zantel university offer

zantel university offer

Airtel 1 GB kwa shs 2000 kwa week, *148*88#

Hawa Airtel mimi sijawaelewa hata kidogo, niliomba msaada zaidi ya mara nne kupitia Call Center yao kuhusu settings za kwenye simu yangu mpya lakini kwa masikitiko mskubwa nilipewa misaada ambayo haina tija kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Na mbaya zaidi hata hawajafuatialia kama nifanikiwa au la. Nimebaki VODA kama kawaida
 
PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya Kibiashara ,shule ,Hospitali 250,000/=
3. Utengenezaji wa Application Mbalimbali zinazoweza kuanzia 75,000/=
4. Utengenezaji wa forums na chatting websites 250,000/=
5. Website Kwa Ajili ya Kuuza Vitu Mbalimbali Online(Kama Amazon)=350,000/=

Pia tunatoa huduma ya Domain Reseller na Hosting kwa package zifuatazo:-
1 GB Disk Space
20GB Bandwidth
UNLIMITED Email Accounts
Free Data Backup
Free SSL Configuration per domain

Kwa package hizo hapa juu gharama ni 60,000 Tu kwa Mwaka,Tupigie sasa kwa namba +255687 535650 ,Email :info@pawahost.com ,Website :www.pawahost.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom