Zantel High Life Club SUCKS

I wish someone from Zantel will respond to this post so that we get their side of the story. Mimi sio mteja wao natumia TTCL ila kutokana na posts nilizosoma nahisi wanahitaji kuwapooza wateja wao.
 
Nimejaribu kufanya analysis kidogo kwa kutumia dataset kutoka website ya TCRA

Katika kipindi cha June-September 2010 walipoteza wateja 302,223

Hii ni katika kipindi ambacho makampuni mengine ya simu yanavuna wateja, in other words, they were getting the market right!

Ninaamini, na kwa jinsi ninavyoona what prompted regress ni kuwa na policy mfu isiyokuwa na motisha (incentives) kwa wateja.

Na katika hili la Internet yatakuwa hayo hayo!

Wasipojifunza, soko litawafunza
 
Attachments

  • zantel subscription.jpg
    zantel subscription.jpg
    41.2 KB · Views: 32
I wish someone from Zantel will respond to this post so that we get their side of the story. Mimi sio mteja wao natumia TTCL ila kutokana na posts nilizosoma nahisi wanahitaji kuwapooza wateja wao.

i wish the same.
I use zantel network for calls but sijaobserve makato yao.
Ngoja nicheki isije kuwa i'm paying more than what i have to...
 
i wish the same.
I use zantel network for calls but sijaobserve makato yao.
Ngoja nicheki isije kuwa i'm paying more than what i have to...
Credit where credits due...., wapo vizuri ukipiga simu nje ya nchi...., ila hapa issue ni kuforce watumia internet wapiga simu za 5000 kwa wiki..
 
Nataka niwabwatukie kwa hasira pia nami nile kona, maisha haya magumu hivi huwezi kutukamua kama ng'ombe wa Holili!!
 
Credit where credits due...., wapo vizuri ukipiga simu nje ya nchi...., ila hapa issue ni kuforce watumia internet wapiga simu za 5000 kwa wiki..

oooh!
Wanajiharibia vibaya maana na huu ushindani uliopo wasije wakafunga ofisi.
Poleni wahanga wote.
 
mimi nilishahamia airtel kitambo na kuifungia modem ya zantel sandukuni kwa sababu ya ulaghai wao.
Kingine kinacho boa hawana option ya kuangalia MB ulizo nazo kupitia kwenye modem
Kama ilivyo kwa airtel, hivyo inakubidi utume sms kupitia simu na kama unatumia line ya mtandao mwingine unakatwa pesa,
Hili liliniboa kichizi.
 
Countdown.....zimebaki siku mbili nianzishe massive campaign kwenye social networks against Zantel move screwing up her customers...

MPAKA KIELEWEKE NA ADHABU WASHIKE...NYAMBAAF

Countdown.....zimebaki saa 24 nianzishe massive campaign kwenye social networks against Zantel move screwing up her customers

Coming up....blog, facebook page and twitter, mpaka watie akili nina hasira miye........
:frusty::frusty::frusty:
 
Ukiwa na moyo huohuo wa kutumia "massive campaign" kuorganise watz kushinikiza mafisadi waondoke tutafika mbali.
 
Ukiwa na moyo huohuo wa kutumia "massive campaign" kuorganise watz kushinikiza mafisadi waondoke tutafika mbali.

Naona umefyatuka usingizini.Hoja hiyo pia inajadilika.Kwani hawa ni nani kama si mafisadi.Saa 24
 
Keep it up, tupo pamoja!
Hawa watu waliniharibia weekend yangu majuzi.
Ni hesabu ndogo hata bibi kijijini anaziweza:
Nilikuwa natumia Tshs 40,000/= kwa mwezi on data.
Sasa kwa sababu ya ujinga wao nitahama na sitatumia hata one sh kwao!. Naelekea AIrtell, Tshs 15,000 unabata 3 GB, just perfect. Na zaidi ya hapo airtell wanapatikana kila sehemu, zantel wanapatikana baadhi ya sehemu tu, nje ya miji mikubwa hawapo!!
 
sawa sawa mkuu...na mimi siongezi hata thumni...na ila sintawaacha hivi hivi kwa kuniharibia jumatatu yangu.they screwed me and i will screw them even more and mine will be louder than them.....
 
