Zantel wapunguza gharama za internet

Zantel wapunguza gharama za internet

wakuu,hii unlimited yao ya siku 3 kwa buku 5 nimeijaribu kusema kweli nimeipenda.Hawana limitation ya speed ndani ya hizo siku 3,mpaka sasa nimeisha download zaidi ya GB 4 na bado ninaendelea kutesa.BIG UP ZANTEL

ushuhuda mzuri,ngoja na mimi nijaribu
 
hivi zantel wana 3g dom na moshi? wa huko nipeni taarifa
 
Mkuu acheni kusema sana hii kitu. Humu jamvini active members nadhani wote wameshajua. Hii kitu ikipigwa pini tutaonana kwa kubeep humu jamvini, si wote wenye uwezo wa kununua bundles frequently.

mkuu kama u like vya dezo lazima uhaso hata wakibana itapatikana njia nyengine usiogope m2 wangu..
 
Big up zantel almanusura niitupe modem yao nikimbilie airtel kumbe jamaa walikuwa wanavutia wateja wameondoa ile bundle ya 2500 kwa 400mb nyambaff zao eti wana bundle 25mb kwa 1500 so ili upate mb 400 inabid ulipie 24000 huu si u***s**ng/e huu!!
 
kama hamjui muwe mnauliza! Hiyo bundle ya 400mb kwa 2500tsh haijaondolewa, tuma neno "Internet" kwenda "15444" utaipata uzuri kabisa
 
Big up zantel almanusura niitupe modem yao nikimbilie airtel kumbe jamaa walikuwa wanavutia wateja wameondoa ile bundle ya 2500 kwa 400mb nyambaff zao eti wana bundle 25mb kwa 1500 so ili upate mb 400 inabid ulipie 24000 huu si u***s**ng/e huu!!

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza!
 
:angry:

Baada ya kutafuta ile modem yangu ya zamani ilikuwa imepata vumbi tayari ili niifufue nimegundua kwamba hizo modem za zamani hazifanyi kazi na hii offer ya unlimited ya siku tatu...

Yaani wanataka ninunue modem mpya ya 3G ili niweze kupata hii offer (ila kulingana na usanii wa hawa watu nimesita sababu hii huenda ikawa mbinu ya kuuza modem zao alafu baada ya muda wanafuta hii offer)

Bongo Usanii imekuwa ndio sanaa ya kila mtu
 
chief-mkwawa

Mkuu hivi ni kweli siwezi kupata hii offer ya unlimited kwa siku tatu kwa kutumia zile modem zao za zamani (huawei ec168c ev-do).., sababu nimewapigia simu baada ya kushindwa kupata hii offer wakasema nahitaji modem mpya ya 3g (je siwezi kutumia line yangu ya zantel) na modem yangu ya kuchakachua (voda) kwa connection manager ya join air ili nipate hii unlimited..

In short sitaki kuingia kwenye gharama ya kununua modem nyingine ya hawa jamaa alafu kesho wafute hii offer modem ibakie kuwa pambo
 
Last edited by a moderator:

Kaka kusema la haki mimi sjawahi kutumia hio offer na huyo alokwambia hio modem haina 3g si kweli maana EV-DO ni 3g kama unavosema HDSPA na kama offer ni ya 3g wewe pia unatakiwa ufaidi

Mimi nimenunua modem yao kama mwezi ulopita still ni hizo hizo za EVDO hata ukinunua mpya ustegemee kupata changes sanasana utakua nazo mbili.

