uchimbaji na uchakataji wa dhahabuShukrani mkuu.
Ni kiwandani ama ujenzi?
Vibarua hasa kwenye ujenziHeshima yenu wakuu.
After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.
Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?
Stay blessed.
Vibarua hasa kwenye ujenzi
Tanzania kuna sehemu mbili.ngumu sana kupata vibarua wa.kutosha kwenye maeneo ya ujenzi wenyeji hawataki hizo kazi za ukibarua hata wawe maskini vipi
Maeneo hayo ni sehemu mbili Zanzibar na Dodoma. Zanzibar wazanzibari hawataki ukibarua na Dodoma wagogo hawataki
Shida mno kupata vibarua maeneo hayo
Ukitaka nenda jengo lolote ukiona linajengwa nenda asubuhi sana wakiingia omba kibarua utapata chap chap
Cha msingi chapa kazi na kesho urudi utafanya hadi uchoke
Dodoma ukipata yaani waweza wapiga nondo kwa hasira wavivu hao na mihadira kibao..watashukuru wakipata asiye mgogo
Na Zanzibar watashukuru wakipata mtu wa bara kibarua
1.Kubeba mizigo bandarini
2.Kulima mashamba
3.Saidia fundi ktk ujenzi
4.Miradi ya Barabara
5.Uvuvi kama bahari unaiweza
Maisha ni kutafuta wakati wazenji wanawaza kuja dar kupata ajira huku mtu wa dar anawaza kuja zenjiHeshima yenu wakuu.
After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.
Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?
Stay blessed.
Kama jembe unaweza kulipga, nenda ukawe tractor, au uwe machinga.Heshima yenu wakuu.
After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.
Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?
Stay blessed.
Mkuu mpokee ndugu yakoMaisha ni kutafuta wakati wazenji wanawaza kuja dar kupata ajira huku mtu wa dar anawaza kuja zenji
Anyway nenda sehemu zenye bahari kama nungwi,paje,jambiani n.k ukatafute ajira huko
Karibu Zenji
Ningekua upande huo ningefika hapo. Mimi nipo Iringa mkuu vipi kuna ambae unamjua ukanda huu anaweza kunipa kazi?Kuna wale rafiki zangu hawachagui Kazi hawana Mishe yoyote ukiwapa direction wapi Kazi ilipo wanakwenda kufanya mladi Tu iwe ya Halali
Nna ujumbe wenu hapa
Kama uko dar fika mpaka Gongo la mboto mwisho opposite na chuo cha Kampala ukifika hapo uliza mtu akuelekeze kilipo kiwanda kinaitwa NAMELA
Hiki ni kiwanda cha nguo ndio hatua ya Kwanza kabisa ya uandaaji nguo kama mashuka..khanga..vitenge maduvet n.k ufanyika na Kisha baada ya hapo mzigo upelekwa NIDA pale bara bara ya Mandera kwa ajili ya ukamilishaji kuwa nguo kamili
Kwaiyo kijana yoyoye aliepo around Gongo la mboto Majohe au maeneo anayoweza kufika hapo NAMELA naomba kuanzia kesho asubuhi avae vizuri kwa heshima aweke nywele zake smart ata ukisimama mbele za watu unaonekana mwenye tabia njema sio unaenda kuomba Kazi umevaa modo uko nusu uchi au umenyoa viduku na unanuka sigara
Ukifika getini muulizie mtu mmoja anaitwa chifu na umwambie umekuja kuomba Kazi yoyote atakae taja jina Hili pale getini huyu mtu atajua Moja kwa Moja umetoka Kwangu so utapewa maelekezo kwa haraka
Kumbuka kubeba kitambulisho cha kupigia Kura au namba ya Nida
Cha kuzingatia unadhifu wako maana mwingine akifika getini anaambiwa hakuna kazi kutokana na alivyokwenda kumbuka kupendeza unapokwenda kuomba Kazi maana wewe ni masikini tuu sio kichaa