zantel university offer

zantel university offer

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,096
Reaction score
1,909
Kwa mwenye kujua jinsi ya kujiunga na kifurushi cha university offer naomba anisaidie
 
Mimi nauliza kifurushi cha wiki cha gb 1 kwa sh 1000 bado kipo?
 
Duh kweli kuungana na wenzako ni kujua mengi,mimi kila siku natumia Mia tano kwa kafurushi cha siku na kwa wiki natumia elfu tatu,sasa buku wiki nzima,hii imekaa poa.
 
je voda wana university offer[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]?
[/FONT]na kama wanacho wanatoa mb ngapi kwa wiki
 
tatizo zantel hawana watu wa marketing.
watu hawajui lolote kuhusu vifurushi vyao.
wangeweza kupiga bao sana kwasasa
 
je voda wana university offer[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]?
[/FONT]na kama wanacho wanatoa mb ngapi kwa wiki

Vodacom hawana vifurushi vya wiki wana vya siku tu katika university.. mb500
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom