Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Hujaona udhalimu wa Awamu ya tano??? Mdude Nyangali, Nusrat Hanje, Tito Magoti, Eric Kabendera, Viongozi wa upinzani kubambikiwa makesi unaweza kusema ni nini hicho??
Ndugu nakukumbusha tu, bado keshokutwa ni mwisho wa hizi ngonjera zenu.
 
Dah hizi ni salamu sijui kesho itakuwaje NEC na ZEK kazi kwenu kuepusha haya imefikia watu hawaogopi mabomu tena.
 
Kuna hatari mitandao kuzimwa ili kuficha mauaji makubwa na kutisha kuanzia wakati wowote.
Huwezi ficha uovu wa aina yeyote hata mitandao ikizimwa.

Watu wana simu zao, siku mitandao ikiwashwa ushahidi wote unapandishwa hewani. Nani atajificha?

Hata hayo mataifa ya nje hayatagemei uwepo wa mitandao kupata taarifa za sehemu husika.
 
Magufuli, kwa uwezo mdogo wa kiutawala aliouonyesha mpaka sasa, na kutotumia busara/hekima/demokrasia nk.bali kupenda ubabe/chuki na visasi, huenda akaingia katika historia ya kuwa rais atakayeiingiza nchi hii kwenye civil war.
Civil war ipi!?
Na kwako hekima ya kiuongozi ni ipi!? Na je hiyo busara is the same to all and everyone!? Kama sio, wewe unajuaje hii ni busara/hekima na hii nyingine sio!?

Note: Kama hatukupigana wakati wa kuunganisha makabila na kuua tawala za kichifu basi amini we won't fight kwasababu ya elections...

Hii ni watu wachache wabinafsi na wenye uchu kama sio uroho wa madaraka wanaoaminisha watu its very bad... This is the very same to all elections..only today too many unfit people are getting and giving false information/distorted facts na hawana wa kuwasaidia kufasiri.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa najiuliza kwa nini awamu hii imeamua kumwaga damu za watu kwa kiwango hicho?...
Tuache this self righteous blunt!

Hawa wanaopigania kwa nguvu kwenye kinyang'anyiro wao wanataka nini kama sio madaraka!? Wakiwa marais miraculously yoote unayoyasema yatakuwa safi over night!?

Tusifumbwe macho na chuki! Chuki inaondoa objectivity... Think looong and Hard!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wazanzibar wote tunajuana kwa sura, majina na mitaa tunayoishi. Wabara walioletwa Zanzibar kuja kuharibu uchaguzi wetu tunawatambua kirahisi mnoo. Nawapa angalizo hapa, Zanzibar sio mahali pa kufanyia mizaha.
Na Nikioa dada yako nakuwa Mzanzibari au nabakia m'bara!? Wewe ukioa ufipani!?

You are very selfish person and most of them who think like you are true parasites to the future of this great nation!

Eti namjua Mzanzibari kwa sura... Given the fact Tanzania gives you all the welcoming treatments ...u get an ability to own land, to lead on the mainland and your brothers and sisters do benefit...ila wewe somehow unaamini Zanzibar is just for "Zanzibari" hata hiyo dini haikufai...unatudhalilisha.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kinachosikitisha kwa wananchi wasojitambua,wanaamini wanapigana na viongozi direct,wanasahu wanapambana na wanachi wenzao.
Tz hapa nafikiri somo la Umuhimu wa Amani hatulijui vizuri,nafikiri watu wanatamani kulisoma hili somo kwa vitendo Sasa.

ili uhubiri amani anza kuijua haki kwanza, polisi nao ni raia inatakiwa wajue pia wanaowapiga mabomu si tu raia wenzao bali ni ndugu zao watanzania wenzao
 
Wazanzibar tumejipanga vyema sana safari hii. Tunakwenda na mdundo, wakiweka Reggie tutacheza, wakiweka sebene tutacheza. Wakija na busara tutakwenda na busara, wakija na nguvu nasi tutakuja na nguvu vile vile. Ni tit for tat.
Kwa kweli mnanata na beat!
 
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Hata wewe ukifanya upendeleo kwenye famili yako ipo siku utaambiwa ukweli,na ukiendelea wanao lazima wakufanyizie
 
mitaa huhitaji kuijua siku hizi teknolojia ipo google map tu inakuonyesha kila kitu
Kwa hiyo sekeseke unapata wapi muda wa ku-google? Hao Polisi wala hawakumbuki kama wamebeba android phones. Wanawaza kuokoa maisha Yao Kwanza. Kumbuka nao ni viumbe hai na wana familia.
 
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Kabla ya kuwahukumu hao wananchi ni vema ungejiuliza kwanza chanzo cha hizo vurugu ni nini.

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom