Zanzibar hali mbaya, polisi wadaiwa kuzuia mawakili kuwatetea watuhumiwa!

Jambo limebaki moja tuuu hapo
Sun rise
The son of the land has arisen too
Foward they go
Well armed
...................
..................
Omando guebuza hakuwa mjinga kuandika shairi hili
 
Tu[ate CV ya huyo Salum Msangi ndio tujadili huend uelwa wake ni mdogo sana kutokana na ilimu aliyonayo. Mara nyingi uongozi wa mabavu na kidikteta hutolewa huwa ni wa watu wasiojiamini na wenye uelewa mdogo wa mambo hivyo hutumia njia za nguvu ili kuficha madhaifu yao au kufanya watu wawaogope na hivyo kutohoji maamuzi yao
 
Ni muhali tu kwamba hao waliotia kiberitibkianza cha mapato ya nchi wanapelekwa mahakamani.
Nchi nyingine, hata za dunia ya kwanza, watu kana hao wanapotezwa kimya kimya.
Hakuna nchi inayofanya hivyo labda za kidikteta inawezekana.
 
Back
Top Bottom