KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,752
- 86,388
Akiwa afande wa kike nitamuonyesha itategemea na uzuri wake ila tofauti na hapo naanza kumuhubiria haki za binadamu sio kuonyesha tupu hovyo Ni uzalilishaji😜Akikuambia nionyeshe?🤣🤣🤣🤣
Akiwa afande wa kike nitamuonyesha itategemea na uzuri wake ila tofauti na hapo naanza kumuhubiria haki za binadamu sio kuonyesha tupu hovyo Ni uzalilishaji😜Akikuambia nionyeshe?🤣🤣🤣🤣
Mzima mchuchu?Hahhaha jinga wewe
Akiwa afande wa kike nitamuonyesha itategemea na uzuri wake ila tofauti na hapo naanza kumuhubiria haki za binadamu sio kuonyesha tupu hovyo Ni uzalilishaji![]()




Ungemwambia mchapaji "Asa we mbona wantia mikwaju wakati mi nabusha!!"



we jinga kweli yaanHivi kama unajiita mzimu unafikiri stress zitakuepuka..?we jinga kweli yaan
hapa nilikuwa na mihasira na stres zangu
lkn imenibidi nicheke tu yaan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wadogo zangu nao wamepigwa mikwaju kiembe samaki paleAcha kutudanganya inamaana hilo eneo ulikuwa peke yako au kulikuwa na raia wengine,na je Kama hakukuwa na watu wengine wewe hukushangaa kuwa kwanini siku hiyo uko peke yako hilo eneo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuki hawawezi kuingia maana kuna wazee wa kazi, hapo kula bia tuu ila ukifika kwako asbh leta mrejeshoKiembe samaki wamepga mabomu ya machozi,ila mi niko hapa nyuki nakula mvinyo bila shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko mtaani mara nashtukia mkwaju wa mgongo nageuka niulize kulikoni nakula mtama nikanyanyuka na kutoka mbio, nimefika huko mbele nawauliza watu naambiwa kuanzia saa 12 haruhusiwi mtu kuzurura barabaran kisa tishio la korona,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa mitandao ya kijamii na vyombo vingine vya habari kama tv's, redio na magazeti na sijaona wala kusikia tamko rasmi la Serikali ya SMZ kuhusu watu kutotoka nje, kwanini wasitutangazie kuliko kuvamia na kusumbua watu?
Na mm nilikuwa k/samaki, na Leo nimesikia wameongezeka wagonjwa wa2 wa covid- 19 na kufikia 7 kwa Zanzibar, bora watangaze tujue mojaKiembe samaki wamepga mabomu ya machozi,ila mi niko hapa nyuki nakula mvinyo bila shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda niseme ni askar wahuni.Hujapigwa na wahuni wewe lakini? 😀 Hakuna lockdown ila imekatazwa watu kukaa maskani na vikundi vikundi