Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,506
- 10,872
ni Zambia... Zimbabwe ni southernWaafrika wakichafue wazungu wakimbie wote. Wazungu wapo Zimbabwe kwa faida yao na sio kwamba wanaipenda iyo Zimbabwe {North Rhodesia} ¶¶¶¶∆
ni Zambia... Zimbabwe ni southernWaafrika wakichafue wazungu wakimbie wote. Wazungu wapo Zimbabwe kwa faida yao na sio kwamba wanaipenda iyo Zimbabwe {North Rhodesia} ¶¶¶¶∆
makamba hatakuwa mmoja wao kweli?Ile ziara ya Mnangagwa Tanzania ilikuwa na kazi kubwa sana kuelekea uchaguzi huu.
Kuna kamati fulani ya ufundi inawekwa sawa.
Lazima utasikia kuna waangalizi wa uchaguzi kutoka Tanzania wameenda huko.
hii ina tuma picha ktk mataifa ya magharibi kuwa ndugu zao wamepata kibalaka hivyo wamtetee... au wendelee kupata mtu atakae wakandamiza warudi walipotoka kama zamani... chaguo ni lao...Nimeona news France 24,,jamaa yuko anapiga kampeni watu wachache ,nilichoshangaa wengi wazungu na wamevaa nguo/kofia na skafu za ZANU - PF
Wanafufukaga mkuu wale dk za lala salama...tatizo lake mwanajeshi na hawakubaligi kushindwa...anapumulia mashine mkuu
Kwi! Kwi! Kwi!Viva ZANU-PF
B.V.R machines hazijakodishwa kutoka huku? na ule mfumo mzima wa utoaji matokea kwa kauli moja kama aliyokuwa akiitumia mwenyekiti wa uchuguzi kutoka huku Bw Lubuva?
"Natoa matokeo kwa kadri ninavyo yapokea" kauli ambayo ukiichunguza ndani yake ilibeba ujumbe mzito
kuwa hata kama yakichakachuliwa kabla hajanifikia mimi kazi yangu ni kutangaza tu
CHAMA CHAKAVU kama CCM!!!!!!!!!!Taarifa kutoka Zimbabwe zinaonyesha kwamba chama kikongwe cha ZANU - PF na mgombea wake Mnangwaga , aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi wana hali mbaya mno , mgombea huyo kikongwe anayetajwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 75 hakubaliki kabisa na wananchi wa Zimbabwe , ambao chaguo lao ni kijana Chamissa anayewakilisha MDC
Mnangagwa baada ya kugundua jambo hilo ameamua kuwahakikishia wakulima wa kizungu ambao ni raia wa Zimbabwe kwamba hawatanyang'anywa mashamba yao ili kuwashawishi kuunga mkono chama kichakavu , binafsi namuunga mkono Chamissa .
Mungu ibariki Zimbabwe
Wasema nini ????kuna tofauti sana kati ya Tanzania na Zimbabwe , Wakati polisi wa Tanzania ni sehemu ya ccm , polisi wa Zimbabwe wanasimamia sheria na wako upande wa wananchi
kwamba wandebele wameumbwa kupata shida tu ?Wasema nini ????
Zimbabwe hii hii ya Wandebele au kuna Zimbabwe ambayo wewe unaizungumzia hapa ???
Mkuu tembelea Zimbabwe na usome vizuri historia yao halafu ndiyo uje utoe maoni yako.
Polisi na Intelligentsia za Zimbabwe ni very Brutal.kwamba wandebele wameumbwa kupata shida tu ?View attachment 817122
Mabadiliko hutokea , leo Mnangwaga anasema hakuna mzungu atakayenyang'anywa shamba !Polisi na Intelligentsia za Zimbabwe ni very Brutal.
Majaji waliokataa wazungu wasiporwe ardhi walikuwa wanasakwa kama panya.
Jambo ambalo hata hapa kwetu sisi lilitokea mara chache, tena miaka ya nyuma kweli.
NB: Wewe hili la kusema kwamba Polisi wako na wananchi umelitoa wapi ??
Fuatilia post zake utamuelewa huyu huwa yuko radhi kumsapoti hata shetani ili mradi awe mpinzani wa asiyempendaPolisi na Intelligentsia za Zimbabwe ni very Brutal.
Majaji waliokataa wazungu wasiporwe ardhi walikuwa wanasakwa kama panya.
Jambo ambalo hata hapa kwetu sisi lilitokea mara chache, tena miaka ya nyuma kweli.
NB: Wewe hili la kusema kwamba Polisi wako na wananchi umelitoa wapi ??
Huo ndio ujasiri mkuuFuatilia post zake utamuelewa huyu huwa yuko radhi kumsapoti hata shetani ili mradi awe mpinzani wa asiyempenda
Kwani wewe ulivyokuwa unaiunga mkono Croatia ilisaidia kitu? Si kombe lilienda Ufaransa?Hata usipomuunga mkono Mnangagwa haitasaidia kitu.
Ok sawa. Tatizo liko wapi?Kwani wewe ulivyokuwa unaiunga mkono Croatia ilisaidia kitu? Si kombe lilienda Ufaransa?
Kwa hiyo na Polisi wako upande wa wananchi siyo ???Mabadiliko hutokea , leo Mnangwaga anasema hakuna mzungu atakayenyang'anywa shamba !
Kuunga mkono si dhambi hata kama matokeo ni kinyume na matarajio yako. That's my point.Ok sawa. Tatizo liko wapi?
Kwani polisi wana masilahi gani ZANU - PF mkuu ? mbona hawakumuokoa baba yao Mugabe alivyopinduliwa na MnangwagaKwa hiyo na Polisi wako upande wa wananchi siyo ???