Naona sasa Zantel wameshaanza kuchokoza customers!

Its Monday morning, and I needed 2GB bundle, for 10,000 as usual, for Internet connectivity to pull myself up for the viporo vya kazi immediately.

Because, I didn't used my High-life SIM card on voice for the last 7 days I cannot get connection and so my work got stuck!

What a crapp!!!

Wait a minute,

Here I have five lines (Vodacom, Airtel, Zantel, Sasatel and Tigo) and their respective modems, and all lines are on to make my friends life easy from not getting into inter-network tariffs charges.

Lets get back to Zantel.

I joined Zantel for internet service ONLY and not voice call.

I was spending 8GB worth 40,000 a month for internet connectivity.

In my friends contact list I have only 2 Zantel contacts, which tells me I don't need to use Zantel for Voice call.

Today, I am forced to use minimum of TZS 5,000 to get enrolled again to Zantel High-life, so that I can get internet connectivity as I usually do.

What does that mean?

It means, my budget for Internet will now piles up to TZS 60,000 a month instead of TZS 40,000 as earlier where 20,000 is for voice call. Why would I use TZS 60,000 a month for ZANTEL while the market is ready to offer alternative, cheaper than that?Why would I be curtailed to the service I don't want?

Lets hear what Zantel says

Why TZS 5,000 for voice call weekly?

Zantel will tell you, we have observed that, our customers are not using their High-life SIM CARDS for voice calls and hence, those lines seems to be idle, not used, and it is our policy, and (as per tcra - if you wish) to block those idle lines.

But look, Zantel earns revenue of TZS 10,000 for 2GB weekly via the same so called idle lines, and how can they call these lines idle?

This is INSANE, and it tells us how the MARKETING DEPARTMENT are not smart!

What they could have done, a customer should have top up his line for as little as 1000 weekly per each recharge, and when it got to 5000 a month, common sense will tell a customer to use the money on voice calls.

The idea is to make internet cheap while providers earn their profits!

Honestly, I was a loyal customer for Zantel since day 1, when started using their internet service, but for this stupid policy of theirs, I am contemplating to quit for good as alternative are abundant out there.

To start with, got to check up with TIGO
Leo naenda kununua universal modem kwa Tsh 80,000/= na nitawatosa Zantel,hii kitu ya kusema tumia kwanza 5000 kwa wiki inaniuzi sana,ni bora wangesema 2GB kwa wiki ni sh 15,000 na tukaelewa hivyo,leo natamuka rasmi kwa heri Zantel
 
Naikubali sana Highlife package yao ila kwa hiz terms mpya itabidi waangalie upya. At least wafanye Tsh 1000 kwa wik
 
I also have the same problem with So called Z-Connect
Kuanzia leo na simamisha matumizi ya modem yao let me try TIGO modem

Kuna mtu ambaye ameshatumia tigo can give us experience
 
Mi namalizia vi MB vyao kesho then
nitafute pa kuhamia i think nitaifufua ya
TTCL maana niyayo
Zantel bye bye....
 
Wakuu Wote and Tatoo USHAURI
Sababu sisi ndio Customers unaonaje tukionge na mtu wa ZANTEL (Uongozi na kuwatumia hii Link) kwamba tuna-demand mtu wao aje hapa Jamvini ili ajibu tuhuma za kwanini ninunue 2GB kwa 15,000 wakati wenzao wanauza 3GB kwa the same amount. Pia kwanini uniforce nimake calls Je kama sipendi kuongea na kupoteza muda..? kwanini usiniambi kwamba 2GB ni 15,000/=

Kwahiyo wakuu yoyote mwenye Contact za hawa jamaa naomba aongee na representative wao ili aje hapa ajibu hizi shutuma....
 
mkuu VOR ... kuna mtu nimempigia atawasilisha kwa supervisor wao aje hapa jamvini .... lakini nasikia CEO aliuliza staff kwamba kuna tatizo gani la highlife club sasa hivi
 
Back
Top Bottom