mnaishuudia, ninachojiuliza hivi wabunge wale wa Muungano watakwenda kuapishwa Dodoma au? na pia Wizara za Muungano atataeuliwa nani toka Zanzibar kwani inasemekana uchaguzi na matokeo yake yamefutwa.

Je, hali hii inauweka Muungano katika hali gani?

SI NDIO MWISO WAKE NA WANAOUVUNJA NI VIONGOZI WA CCM YENYEWE.
EBU TUSHEE MAWAZO YENU YOTE KUHUSU HILI.

Weka picha tuuone vizuri unavyo vunjika,..
 
Muungano uko imara, wabunge wa Muungano kutoka Zanzibar wapo na watakwenda kuapishwa Dodoma ambapo watateuliwa kushika Wizara za Muungano.Zanzibar sii nchi, ni sehemu tuu ya JMT yenye utawala wake wa ndani,

Really Pasco "Zanzibar sio nchi"?
Poteza muda kidogo soma katiba mpya ya Zanzibar,halafu urudi hapa
 
Muungano hata ukivunjika hakuna madhara ya moja kwa moja kwa wananchi wa kawaida#

we bana sijui unafikiriaje
yaani unadhani muungano ukivunjika wapemba wa kariakoo watabaki salama? thubutuuu!!

kwa taarifa yako muungano ukiendelea ndo hakuna madhara ya moja kwa moja kwa wananchi wa kawaida kuliko ukivunjika.

Kwanza ujue wanaopenda uvunjike ni wanasiasa kwa ajili ya maslahi yao ya ulaji
 
Muungano uko imara, wabunge wa Muungano kutoka Zanzibar wapo na watakwenda kuapishwa Dodoma ambapo watateuliwa kushika Wizara za Muungano.Zanzibar sii nchi, ni sehemu tuu ya JMT yenye utawala wake wa ndani, nafasi ya Zanzibar katika set up ya muungano ni kama nafasi ya wake wenza kwenye set up ya ndoa za mitala, hao wake hata wakilumbana vipi, ndoa bado iko imara kwa sababu determinant ya uimara wa ndoa hiyo ni mwanamume na sio wale wanawake wanaolumbana!.

Hivyo kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar ni mambo tuu ya jikoni, ni kama upepo tuu, unavuma na utapita huku nyumba iko imara!.

Pasco.

wabunge kutokana na uchaguzi gani?
kwakuwa uchaguzi na matokeo yamefutwa Pasco.
mbona tunapenda majibu rahisi kwa maswali magumu.na bado DK MAGUFULI de facto ni rais wa Tanganyika hana uhalali wa ZANZIBAR kwa kuwa hawajamchagua HUU NI MGOGORO MZITO KULIKO TUNAVYODHANIA BORA TUTANGAZE MATOKEO HATA KAMA NI YA KUTUNGA KULIKO KUFUTA UCHAGUZI.
 
we bana sijui unafikiriaje
yaani unadhani muungano ukivunjika wapemba wa kariakoo watabaki salama? thubutuuu!!

kwa taarifa yako muungano ukiendelea ndo hakuna madhara ya moja kwa moja kwa wananchi wa kawaida kuliko ukivunjika.

Kwanza ujue wanaopenda uvunjike ni wanasiasa kwa ajili ya maslahi yao ya ulaji

Uko sasa dada Kaundime2, lakini ni simple sana, muungano ukivunjika Wapemba walioko bara watachagua uraia, either warudi Pemba, au wabaki Tanganyika
 
Last edited by a moderator:
Ufe tu kwanza wa nini? Halafu kichekesho cha Chadema@Ukawa sasa wako na Zenj ya kwao maji ya shingo. Siupendi na siutaki huu Muungano. Ningepata mgombea urais anayeunadi kuuvunja huu muungano hata kama ni shetani ningempigia kura. Wabara wananufaika nini na huu muungano?
 
we bana sijui unafikiriaje
yaani unadhani muungano ukivunjika wapemba wa kariakoo watabaki salama? thubutuuu!!

kwa taarifa yako muungano ukiendelea ndo hakuna madhara ya moja kwa moja kwa wananchi wa kawaida kuliko ukivunjika.

Kwanza ujue wanaopenda uvunjike ni wanasiasa kwa ajili ya maslahi yao ya ulaji

Mbona kuna wachina,wahindi,wazungu n.k na hatuna muungano nao.ila waafrika wenzetu ndio mpaka tuungane nao basi kazi itakuwa,kuanzia waganda,warundi,wanyarwanda,wacongo waondoke mpaka tutakapounda jamhuri ya muungano wa maziwa makuu,
jamani tunapotezeana muda kujibu ujinga.
 
Uchaguzi uluoharibika ni wa zanzibar unaosimamiwa za zec yaani baraza la wawakilishi, sheha na Rais wa zanzibar. Ule wa wabunge na magufuli ulikuwa Safi.
Chezea nyinyiem wewe?

nakupa saluti mkuu! maji ya mtungi mmoja ukichota kwa kata tofauti mengine safi na salama mengine hayafai ya kumwaga,
kweli nyinyiemu kiboko,
CCM OYEE!
 
Mbona kuna wachina,wahindi,wazungu n.k na hatuna muungano nao.ila waafrika wenzetu ndio mpaka tuungane nao basi kazi itakuwa,kuanzia waganda,warundi,wanyarwanda,wacongo waondoke mpaka tutakapounda jamhuri ya muungano wa maziwa makuu,
jamani tunapotezeana muda kujibu ujinga.

Wote uliowataja wana adabu na wanajua wanakaa kwenye nchi ya watu. Nyie Wazenj matusi tu kila siku kuwatukana wabara na huku ndiko mnakoponea,mtaondoka tu hamna namna na mpaka tutaufunga
 
Wote uliowataja wana adabu na wanajua wanakaa kwenye nchi ya watu. Nyie Wazenj matusi tu kila siku kuwatukana wabara na huku ndiko mnakoponea,mtaondoka tu hamna namna na mpaka tutaufunga

kwa kuweka record sawa mimi siyo mzanzibar ila sipendi uonevu!
 
Bora uvunjike, kwani tanganyika, wanachong'ang'ania zanzibar ni nini? Wawaachie wajitawale
 
kama wamemuapisha mtu ambae hakushinda..
wakamuapisha mtu ambae hajachaguliwa upande wa pili wa muungano..
watashindwa kitu hawa wakosa haya ?
ngoja uone marudio ya uchaguzi zenji,CUF hawatoshiriki na jizi lingine litatangazwa !
 
Jamani Watanzania wote, hali halisi ya kisiasa kule visiwani mnaishuudia, ninachojiuliza hivi wabunge wale wa Muungano watakwenda kuapishwa Dodoma au? na pia Wizara za Muungano atataeuliwa nani toka Zanzibar kwani inasemekana uchaguzi na matokeo yake yamefutwa.

Je, hali hii inauweka Muungano katika hali gani?

SI NDIO MWISO WAKE NA WANAOUVUNJA NI VIONGOZI WA CCM YENYEWE.
EBU TUSHEE MAWAZO YENU YOTE KUHUSU HILI.

Wacha uvunjike tu hauna faida
 
Back
Top Bottom