Zanzibar hali mbaya, polisi wadaiwa kuzuia mawakili kuwatetea watuhumiwa!

Hivi nawe ukienda kufanya uhalifu ukijua kuwa unafanya hivy makusudi kabisa kwa malengo unayoyajua, unastahili haki kagan za binadamu?
China unakula risasi kwanza ili liwe fundisho kwa wengine.
Msangi is right!!
Unataka kuyamaliza Mazombie ? Kuna mbunge mmoja juzi alitangaza kusoma albadri , taarifa zinadokeza kwamba serikali imempigia magoti ! Zipo tetesi kwamba watendao uhalifu zanzibar hawaguswi bali jumba bovu huangushiwa wapemba .
 
Msimuonee bure, hayana tofauti na onyo/tamko liliotolewa na Mkuu wa Wizara hiyo Bungeni juzi;na kushangiliwa kwa makofi mengi kutoka kwa wabunge wa chama mbadala. Yeye ni mtekelezaji tu!
Kwanini asichukuliwe hatua kwa kukubali kutumika hata kwa yasiyowezekana ?
 
CHAMA cha Mawakili Zanzibar ( ZLS ) Kimesema Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar ( DDCI ) , Salum Msangi amevunja sheria za nchi kwa kuwatishia kuwaunganisha na wahalifu wanaofanya vitendo vya hujuma mawakili wote watakaowatetea watuhumiwa hao.

Tamko hilo limetolewa na Rais wa ZLS Omar said Shaban alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Mombasa , mkoa wa mjini Magharibi .

Chanzo - Nipashe

MyTake , Katika nchi zinazofuata misingi halisi ya haki za binadamu , mpaka dakika hii huyu Salum Msangi angekwisha timuliwa kazi , kukamatwa na kuburuzwa mahakamani .
Another take: katika nchi zinazofuata misingi etc etc Mawakili hawatumiki kupeleka jumbe ns vitisho vya wafungwa dhidi ya mashahidi. Wala ambulance za Red CCross hazitumiki kusomba mabomu ya magaidi. Hii ilishatokea Gaza kusaidia hamas vitani.
 
Naona dalili za nduli Idi amin zikiinyemelea nchi yetu.
 
Kwa mambo aliyoyafanya kwa Waganda wenzie kuwaua kwa idadi kubwa sana na kuivamia nchi yetu na kuwaua na kuwajeruhi Watanzania wengi. Watanzania wengi tunamjua huyu kama nduli hivyo hakuna sababu ya kufanya sahihisho lolote.

Wewe muite Alhaji na mamilioni ya Watanzania tutaendelea kumtambua huyu kama nduli.

Sahihisho:ni Alhaj Idi Amin Dadah (Al-marhum)
 
Ndio madhara ya magamba, lakini kama nkurunzinza wao anauchungu na nchi yake angekubali yaishe coz mwisho wa siku mambo yakimfika shingoni ajue magamba ya bara yatamkimbia.
 
13522024_10154942922820744_1817786865549111784_n-jpg.362317


Siyo kunyemelea ni kwamba yanayofanyika ni zaidi ya nduli Amini
 
Kuna kitu ambacho polisi wamejisahaulisha , Mahita baada ya kustaafu u IGP alikutwa na hatia mahakama ya kisutu ya kumtelekeza house girl wake aliyempachika mimba na kuruka matunzo ya mtoto , nani ameisahau kesi hii ?
Si hiyo tu, je ya kamanda Zombe yana nafuu?
 
ninachoamini kuna mlango wa kuingilia na wakutokea vilevile,lakini wote ccm na cuf wamejifunga kitambaa machoni/usoni hawataki hata kuuona mlango wakutokea wanajifanya wazuri wakupapasa
 
Huko Zanzibar, haki za binadamu hazizingatiwi kabisa na endapo yatatokea kama yale yaliyotokea Rwanda 1994 (Mungu aepushie mbali) huyu Salum Msangi atakuwa wa kwanza kuswekwa rumande na hatimaye kufungwa maisha.
 
ugaidi wa osama ni matokeo ya mikono ya marekani.
magaidi wa IS ni matokeo ya mikono ya marekani..
hatujifunzi ?
 
Hivi nawe ukienda kufanya uhalifu ukijua kuwa unafanya hivy makusudi kabisa kwa malengo unayoyajua, unastahili haki kagan za binadamu?
China unakula risasi kwanza ili liwe fundisho kwa wengine.
Msangi is right!!
Na ndio maana china ni nchi tajiri lakini bado kuna wachina wakimbizi sababu hawaheshimu haki za binaadamu nashangaa sana Tanzania bado kuna watu wajinga kama wewe.
 
Back
Top Bottom