Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
mchawi atatokea huko huko Zenji,naona kama hawata mudu kulivaa koti,watalivua baada ya miezi michache tuHii nayo njema tu twende nayo tuone mchawi anatokea wapi tena.
mchawi atatokea huko huko Zenji,naona kama hawata mudu kulivaa koti,watalivua baada ya miezi michache tuHii nayo njema tu twende nayo tuone mchawi anatokea wapi tena.
Walivae tu mkuu,tusisikie linawapyayaWavae na wao litawapendeza na sisi Watanganyika tufanye mambo yetu..
Hata mkoa bado itakuwa ndogo sana labda Unguja iwe ni wilaya ya DSM na Pemba iwe wilaya ya Tanga
Akija Rais mwenye Roho ngumu anaweza kuibadili Zanzibar ikawa mkoa, Kama sasa walivyowaachia wakajiamulia mambo mengi Kienyeji enyeji pasipo kuwahoji Uhalali wake, hivyo hivyo wanaweza wakaamuliwa Kuwa Mikoa wakakubali,wale Wabishi watachukuliwa na kuhamishiwa Visiwa vya Ukerewe na Mafia , ambapo wakazi wa hapo watapelekwa Zanzibar kuishi sanjari na kuwahamishia Tanganyika Asikari wote wenye Asili ya Zenji kisha kuwapeleka Asikari wenye asili ya mkoa wa Mara,Manyama,singida,kigoma mikoa ya mbali na pwani , tena Single watupu ili wakalete Kizazi kipya kumaliza Ulalamishi.Imemshinda nyerere kuifanya mkoa ataifanya yeye aliekuwa hujui hata maana yw nchii nini nenda kamulize Pinda(waziri mkuu) aliposema zanzibar sinchi na kam wasema zanzibar akamulize Benad Membe (waziri waambo ya njee) hiyo TANGANYIKA MPYA(iliozaliwa 1964) Umoja wa Mataifa watumia kiti cha nani,then utasema Zanzibar iwe mkoa ila kabla kuwa mkoa nayeye tukampime akili
Tatizo lipo hapo hapo ni nani ataisimamia hiyo kura ya maoni ? Kaa ukijua kura ya Maoni itachakachuliwa kisha matokeo Kuwa kinyume na matarajio itatumika ile Staili ya Miaka yote Zanzibar ya kuchukua Matokeo ya CUF Kuwa ya CCM na ya ccm Kuwa ya cuf ,na CCM kuonekana inashinda Miaka yote, sina imani na Kura ya Maoni .hakuna haja ya hayo yote, cha msingi bunge lisitishwe, katiba ya sasa irekebishwe na kuingizwa kipengele cha kurusu kura ya maoni, then wananchi tuulizwe kama tunautaka muungano ama laa. kama jambo hili litachukua muda mrefu, basi nawashauri wazanzibar washinikize kufanyika kura ya maoni ya kuamua hatma ya muungano kwakuwa wao katiba yao inaruhusu kura ya maoni
kama vipi Tanganyika iwe mkoa wa Zanzibar.
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, wametaka katika katiba ijayo kuwe na muundo wa Serikali moja, huku Zanzibar ikiwa ni moja ya mikoa ya nchi ya Tanzania na iwapo Wazanzibari watakataa, waruhusiwe kujitenga.
Mmoja wa wajumbe wa baraza hilo la Katiba Wilaya ya Kalambo, Afred Ntinda mkazi wa kata ya Mwazye kijiji cha Mpenje alisema hayo jana wakati akichangia maoni katika kikao cha baraza hilo kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya wilaya mjini hapa.
Mpenje alisema kuwa mfumo wa sasa wa Serikali mbili una kasoro nyingi na umeshindwa kutatua kero za Muungano hivyo hautakiwi kuendelea kuwepo wakati ule wa Serikali tatu hawezi kulinda muungano huo kwa kuwa Serikali hizo zinaweza kuongozwa na marais kutoka vyama tofauti vya siasa na wenye mitizamo isiyolingana hivyo kuna hatari ya muungano kuvunjika.
Sisi huku bara kuwa na Serikali moja si tatizo wengi wataridhia, nafikiri kuna tatizo katika upokeaji wa maoni kwa wenzetu wa Zanzibar.
Source: Zanzibar iwe mkoa wa Tanzania - Habari Ya Ndani - mwananchi.co.tz
Maoni:
Binafsi naunga mkono hoja! Zanzibar ina watu wachache kuliko hata mkoa wa Mbeya, inatoa wapi sifa ya kuwa nchi. Iwe tu mkoa wa Tanzania.
Akija Rais mwenye Roho ngumu anaweza kuibadili Zanzibar ikawa mkoa, Kama sasa walivyowaachia wakajiamulia mambo mengi Kienyeji enyeji pasipo kuwahoji Uhalali wake, hivyo hivyo wanaweza wakaamuliwa Kuwa Mikoa wakakubali,wale Wabishi watachukuliwa na kuhamishiwa Visiwa vya Ukerewe na Mafia , ambapo wakazi wa hapo watapelekwa Zanzibar kuishi sanjari na kuwahamishia Tanganyika Asikari wote wenye Asili ya Zenji kisha kuwapeleka Asikari wenye asili ya mkoa wa Mara,Manyama,singida,kigoma mikoa ya mbali na pwani , tena Single watupu ili wakalete Kizazi kipya kumaliza Ulalamishi.