Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,690
- 239,249
CHAMA cha Mawakili Zanzibar ( ZLS ) Kimesema Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar ( DDCI ) , Salum Msangi amevunja sheria za nchi kwa kuwatishia kuwaunganisha na wahalifu wanaofanya vitendo vya hujuma mawakili wote watakaowatetea watuhumiwa hao.
Tamko hilo limetolewa na Rais wa ZLS Omar said Shaban alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Mombasa , mkoa wa mjini Magharibi .
Chanzo - Nipashe
MyTake , Katika nchi zinazofuata misingi halisi ya haki za binadamu , mpaka dakika hii huyu Salum Msangi angekwisha timuliwa kazi , kukamatwa na kuburuzwa mahakamani .