Kuhusu modem ya voda na line ya zantel am sure itakubali maana maelekezo yao kwenye website yao yanaonyesha hadi simu unaweza

How to subscribe to bundles:
1. To subscribe by mobile phone using a Zantel line call *149*07#
2. To subscribe by mobile phone for non-zantel line holders send modem number (space) plan (space) bundle to 0776300300

Na upo right hiyo ya unlimited ni offer tu sio mda wote ila bundles mpya ni kweli kama walivoandika kwenye web yao
 
Last edited by a moderator:
Kaka kusema la haki mimi sjawahi kutumia hio offer na huyo alokwambia hio modem haina 3g si kweli maana EV-DO ni 3g kama unavosema HDSPA na kama offer ni ya 3g wewe pia unatakiwa ufaidi

Mimi nimenunua modem yao kama mwezi ulopita still ni hizo hizo za EVDO hata ukinunua mpya ustegemee kupata changes sanasana utakua nazo mbili.
chief-mkwawa
Mkuu wewe hii modem yako mpya ina sehemu ya kuwekea line.., yangu ni ile ya zamani hazina line ila baada ya kushindwa kujaza na kuchagua hicho kifurushi kwenye simu nikapiga simu customer service, wakaniambia kwamba modem zenye namba 0775 offer hii haifanyi kazi mpaka modem mpya (sasa sijui kama ni kweli sababu hawa customer services sometimes wanatoa jibu bila kujua wanachosema)

Anyway wewe kujaza salio unatumia procedure zipi (sababu mimi packages zote naweza kupata kwa kutumia hii modem yangu lakini sio hii ya unlimited siku tatu)
 
Anhaa hapo mekuelewa sasa nafkiri ukienda zantel.com utarecharge pale ipo option ya kurecharge ni bure
 
Hapana mkuu issue ni kupata hii huduma ya unlimited kwa siku tatu.., kujaza naweza (kwa vifurushi vingine najaza kwenye modem kwa kupiga 104 kwenye pc kwenye connection manager.., ila issue ni kwamba pesa ikishaingia tayari jinsi ya kuwa activated na hii unlimited ya siku tatu ndio issue (ambapo according to customer services, modem zenye namba 07750 hazikubali mpaka hizi modem za kisasa) kitu ambacho kinanifanya kudhani kwamba hawa watu wanataka kutunganganiza kununua modem mpya 🙁 kwani wewe una-activate vipi hii package na modem yako namba za mwanzo ni zipi ?
 
Last edited by a moderator:
Kitu 2500 kwa 400mb.Huko kwenu kwa wenye pesa tu.Hamia airtel

tatizo wewe internet unatumia kwa kuchati tuu, ndo maana unaona 400mb nyingi sana hata kwa mwezi huwezi kuzimaliza, wenzio wanafanyia kazi, 2GB per day haitoshi so usishangae mtu kufurahia kifurushi cha 5000 kwa siku tatu tuu ikiwa UNLIMITED.
 
chief-mkwawa
Hapana mkuu issue ni kupata hii huduma ya unlimited kwa siku tatu.., kujaza naweza (kwa vifurushi vingine najaza kwenye modem kwa kupiga 104 kwenye pc kwenye connection manager.., ila issue ni kwamba pesa ikishaingia tayari jinsi ya kuwa activated na hii unlimited ya siku tatu ndio issue (ambapo according to customer services, modem zenye namba 07750 hazikubali mpaka hizi modem za kisasa) kitu ambacho kinanifanya kudhani kwamba hawa watu wanataka kutunganganiza kununua modem mpya 🙁 kwani wewe una-activate vipi hii package na modem yako namba za mwanzo ni zipi ?

Mi ni 07751 ila kama nlivokwambia sjawah jaribu hio huduma try kwa line kawaida maana hata namna ya kujiunga sifahamu
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa
Hapana mkuu issue ni kupata hii huduma ya unlimited kwa siku tatu.., kujaza naweza (kwa vifurushi vingine najaza kwenye modem kwa kupiga 104 kwenye pc kwenye connection manager.., ila issue ni kwamba pesa ikishaingia tayari jinsi ya kuwa activated na hii unlimited ya siku tatu ndio issue (ambapo according to customer services, modem zenye namba 07750 hazikubali mpaka hizi modem za kisasa) kitu ambacho kinanifanya kudhani kwamba hawa watu wanataka kutunganganiza kununua modem mpya 🙁 kwani wewe una-activate vipi hii package na modem yako namba za mwanzo ni zipi ?

waongo hao hawajui kitu, mimi natumia hiyo 0775 na imekubali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom