mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,877
- 106,138
Kwikwikwi....Kwani na askari alichukua kweli? Itakuwa aliombwa kuigiza filamu na hao jamaa katika kipengele cha askari akipokea rushwa, sema hawajaonyesha alipowarudishia tu.
UTANI UNAENDELEA...
Maadini ya nchi ndiyo yepi? 'kila kitu kinachoongozwa na SMZ ni haviko.......' ndiyo Kiswahili cha wapi? Cha Zanzibar ipi? Kamwe wewe si Mzanzibari. Toa maoni yako kwa jinsi ulvyo, si kwa kujivika joho lisilo lako.SMZ taabani haisimamii tena maadini ya nchi !! sasa hivi uongo ndio umefanywa kuwa ukweli na ukweli ndio unaonekana mbaya.... hakuna reality ya uongozi... kila kitu ni kinachoongozwa na SMZ ni haviko kwenye uhalisia wa mambo. serikali inaendelea kuturudisha nyuma kwa takriban karne nzima....
Tehtehtehza mbavu, harudi huyo.si kwa kujivika joho lisilo lako.
Maadini ya nchi ndiyo yepi? 'kila kitu kinachoongozwa na SMZ ni haviko.......' ndiyo Kiswahili cha wapi? Cha Zanzibar ipi? Kamwe wewe si Mzanzibari. Toa maoni yako kwa jinsi ulvyo, si kwa kujivika joho lisilo lako.
bora ungekomaa mwende mahakamani tu kwa makosa hayo ungechajiwa 30,000 kwa makosa yote maana Hakimu angesema kosa moja tu gari bovuLeo wamekula 90 yangu pale banana....taa ya breki, sticker ya nenda kwa usalama na kukanyaga zebra
Duuuu huyu ndio kazi hana tena! Dah naionea huruma familia yake.
[HASHTAG]#ZanzibarPolice[/HASHTAG] [HASHTAG]#corruption[/HASHTAG] [HASHTAG]#Zanzibar[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]
Although Zanzibar was a beautiful place to visit, officials were trying to take bribes from the moment we landed (like the Yellow Fever scammers in Arrivals, then the car hire scammers in the airport car-park). That may explain my frustration at the end of this video.
Although I had a valid ‘Foreigners Driving Permit’, OFFICER ALI here – of the Police Post in Mahonda – stopped us at his roadblock on the second day and demanded a $40 bribe to allow us to drive on. After a long debate, he pockets 60,000 Tanzanian Shillings (about $28) without a receipt – and still tries to shake my hand.
(For those commenting that we should not have paid, the other option was to wait there for TWO DAYS until after Eid, and then pay a court official!) The offence was not carrying my national driving license, even though I had already shown it to get the Zanzibar 'Driving Permit'.
But the money went straight into his pocket.
By Pete Taylor
Huna haja ya kutoa maneno machafu toa maoni yako na heshimu maoni ya wenzako. Tumetofautiana upeo na exposure ya mambo. Ukiwa umejifungia kama wewe huwezi fikiri nje ya boksi, nenda nchi za watu ukitendewa siyo jifanye unarusha kama wao uone.Umelogwa nini wewe...? Uchunguzi wa kitu gani angali tukio liko wazi...Huyo raia kwanza anatakiwa kupongezwa kwa kitendo cha ushujaa alichokifanya....
Huyu kazidisha, mkulu ariruhusu 5000 kwa ajili ya viatu kupigwa kiwi. Sasa huyu kachukua mpaka za kupeleka nguo kwa dobi, yeye kwenda kwa kinyozi na supu asubuhi.PESA YA KIWI ANACHUKUA ALIYORUHUSU MKUU WA KAYA
Mkuu uko sahihi..hakuna mahali jamaa kaomba pesa..huyo mama ndo kamwambia huyo mzungu ampe jamaa..na jamaa hakutaja kias...na huyo mama ndo alikuwa akirekod..na hata maswali aliyomuuliza jamaa kama jina na mahali pale panaitwaje yalikuwa ya kimtego...jamaa hajaomba rushwa.Nimejaribu kuitizama hii clip kwa umakini Mkubwa....
Nimegundua Askari wetu hakuomba Rushwa isipikuwa hawa jamaa walidhamilia kumpa pesa na kutegesha mapema ili ionekane Askari anaomba Rushwa....Sijaona sehemu yoyote akisema wampe Hiyo pesa......Askari hana kosa
Kama hakuomba rushwa kwanini kapokea? Tena alikuwa anasubiria kabisa...huyo kaomba rushwa ndio maana akawa anawapa mbinu za kuficha makosa.Mkuu uko sahihi..hakuna mahali jamaa kaomba pesa..huyo mama ndo kamwambia huyo mzungu ampe jamaa..na jamaa hakutaja kias...na huyo mama ndo alikuwa akirekod..na hata maswali aliyomuuliza jamaa kama jina na mahali pale panaitwaje yalikuwa ya kimtego...jamaa hajaomba rushwa.