ZANU-PF maji ya shingo Zimbabwe

ZANU-PF maji ya shingo Zimbabwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,308
Reaction score
289,273
Taarifa kutoka Zimbabwe zinaonyesha kwamba chama kikongwe cha ZANU - PF na mgombea wake Mnangwaga , aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi wana hali mbaya mno , mgombea huyo kikongwe anayetajwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 75 hakubaliki kabisa na wananchi wa Zimbabwe , ambao chaguo lao ni kijana Chamissa anayewakilisha MDC

Mnangagwa baada ya kugundua jambo hilo ameamua kuwahakikishia wakulima wa kizungu ambao ni raia wa Zimbabwe kwamba hawatanyang'anywa mashamba yao ili kuwashawishi kuunga mkono chama kichakavu , binafsi namuunga mkono Chamissa .

Mungu ibariki Zimbabwe
 
B.V.R machines hazijakodishwa kutoka huku? na ule mfumo mzima wa utoaji matokea kwa kauli moja kama aliyokuwa akiitumia mwenyekiti wa uchuguzi kutoka huku Bw Lubuva?
"Natoa matokeo kwa kadri ninavyo yapokea" kauli ambayo ukiichunguza ndani yake ilibeba ujumbe mzito

kuwa hata kama yakichakachuliwa kabla hajanifikia mimi kazi yangu ni kutangaza tu
 
kuna tofauti sana kati ya Tanzania na Zimbabwe , Wakati polisi wa Tanzania ni sehemu ya ccm , polisi wa Zimbabwe wanasimamia sheria na wako upande wa wananchi
 
mhh jamaa atashnda kwa njia yoyote ile, ilikuwa ni ndoto yake kuja kuwa rais after mugabe
 
Mnangagwa baada ya kugundua jambo hilo ameamua kuwahakikishia wakulima wa kizungu ambao ni raia wa Zimbabwe kwamba hawatanyang'anywa mashamba yao ili kuwashawishi kuunga mkono chama kichakavu

wazungu wachache wenye mashamba wakimuunga mkono itamsaidiaje kwenye jamii ya majority wasio na kitu? rudia presentation na uchambuzi, hapa ni JF
 
Taarifa kutoka Zimbabwe zinaonyesha kwamba chama kikongwe cha ZANU - PF na mgombea wake Mnangwaga , aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi wana hali mbaya mno , mgombea huyo kikongwe anayetajwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 75 hakubaliki kabisa na wananchi wa Zimbabwe , ambao chaguo lao ni kijana Chamissa anayewakilisha MDC

Mnangagwa baada ya kugundua jambo hilo ameamua kuwahakikishia wakulima wa kizungu ambao ni raia wa Zimbabwe kwamba hawatanyang'anywa mashamba yao ili kuwashawishi kuunga mkono chama kichakavu , binafsi namuunga mkono Chamissa .

Mungu ibariki Zimbabwe
Yule mzee hana tofauti na Dr. Slaa hivi sasa kakosa hata msimamo. Kampeni zake sasa kujipendekeza kwa wazungu ili tu wamuwezeshe mavumba
 
Nimeona news France 24,,jamaa yuko anapiga kampeni watu wachache ,nilichoshangaa wengi wazungu na wamevaa nguo/kofia na skafu za ZANU - PF
Waafrika wakichafue wazungu wakimbie wote. Wazungu wapo Zimbabwe kwa faida yao na sio kwamba wanaipenda iyo Zimbabwe {South Rhodesia} ¶¶¶¶∆
 
B.V.R machines hazijakodishwa kutoka huku? na ule mfumo mzima wa utoaji matokea kwa kauli moja kama aliyokuwa akiitumia mwenyekiti wa uchuguzi kutoka huku Bw Lubuva?
"Natoa matokeo kwa kadri ninavyo yapokea" kauli ambayo ukiichunguza ndani yake ilibeba ujumbe mzito

kuwa hata kama yakichakachuliwa kabla hajanifikia mimi kazi yangu ni kutangaza tu
Ile ziara ya Mnangagwa Tanzania ilikuwa na kazi kubwa sana kuelekea uchaguzi huu.

Kuna kamati fulani ya ufundi inawekwa sawa.

Lazima utasikia kuna waangalizi wa uchaguzi kutoka Tanzania wameenda huko.
 
kuna tofauti sana kati ya Tanzania na Zimbabwe , Wakati polisi wa Tanzania ni sehemu ya ccm , polisi wa Zimbabwe wanasimamia sheria na wako upande wa wananchi
miaka nenda rudi tulisikia ukandamizwaji huko zimbabwe tena ukfanywa na viongozi kushirikiana na polisi... wenzetu hasa jeshi linapo kuwa haliuitaji uongozi fulani ili lisionekane limefanya mambo ya uhasi kama kule syria na uturuki... huku huwa lina tengeneza chuki baina ya raia na viongozi... mf. kule misri, tunisia nk kwa kutembeza kipigo kikali kwa raia na hata kuua pia, ili mradi tu raia wawe na chuki zidi ya utawala uliopo na jeshi liweze kuchukua nchi kirahisi sana bila doubt na ndicho kilicho fanyika hata zimbabwe...

sasa kama mtindo huu ni kufata sheria sawa... jeshi la zimbabwe lina fata sheria kweli kweli...
 
wazungu wachache wenye mashamba wakimuunga mkono itamsaidiaje kwenye jamii ya majority wasio na kitu? rudia presentation na uchambuzi, hapa ni JF
Anayetakiwa kuulizwa swali hili ni Mnangwaga mwenyewe aliyewapigia magoti hao wazungu unaowaita wachache
 
Back
Top Bottom