VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
I am starting my life as a New Vodacom Customer... Is 10,000 a week unlimited any good or which package do you suggest
Mi na AIRTEL YANGU 400MB, kwa mwenzi kwa 2500, tu
Nice one hawa jamaa inabidi wajue kwamba mteja ni mfalme..., wasipoangalia watabaki wenyewe.
Also Customer Care yao its one of the worse... kila mtu anatoa jibu anavyojisikia and they dont even know what they are talking about
Please kama huyo jamaa angetoa time ingekuwa bora..., ili nihakikishe na mimi nipo..., lakini kwa uzoefu wangu hata huyo jamaa atatoa jibu rahisi kwamba tutashughulikia shida zenu na tutapeleka kwa wahusika...
Mimi kwa kweli nawapa ultimultum..., kama nikishindwa kuweka Highlife leo itakapoexpire I will be migrating to Airtel
Mi na AIRTEL YANGU 400MB, kwa mwenzi kwa 2500, tu
Kha! We vp? Huu nao ni ufisadi utalazimishaje watu watumie 5000 kwa wiki.Ukiwa na moyo huohuo wa kutumia "massive campaign" kuorganise watz kushinikiza mafisadi waondoke tutafika mbali.
Mpaka ninavyotype hivi sasa ninatumia Vodacom...Zantel Modem yangu niweiweka kando (its useless) tawapa feedback... its all good so far, nilitaka kuchukua Airtel lakini modem zikawa zimekwisha., but no problem zababu I can Flash hii modem ili niweze kutumia Airtel
Ndio Mkuu unaweza ukflash either Voda au Airtel na ukatumia ikawa Voda au Airtel kuna mdau alianzisha thread angalia hapomkuu ... mimi sio mtaalam ... inawezekana ku flash modem ukatumia mtandao mwingine (airtel)...please nihabarishe ...tena zantel ninazo mbili na nimeshanunua VODA ...
Mkuu tatizo sio 5k tatizo is forcing me to make 5K calls in a week bila mimi kutaka basi kama ni hivyo wangesema 2GB ni 15000/= ili tuewele moja...sasa nyinyi mnaitwa highlife mnafurahia kumbe mambo ya highlife hamuyawezi, if u cant afford 5k a week then wewe sio highlife, bora uje huku kwetu VODA sisi internet ni BOMBA 30 KWA ELFU 30 TU NA UNATUMIA UNAVYOTAKA mwezi mzima au BOMBA 7 unatumia week moja
mkuu hiyo ndio disadvantage ya voda or airtel hasa kwa sisi tuishio mbali na mji kupata signal ya 3G ni tatizo..this plan will shake their revenues rapidly nina hakika watareviewAnyway I have started using Vodacom Modem as of Today (Bomba 7)..., Lakini hii speed.!!!! inanikumbusha 56kbs modems... yaani its so slow..., I think itabidi nifanye mpango wa kuflash hii modem... Airtel here I COME !!!!!
Mkuu tatizo sio 5k tatizo is forcing me to make 5K calls in a week bila mimi kutaka basi kama ni hivyo wangesema 2GB ni 15000/= ili tuewele moja...
Anyway I have started using Vodacom Modem as of Today (Bomba 7)..., Lakini hii speed.!!!! inanikumbusha 56kbs modems... yaani its so slow..., I think itabidi nifanye mpango wa kuflash hii modem... Airtel here I COME !!!!!