Zanzibar hali mbaya, polisi wadaiwa kuzuia mawakili kuwatetea watuhumiwa!

Kuna kitu ambacho polisi wamejisahaulisha , Mahita baada ya kustaafu u IGP alikutwa na hatia mahakama ya kisutu ya kumtelekeza house girl wake aliyempachika mimba na kuruka matunzo ya mtoto , nani ameisahau kesi hii ?
Jaji Mkuu wakati anawaapisha mawakili amewaomba wawasadie watu wenye uhitaji wa msaada wa kisheria, huyu anasema watakamatwa na kuunganishwa hapa ndipo nnaposhindwa kuelewa hizi kauli, lakini na mawakili nao inakuwaje mpaka wakubali kuunganishwa na wateja wao?
 
Kuna kitu ambacho polisi wamejisahaulisha , Mahita baada ya kustaafu u IGP alikutwa na hatia mahakama ya kisutu ya kumtelekeza house girl wake aliyempachika mimba na kuruka matunzo ya mtoto , nani ameisahau kesi hii ?
Labda amesahau pia Mhe. Mahita pia alitumia wakili na kwenye hizo kesi Serikali pia inakuwa na mawakili nadhani tatizo liko kwenye ushaidi, ushaidi wao ni dhaifu na ndio maana anawaopgopa mawakili na kuamua kutumia vitisho
 
IMG-20160701-WA0057.jpg
Haya ni ya huyu mjinga tupe na ya Msangi ili tuyapime ndicho alichomaanisha?
 
CHAMA cha Mawakili Zanzibar ( ZLS ) Kimesema Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar ( DDCI ) , Salum Msangi amevunja sheria za nchi kwa kuwatishia kuwaunganisha na wahalifu wanaofanya vitendo vya hujuma mawakili wote watakaowatetea watuhumiwa hao.

Tamko hilo limetolewa na Rais wa ZLS Omar said Shaban alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Mombasa , mkoa wa mjini Magharibi .

Chanzo - Nipashe

MyTake , Katika nchi zinazofuata misingi halisi ya haki za binadamu , mpaka dakika hii huyu Salum Msangi angekwisha timuliwa kazi , kukamatwa na kuburuzwa mahakamani .
Hivi nawe ukienda kufanya uhalifu ukijua kuwa unafanya hivy makusudi kabisa kwa malengo unayoyajua, unastahili haki kagan za binadamu?
China unakula risasi kwanza ili liwe fundisho kwa wengine.
Msangi is right!!
 
Sasa kwa huko wafanyao uhalifu ni mazombie....kuna kila ushahidi wa hayo. Na wameletwa vijana maalum kazi yao hio kufanya hujuma then wazingiziwe cuf .
Sasa kama kula shaba basi hawa mazombi wakipigwa wote zanzibar itatulia
 
Unapoandika mjinga una maana gani ? Umepewa source lakini bado unaamua kutukana ! Hivi unayajua matusi kushinda mimi ninayeishi Tandika Mwembeyanga ?
Wewe mama wa kihindi leo hujui maana ya neno mjinga? Waombe radhi wa Tandika Mwembeyanga kuwa ndio wanamatusi. Kila jamii inamatusi.
 
Back
Top Bottom