FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Fafanua hapo kwenye red....:A S-frusty:
Nifafanue nini? zaidi ya hicho?
Fafanua hapo kwenye red....:A S-frusty:
naona kabang yako inakubipu ama kuwasha. Ni lini tanganyika ilikuwa sehemu ya upuuzi wa kwenu zenji? Natamani nije na bomu hapo uislamuni niwape ndonga hadi muache huu ujinga wenu. Nani aliwaambia sisi tunapenda 0713?????????????????????????????? Kabang!
Fafanua hapo kwenye red....:A S-frusty:
Nifafanue nini? zaidi ya hicho?
Unajuwa Tanganyika ilikuwa inaitwa nini kabla ya kuitwa Tanganyika?
Ndio shida yetu watanzania... umeombwa kufafanua wewe unauliza swali? tutafika tu
eee Mungu tusaidie kikombe hiki kituepUke.....,,,, kwamba TANGANYIKA ilikua part ya ZANZIBAR...!!!!!!
EEEE MOLA.......... HUYU BINTI ANATUMIA NINI KUWAZA???????????
Kabla ya kuitwa Tanganyika hakukuwa na nchi bali kulikuwa na chiefdoms mbalimbali. Mipaka yenye kuidefine hii kama nchi ilikuja kuwekwa na wajerumani, na baadaye mwaka 1884 kwenye berlin conference. Otherwise Tanganyika haikuwahi kuwa nchi inayofahamika kwa jina lolote. Ilikuwa ni pori tu lisilo na mwenyewe, ndiyo maana ikaitwa Tanganyika (Tanga - sail) (nyika- wildness).Nakushangaa sana, sasa nataka wewe uniambie hii nchi kabla ya kuitwa Tanganyika iliitwaje? ukipata jibu utanielewa vizuri sana, najuwa tatizo lako kubwa ni shule ulizojazwa ujinga.
Kabla ya kuitwa Tanganyika hakukuwa na nchi bali kulikuwa na chiefdoms mbalimbali. Mipaka yenye kuidefine hii kama nchi ilikuja kuwekwa na wajerumani, na baadaye mwaka 1884 kwenye berlin conference. Otherwise Tanganyika haikuwahi kuwa nchi inayofahamika kwa jina lolote. Ilikuwa ni pori tu lisilo na mwenyewe, ndiyo maana ikaitwa Tanganyika (Tanga - sail) (nyika- wildness).
Wakati huo kulikuwa na chiefdoms tu za akina Mirambo, Mangungo, Mkwawa, etc. ambao walikuwa wame-establish territory zao ambazo infact zilikuwa ndiyo zilikuwa na mipaka ya kiutawala. Ilikuwa chiefdom moja ikitaka kupanua mipaka yake ya utawala, inaivamia chiefdom nyingine na kuifanya sehemu yake. Lakini wakati huo mipaka ya chiefdom moja na nyingine ilikuwa clear kabisa, na hizi chiefdoms zilikuwa zinafanya biashara, kwa mfano chief Mkwawa wa Uhehe anasemekana kuwa ni rafiki mkubwa wa chief Mirambo wa Tabora, na walifanya biashara mbalimbali pamoja.
Sasa hiyo nchi iliyokuwepo kabla ya Tanganyika unaulizia jina lake ni ipi? Usiwatishe wenzako eti kwa vile tu hawajui historia.
wanasemaje hao ni wajinga wanaotaka Zanzibar iwe ni mkoa maneno yao yaishie hukohuko kwa Sumbawanga🙂
Tanganyika bila Zanzibar inawezekana,Zanzibar bila Tanganyika haiwezekani
kwa maoni yangu naona itakuwa vema tukiwa na taifa la tanganyika na zanzibar kupewa hadhi ya mkoa wa nchi ya tanganyika. Ipunguziwe uhuru iwe chini ya tanganyika
Bila kujali nilipozaliwa Ikiwa ni bara au kisiwani nimeona ni vema tukae pande zote Bara(Tanganyika) na Zanzibar waweze kuamua aidha zanzibar iwe kama mikoa mingine tu na pengine iwe Liitwe jiji kama majiji mengine ya hapa bara AMA wawe nchi huru inayojitegemea kwa kila kitu zaidi zaidi iwe tu ni kama nchi rafiki ya Bara kama nchi nyingine kama kenyaa na uganda na pia iingizwe katika East African community hili jambo la muungano kwa mtazamo wangu naona itabidi tuliangalie na tulitafakari kwa umakini