ZANU-PF maji ya shingo Zimbabwe

ZANU-PF maji ya shingo Zimbabwe

kuna tofauti sana kati ya Tanzania na Zimbabwe , Wakati polisi wa Tanzania ni sehemu ya ccm , polisi wa Zimbabwe wanasimamia sheria na wako upande wa wananchi
Labda kama wamebadilika (ZANU PF ni chama dola kama chamadola kingine mfano wa CCM).Wakishinda MDC itakuwa vizuri ushindi wao utakuwa na ujumbe lakini kumbuka huyo jamaa anaitwa CROCODILE na jina hilo hakulipata bure. Stay tuned.
 
miaka nenda rudi tulisikia ukandamizwaji huko zimbabwe tena ukfanywa na viongozi kushirikiana na polisi... wenzetu hasa jeshi linapo kuwa haliuitaji uongozi fulani ili lisionekane limefanya mambo ya uhasi kama kule syria na uturuki... huku huwa lina tengeneza chuki baina ya raia na viongozi... mf. kule misri, tunisia nk kwa kutembeza kipigo kikali kwa raia na hata kuua pia, ili mradi tu raia wawe na chuki zidi ya utawala uliopo na jeshi liweze kuchukua nchi kirahisi sana bila doubt na ndicho kilicho fanyika hata zimbabwe...

sasa kama mtindo huu ni kufata sheria sawa... jeshi la zimbabwe lina fata sheria kweli kweli...
Na ndicho kifuatacho ITV Tanzania, jamaa wanamchek wanasema hiiii , wakianza kutekenya madude yao ya ardhini yale huko gomz
 
Back
Top Bottom