Zanzibar kuna lockdown ?

Zanzibar kuna lockdown ?

Usicheke mkuu!!

hivi vikosi vyetu vya ulinzi na usalama ni bure kabisa, sijui huwa wanatumia vigezo gan kuwaajir hawa watu, sasa mm najiuliza wangekuja wakanifahamisha vizur kwamba natakiwa kuondoka kwenda nyumbani mm ningewabishia? Si ningeondoka zangu kwa amani tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa ya ajira ya Askari wetu walio wengi ni kuwa na matokeo mabaya ya Aisha form IV au form VI na vimemo. Huwa hawajisumbui kabisa kufikiri kabla ya kufanya jambo tena Kwa binadamu wenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko mtaani mara nashtukia mkwaju wa mgongo nageuka niulize kulikoni nakula mtama nikanyanyuka na kutoka mbio,
Niko mtaani mara nashtukia mkwaju wa mgongo nageuka niulize kulikoni nakula mtama nikanyanyuka na kutoka mbio, nimefika huko mbele nawauliza watu naambiwa kuanzia saa 12 haruhusiwi mtu kuzurura barabaran kisa tishio la korona,

Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kama tv's, redio na magazeti na sijaona wala kusikia tamko rasmi la Serikali ya SMZ kuhusu watu kutotoka nje, kwanini wasitutangazie kuliko kuvamia na kusumbua watu?

Jr
 
Back
Top Bottom